Lowasssa: Zamu ya rais Mlutheri

Lowasssa: Zamu ya rais Mlutheri

Tunajua sasa ccm mmeanza kutumia gia ya udini kwa kutengeneza video kama mlivyokuwa mmetengeneza ya Lwakatare.
Mkikosa dili mnaamia kwenye dini.
Sisi na Lowasa tu.
 
tahadhari kuna video inasambaa kwa kasi mitandaoni kuhusu udini wameedit lowasa akisema naomba kura za waluteri isikilizeni vizuri inasauti mbili zinatoka kwa pamoja aliyefanya kazi hiyo ni kijana mmoja anaitwa hamphrey mpole pole chama kitachukua hatua stahiki kukomesha uchochezi.sambaza ujumbe huu kwenye magroup mengine

ata watoe video za aina gani kumchafua lowassa, ata kama zina ukweli ndani yake!! mimi kura yangu ni lowassa tu hakuna wa kunibadilisha maamuzi.. 2005 nilimchagua kikwete, 2010 kikwete.......... 2015 lowassa mabadiliko.
 
Kura yangu kwa Lowassa, hata CCM itumie propaganda gani
 
Hata akisema ni zamu ya mpagani. Kura yangu nampa yeye Lowasa.

Hahahahahha kabisa. Manake naona watu wanataka kuleta tafsiri tofauti kabisa.... Wananchi tayari washafanya maamuzi hata akikaa nyumbani alale ushindi wa oktoba ni wake
 
Kwa nini nyinyi ndio mnamtolea hizo maana nyingine?? Alsema kuhusu Babu Seya na Mashekh kuwa atawatoa gerezani - watu mkaanza kusema oooh hakuwa na maana hiyo!!! kwani anavyoongea watu hamsikiii pale palee?? Kama alikuwa na maana nyingine kwa nini asielezee hapohapo na aanze kuhangaika kufafanua baadae?? Huyo ni Mdini na hatokuwa na utawala wa sheria - tumeshamstukia.

Mkuu usimbuke na watu wanaopofushwa na mapenzi binafsi kwa mtu....Kila atakachosema kwao ni sahihi,kama walikuwa wanamuita fisadi miaka na miaka leo ndio amekuwa mtu anaestahili kuongoza nchi unategemea ninim kwa watu kama hao??!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom