Lowassa/Zitto Kabwe wapeleka kilio CCM

kuna vitu vya kuangalia tukiacha ushabiki wa vyama.kwa mfano TLP Itakuwepo tena katika nyanja za siasa na nini mwisho wa Mrema kisiasa pamoja na kujipendekeza kwa magufuri na kuacha kumpigia debe mgombea wake.Zitto kwenda kuanzisha ACT angalau kumeimarisha upinzani au kumedhoofisha upinzaniani.Ni maswali ya kujiuliza .Kimtazamo wangu Dr Kikwete ndio kamuinua Mbatia baada ya kumteua kwenye viti vya ubunge na akafanya kazi kwelikweli.Nionavyo mimi kwa mwendo huu bado upinzani mna safari ndefu
 
Huo ni ushindi wa kura zilizopigwa,sasa bado ushindi wa wapiga kura maana ushindi wetu wapiga kura ni kupata maendeleo kupitia kwa hao tuliyowapigia kura.
Sasa ikiwa kinyume na hivyo basi wapiga kura tutakuwa hatujashinda.
 
kweli wizi siyo mpaka utumie bunduki,mtu anakuibia huku unamuona
 
kweli mpumbavu hajitambui!!!dar na arusha ndo maniji manne!!mbeya mbunge je madiwani!!!mkoa mzima mnachukua jimbo moja!!taja hizo halimashaur zilizochukuliwa!!!unajitekenya na kucheka mwenyewe!!!!
 
Good analysis indeed ccm wameumia sana kushindwa kuongoza majiji makubwa hasa Dar es salaam ndiko kunakowauma zaidi mana ni makao makuu ya nchi. Washukuru bao la mkono limewabeba kuanzia wabunge Mpaka uraisi
 
CCM wana TRA. Kwao Ruzuku ni 'by the way'.
Wanachama wanatumia mishahara ya serikali na 'asset' za serikali kwa matumizi ya kichama.
 
Hata km Hawatasema lakini Wameipatapata
Kwa maoni yangu % asilimia ya kura za CCM inaendelea kupungua ili hali za Upinzani zinapanda, kama Wapizani wakitulia na kujipanga vizuri, ipo siku hizi asilimia zitalikaa mstari sawa na baadaye zipishane.
 
Anza na ww kujitambua kuwa hakyna atakayekupatia free lunch. You have 2 work 4 it.
 
Mkuu sio kweli.... kwa fikra za kawaida tu... unadhani ni kwa nini ccm hamtaki tume huru ya uchaguzi? Unafikiri ni kwa nini mabomu yalipigwa sana usiku wa baada ya kupiga kura? Usijifariji... watz wako tayali kwa mabadiliko....ni suala la muda hizo mbinu zitashindikana kama ilivo tokea zenj...
 
akuna chama nchini kilicopata mafanikio kama act kwa mda mfupi
1995 hakuna chama kilicopata hata halmashuhuri

ndugu, kumbuka act haijaanza kuanzia sifuri. imeteka watu ambao tayari wanajua nini maana ya vyama vingi. waulize walioanza na sifuri mwaka 1992 walivyopata ugumu.
 
mafanikio kutoka kumiliki halmashauri mpaka majiji manne ,ccm kazi wanayo
 
Kama ni kweli basi kuna shida hapo, lkn la msingi tuombe Mungu amani idumu nchini.
Amani ni tunda la haki, huwezi ukajifanya unahimiza amani wakati unajua unaendesha dhuluma kwa kwenda mbele.
Kwa mfano kila mtu hivi sasa anajua kuwa Maalim Seif ameshinda uchaguzi wa Urais wa Zanzibar.
Lakini kwa kuwa CCM wanajiona kuwa Zanzibar hiyo ni 'mali' yao, wamemlszimisha Jecha wao ayafute matokeo hsyo.
Kwa mazingira hayo inakuwa ni dhihaka kubwa kwa hao maccm kuwahimiza wananchi wadumishe amani.
 
Na nyie mna kilio kikubwa sana cha kukosa urais. Hivi miji mikubwa ndio Tanzania? Ccm ulitegemea dunia imesimama tumia akili kidogo kufikiri. Mna viti kaw ujumla havizidi 75 ccm ina 181 lkn kelele nyingiiii

Jaribu kuelewa hoja husika... Ushabiki haujengi bali hulegeza mishipa ya ufahamu!
 
Hivyo ni vijimambo tu lakini habari yote ni kushika nchi na kwenda ikulu,ndio maana wengine wamesusa kisa wameikosa ikulu,ikulu ndio baba wa yote wengine wote wanajifurahisha.
 
Kwa maoni yangu % asilimia ya kura za CCM inaendelea kupungua ili hali za Upinzani zinapanda, kama Wapizani wakitulia na kujipanga vizuri, ipo siku hizi asilimia zitalikaa mstari sawa na baadaye zipishane.
Hilo litatokea iwapo tu kutakuwa na Tume huru ya uchaguzi na Katiba mpya ya nchi itakayotokana na maoni ya wananchi.
Ukumbuke kuwa Katiba ya sasa imempa mamlaka Rais wa nchi ambaye ndiye pia kiongozi mkuu wa chama chake tawala, kuteua Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi pamoja na wajumbe wote wa Tume hiyo.
Wakati huo huo Katiba hiyo hiyo inatamka kuwa Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi akishamtangaza mshindi wa kiti hicho cha Urais, basi hakutakuwa na mahakama yoyote hapa duniani itakayokuwa na uwezo wa kusikiliza shauri lolote la malalamiko kuhusiana na ushindi huo!
Hii ni sawasawa tuite tu kuwa nchi yetu ipo katika mfumo wa vyama vingi THEORITICALY BUT PRACTICALY IS STILL IN A SINGLE PARTY SYSTEM.
 
Sioni Zitto anavyoingia hapo bora ungeandika Lowassa apeleka kilio CCM ningekuelewa.Mgpmbea wa ACT kapata kura chini ya 1% hana tofauti kubwa baina yake na akina Hashim,Dovutwa ........

Amekua specific kwa kutaja halmashaur ya kigoma mjini.....hakuzungumzia urais wa ACT......hizo chuki zinawafanya mshindwe kufikiri.

BTW kuna makala ya jinsi Kubenea alivyomuangusha Lowasa....u need to read that to sharpen ur brain
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…