Mwaka 2010 Mbunge wa sasa wa Ukonga Mh Waitara alikuwa anagombea ubunge Tarime.
Kipindi hicho Tarime nzima ilikuwa inarindima CHADEMA na hapo ikiwa imepitia wabunge wawili wa CHADEMA, marehemu Jembe Chacha Wange na Mwera.
Ikumbukwe 2008 Waitara alikuwa mgombea ndani ya CCM aliposhindwa akahama.
Watu bado walikuwa wanampenda Mwera ila Mbowe akabadili gia angani akamleta Waitara watu hawakulalamika na wakakubali yaishe.
Nakumbuka kampeni kubwa aliyopiga Waitara na kumfanya akubarike sana ila akaharibu kila kitu siku moja tu.
Slaa akiwa mgombea urais alipoenda Tarime akamkaribisha Waitara aongee na wananchi na hapo ikumbuke palikuwa pamejaa watu ambao sijawahi waona kabla kwa wingi ule kutoka pande zote za wilaya
Nayakumbuka vizuri maneno ya Waitara baada ya Slaa kumpamba kuwa jembe sana
"mheshimiwa rais maaana nauhakika utashinda ningependa kukwambia kuwa kampeni nimeshafanya na nimekubarika ila sasa naomba nitumie nafasi hii kuwaonya mawakala wetu watakaosimamia uchaguzi kuwa siku hiyo watakapoleta matokeo nitakuwa na panga,rungu,shoka na kila silaha nikiwasubiri waje....na ole wake atakayeleta matokeo tumeshindwa kichwa chake kitakuwa halali yangu....." aliendelea kutoa maneno ya kutishia amani mawakala na baadhi ya viongozi wa wilaya mfano Marehem Hakim Gimeno.
Kwake yawezekana aliona amefanya sawa ila hakujua kuwa watu wana akili timamu na wamemdharau sana maana pale mbele ya Slaa ndipo alipopaswa kutema cheche ila akaongea utumbo
Kilichotokea baadae tunajua ni maneno ya kuibiwa kura wakati kura alijiibia
The same to Lowassa, yawezekana hajui kuwa alikuwa na nyota ya Kupendwa YES but watu walipoenda kwenye mikutano yake ili wamsikie kipenzi chao anawaahidi nini waliishia kuambiwa wazungushe mikono!!? Hivi kweli Lowassa alidhani watu hawana akili?
Kweli huna sera then upewe kura? Labda na wanywa viroba aisee!!
Mwisho nae akaja na porojo za Waitara kuwa ameibiwa kura!!!
Jaman ukijua unapendwa na wananchi isikupe kiburi ukajisahau kumwaga sera zako na kuongea pumba utaishia kusema umeibiwa kura