Lowasssa: Zamu ya rais Mlutheri

Lowasssa: Zamu ya rais Mlutheri

singidadodoma

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2013
Posts
4,394
Reaction score
1,538
DSC00104.jpg
 
Ulimi ulimteleza,sidhani kama Lowasa ni mdini.Kwa ujumla wagombea wote wa Urais na watanzania si wadini.Hatutaki kwenda huko.Kampeni zisisambaratishe Umoja.Mwisho wa siku tutabaki kuwa watanzania.Watu wa habari kuweni makini mnapoandika masuala ya Udini.Media ndizo zilileta balaa Rwanda/Burundi 1994.MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
LOWASA OYEEEEEEEEEEE LEO IFAKARA HAPATOSHI TULIKESHA NGOJA TURUD UWANJANI RAHAAAAAAAAAA LOWASSA MWAAAAAAAAa
 
LOWASA OYEEEEEEEEEEE LEO IFAKARA HAPATOSHI TULIKESHA NGOJA TURUD UWANJANI RAHAAAAAAAAAA LOWASSA MWAAAAAAAAa

Mlikesha wapi sasa? Maana saiz ndo mnarudi uwanjani
 
Hata akisema ni zamu ya mpagani. Kura yangu nampa yeye Lowasa.
 
Mimi ni Muslim lakini kura kwa Edo.Atajijua mwenyewe na udini wake cuz so tunataka atuvushe tutoke hapa misri.
 
Hii sio hoja ya kumshambulia Lowasa hata kidogo. Kura zimeombwa misikitini na makanisani hadi waovu kuwa declared ni chaguo la Mungu. Nashangaa aliyeandika haya . Lowasa ndiye rais
 
Lowasa ndio rais
Hata atukane
Leo ratiba ni wapi wakuu
 
Nyerere alikemea haya

Mbona January Makamba alisema wasambaa nao tumefika tano bora kipindi kile, mbona haijakuzwa kuwa analeta ukabila???
Acheni mambo yenu CCM, hamna hoja tena za kutubadilisha maamuzi yetu... Mafuriko hadi IKULU mwaka huu ni wa Edo!! Mwache ajimwage hakuna cha udini wala nini!!!
 
Lowasa ndio rais
Hata atukane
Leo ratiba ni wapi wakuu

Prezdar atakuwa Mji Kasoro leo kwenda kumpoteza mzee wa fiesta party JPM.Hakutakuwa na tamasha bali ni sera tu kwa kwenda mbele bila kusahau wale friends of Edo ambao bado wamebaki Ugambani watahudhuria kama kawaida na lolote ka kushangaza linaweza kutokea.Tungoje tuone hapo baadae.Mabadilikoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
 
Watahaha sana hawa viroboto ccm! Hebu acheni uchochezi nyiee. Mbona Magufuli anasema eti Tanzania ya Magufuli?? Ni yake hii!!?
 
Ulimi ulimteleza,sidhani kama Lowasa ni mdini.Kwa ujumla wagombea wote wa Urais na watanzania si wadini.Hatutaki kwenda huko.Kampeni zisisambaratishe Umoja.Mwisho wa siku tutabaki kuwa watanzania.Watu wa habari kuweni makini mnapoandika masuala ya Udini.Media ndizo zilileta balaa Rwanda/Burundi 1994.MUNGU IBARIKI TANZANIA

Kwa nini nyinyi ndio mnamtolea hizo maana nyingine?? Alsema kuhusu Babu Seya na Mashekh kuwa atawatoa gerezani - watu mkaanza kusema oooh hakuwa na maana hiyo!!! kwani anavyoongea watu hamsikiii pale palee?? Kama alikuwa na maana nyingine kwa nini asielezee hapohapo na aanze kuhangaika kufafanua baadae?? Huyo ni Mdini na hatokuwa na utawala wa sheria - tumeshamstukia.
 
tahadhari kuna video inasambaa kwa kasi mitandaoni kuhusu udini wameedit lowasa akisema naomba kura za waluteri isikilizeni vizuri inasauti mbili zinatoka kwa pamoja aliyefanya kazi hiyo ni kijana mmoja anaitwa hamphrey mpole pole chama kitachukua hatua stahiki kukomesha uchochezi.sambaza ujumbe huu kwenye magroup mengine
 
Katukumbusha sisi Wazanzibar ni zamu yetu, Wenzetu wasabato na Waprotestant muulizeni Lowassa zamu yenu lini?? Tulidhali urais ni vigezo vya kiutendaji na Uadilifu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom