Lowassa 'yu hoi' Monduli

Lowasa kwanza afya mbovu,, pili atashindwa tu na akishinda siyo kama ilivyokuwa 2005..

Chadema mwendo mdundo..
 
Lorgicaly its impossible kumshinda Lowasa kwa sasa pale Monduli!!

With collateral gimics .. Yes ...Anaweza kushindwa kwa kura ... Lakini hiyo haimanishi hatashinda ubunge

Kumshinda kwa Kura ...sio hoja...given the Evil tendency za jamaa! ...Atashinda kwa NGUVU YA UFISADI

Kufikiri utamshinda Lowasa kupitia nguvu ya ufisadi you are talking kwanza kuushinda ufisadi Unaoitafuna Tanzania kama nchi.

Nguvu ya ufisadi ni kubwa na ameishikia huyu bwana .... Hata kikwete hamfanyi kitu!!

Kuushinda ufisadi wa Taifa la Tz ..ni Msuguano mzito Watanzania wengi wala hawana pumzi ya kweli kuukabili kwa Sasa!! Na huu ndio udhaifu atakao utumia EL!

Lakini bottom line: Naamini Mungu is fantastic metabollic force, a universal solvent - secured force .. even under Muheshimiwa EL ...Akipitiwa na upepo wa nguvu ys Mungu, amabalo si jambo la ajabu hata kidogo na sala zetu wote zinaelekezwa pale ... we can definetly win...Then we will sing Mungu Ibariki Tz from Monduli. Na tutamtaarifu Baba wa Taifa kwa means zozote..and we know how he will feel!!!
 
watu wengine wanadhani mambo ni rahisi sana... hivi unamjua lowassa wewe??

Stop that dark mind, Lowassa ni nani? ni mke na watoto wake ndio wanaomjua, sisi tunamjua kama fisadi aliyehusika na richmond period, who is he..? we 1000% we don't care, mbona anahangaika kuomba kura si angelala home, anaweza kukosa kura straight forward, not these days, ilikuwa zamani, hata ukiwa na fedha chafu, kura unaweza kukosa hujui? Change, change, hatutaki tena kudanganywa period, watu wanaelewa sana siku hizi, wait 31 oct utaona, Dr Slaa is only person we believe in, we have faith, hope, trust in him period,.
 
Wajameni mbona tunaonekana kukata tamaa na huyu mtu anaitwa Lowassa.. Kumbukeni hadithi ya David na Goliatia katika maandiko matakatifu. Mimi nadhani muhimu ilikuwa ni kuzidi kujipa moyo kwamba tutashinda kuliko kuzidi kukatishana tamaa. Kweli wote tunafahamu hilo lakini kwani lenye mwanzo halikosi kuwa na mwisho jamani. Hakuna kinachoshindikana chini ya jua. Tujipeni moyo maana wakati wa ukombozi ni sasa. CCM nawaambia hivi Shangwe inaweza ikageuzwa kuwa kilio na furaha yenu ikawa maombolezo. What we preach is what we get.
 
Aminia mkuu
Hapo kwenye media ni pa kufanyia jitihada kubwa maana wajinga wa media house wamelipwa bigtime na hawajali kuikabidhi nchi kwa jinamizi
 

kupeperusha bendera tu hakutoshi jamani....mizizi muhimu.kata mzizi kwanza wa mmea uliopo ndo upande mbegu nyingine.
 

Pamoja na kwamba nishabikii Chadema wala CCM, lakini kwa jinsi ninavyomfahamu Lowassa na Monduli, ninadiriki kusema uliyoandika si sahihi ni fabrications tu za ushabiki.
 
Pamoja na kwamba nishabikii Chadema wala CCM, lakini kwa jinsi ninavyomfahamu Lowassa na Monduli, ninadiriki kusema uliyoandika si sahihi ni fabrications tu za ushabiki.

Unazungumza kwa mazoea au una data already?? Isije ikawa ndo nyie mnaopinga kwamba JK yupo ICU!!
 

Acid jazba yako inatia shaka sana. Nguvu hiyo unayozungumzia haitashinda nguvu ya watu. Lowasa 1995 akiwa Arusha alimshurutisha mtu ajitoe saa sita usiku baada ya kuongoza kwenye kura za maoni. Ikiwa hiyo ndiyo nguvu basi nakubaliana na wewe
 
pumba tupu
 
Acid jazba yako inatia shaka sana. Nguvu hiyo unayozungumzia haitashinda nguvu ya watu. Lowasa 1995 akiwa Arusha alimshurutisha mtu ajitoe saa sita usiku baada ya kuongoza kwenye kura za maoni. Ikiwa hiyo ndiyo nguvu basi nakubaliana na wewe

Huyu ndiye Lowasa ninayemjua...anaweza kumtokea hata Kikwete kwa namna hiyo...anamvutia pumzi na mahesabu tu...so Kumshinda inabidi tuushinde Ufisadi wa Taifa kwanza...Lakini huu ni mtizamo wa kiakili:::...Kuna mtizamo wa KI UUNGU...Unaweza usimbakize na msishangae!
 

Mara Nyingi tungo tata zinaleta maana nyingi.

Pia kama wote tungekuwa tunawaza kuwa kuna vigogo wasioangushika ba si hakuna haja ya kujadili wala kupiga kura. Kumbuka Tingatinga limeangushwa. Miamba kama kina Mateo Quares, Chambiri, Mungai nk iliangusha bila kutegemea. lowasa naye anaweza kupigwa chini kwani ni binadamu kama wengine. It is true he is capable of using everything but siku ya kufa nyani miti yote huteleza

Pia ni kweli kuwa nayemjua Lowasa ni mkewe. Kama kuna wengine ni siri yao.
 
watu wengine wanadhani mambo ni rahisi sana... hivi unamjua lowassa wewe??

Lowasa hata kama ana nguvu kumshinda shetani, lakini hana nguvu ya kumshinda Mungu ambaye anajidhihirisha katika nguvu ya wapiga kura waliochoka kuonewa, kupuuzwa na kunyonywa.
 

tunapo mzungumzia LOWASA kuwa ni kisiki MONDULI na ndani ya CCM hatumaanishi kuwa tunamuunga mkono fisadi huyo, fisadi ni fisadi na inabidi mbinu na silaha za kila nmna zitumike kumg'oa. Lakini LOWASA ang'oleki kwa kuitwa fisadi au mimi na wewe kutomkubali kwa ufisadi wake. Hata tukimchukia vp ukweli unabaki palepale LOWASA ni kigingi cha nguvu pale monduli na kazi ya kumng'oa pale ni ngumu kuliko kumng'oa JK IKULU.

NAWEZA nisieleweke kama ACID alivyo eleweka ndivyo sivyo, KILEWO twende mbele na turudi nyuma LOWASA anamizizi mirefu MONDULI kuliko wewe unavyofikiri. WAMASAI hawabadiliki kama unavyosema kazi pale ni nzito. Huyo mpiganaji wa CHADEMA ni shujaa wa kuungwa mkono na waTZwote kwa kitendo chake cha kuthubutu kugombea jimbo la MONDULI. Kuteka kitongoji cha MTO WA MBU ni dalili za kuelekea mafanikio na hapo ndio kwanza kazi inaanza.

Matokeo yakitangazwa kuwa LOWASA kashindwa nadhani naweza kuwa na furaha kubwa kuliko unavyodhani lakini ni lazima tuukubali ukweli japokuwa ni mchungu na una uma sana kazi ya kumng'oa LOWASA MONDULI ni ngumu kuliko kumtoa JK MAGOGONI.

SHIME tumpe moyo mgombea wa CHADEMA kwa kuamua kuifanya kazi iliyowashinda wengi kwa kushindwa hata kujaribu kugombea, yeye kaamua kumng'oa 31oct truth will be naked
 

tukichukulia mfano huu, utagundua kuwa CCM wenyewe ndiyo wanaweza kumtoa Lowasa pale Monduli kama ambavyo tumeona miamba mingine imeng'olewa. hili la upinzani VS CCM (lowasa) ndiyo linaloonekana ni gumu unless huyo bwana wa CHADEMA awe so powerful kitu ambacho angalau mpaka sasa tarehe 17 oct (bado siku 13) tungekuwa tunakijua. otherwise ni kujifariji tu
 
Muwe na akiba ya maneno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…