Lowassa; Watanzania wana akili sana

Baba yenu

JF-Expert Member
Jun 17, 2016
1,053
1,417
Mwaka 2010 Mbunge wa sasa wa Ukonga Mh Waitara alikuwa anagombea ubunge Tarime.

Kipindi hicho Tarime nzima ilikuwa inarindima CHADEMA na hapo ikiwa imepitia wabunge wawili wa CHADEMA, marehemu Jembe Chacha Wange na Mwera.

Ikumbukwe 2008 Waitara alikuwa mgombea ndani ya CCM aliposhindwa akahama.

Watu bado walikuwa wanampenda Mwera ila Mbowe akabadili gia angani akamleta Waitara watu hawakulalamika na wakakubali yaishe.

Nakumbuka kampeni kubwa aliyopiga Waitara na kumfanya akubarike sana ila akaharibu kila kitu siku moja tu.

Slaa akiwa mgombea urais alipoenda Tarime akamkaribisha Waitara aongee na wananchi na hapo ikumbuke palikuwa pamejaa watu ambao sijawahi waona kabla kwa wingi ule kutoka pande zote za wilaya

Nayakumbuka vizuri maneno ya Waitara baada ya Slaa kumpamba kuwa jembe sana

"mheshimiwa rais maaana nauhakika utashinda ningependa kukwambia kuwa kampeni nimeshafanya na nimekubarika ila sasa naomba nitumie nafasi hii kuwaonya mawakala wetu watakaosimamia uchaguzi kuwa siku hiyo watakapoleta matokeo nitakuwa na panga,rungu,shoka na kila silaha nikiwasubiri waje....na ole wake atakayeleta matokeo tumeshindwa kichwa chake kitakuwa halali yangu....." aliendelea kutoa maneno ya kutishia amani mawakala na baadhi ya viongozi wa wilaya mfano Marehem Hakim Gimeno.

Kwake yawezekana aliona amefanya sawa ila hakujua kuwa watu wana akili timamu na wamemdharau sana maana pale mbele ya Slaa ndipo alipopaswa kutema cheche ila akaongea utumbo

Kilichotokea baadae tunajua ni maneno ya kuibiwa kura wakati kura alijiibia

The same to Lowassa, yawezekana hajui kuwa alikuwa na nyota ya Kupendwa YES but watu walipoenda kwenye mikutano yake ili wamsikie kipenzi chao anawaahidi nini waliishia kuambiwa wazungushe mikono!!? Hivi kweli Lowassa alidhani watu hawana akili?

Kweli huna sera then upewe kura? Labda na wanywa viroba aisee!!

Mwisho nae akaja na porojo za Waitara kuwa ameibiwa kura!!!

Jaman ukijua unapendwa na wananchi isikupe kiburi ukajisahau kumwaga sera zako na kuongea pumba utaishia kusema umeibiwa kura
 
Mbona wewe ndio huna akili?! kama hukumsikia ahadi zake baki hukohuko kwenye shimo la giza. Au ulitaka nae aongee mipasho? Mzee wa watu hajajaaliwa kinywa kichafu cha kumtukana mtu, mwacheni maana hakuna baya mnaloweza kumpaka zaidi ya kumsingizia upuuzi.
 
NDUGU YANGU SUBIRI MATUSI MAANA HAO JAMAA HAWAUKUBALI UKWELI KWAMBA WALIINGIA KWENYE UCHAGUZI BILA SERA BALI KUTEGEMEA UMAARUFU WA MTU ALIYEKATALIWA NA CCM!!
 
17.06.2016....
 
Lowasa,Lowasa kila kona ya nchi ni LOWASA,kila mdomo wa gamba ni Lowasa,tu nashukuru Mbowe kutuletea huyu Mzee maana ameharibu akili za magamba,jina haliwatoki midomoni hadi 2020,ahahaha Lowasa
 
Mwaka 2010 Mbunge wa sasa wa Ukonga Mh Waitara alikuwa anagombea ubunge Tarime.

Kipindi hicho Tarime nzima ilikuwa inarindima CHADEMA na hapo ikiwa imepitia wabunge wawili wa CHADEMA, marehemu Jembe Chacha Wange na Mwera.

Ikumbukwe 2008 Waitara alikuwa mgombea ndani ya CCM aliposhindwa akahama.

katafute watoto wenzio wasio jua historia au vilaza wenzio wasitaka kusoma uwaongopee?

Uchaguzi gani huo wa ndani ya CCM ?

labda nikukumbushe, Waiatara aliachana na CCM baada ya kurudishwa makao makuu dar, na yeye alipoondoka alisema naondoka awezi kukubali kukaa makao makuu kazi yake kupika iwe kupika na kuandaa chai lumumba.

au soma hapa Kwa yaliyomkuta Nape Nnauye na Mwita Waitara, je nini nafasi ya vijana ndani ya CCM?
 
Mwaka 2010 Mbunge wa sasa wa Ukonga Mh Waitara alikuwa anagombea ubunge Tarime.

Kipindi hicho Tarime nzima ilikuwa inarindima CHADEMA na hapo ikiwa imepitia wabunge wawili wa CHADEMA, marehemu Jembe Chacha Wange na Mwera.

Ikumbukwe 2008 Waitara alikuwa mgombea ndani ya CCM aliposhindwa akahama.

Watu bado walikuwa wanampenda Mwera ila Mbowe akabadili gia angani akamleta Waitara watu hawakulalamika na wakakubali yaishe.

Nakumbuka kampeni kubwa aliyopiga Waitara na kumfanya akubarike sana ila akaharibu kila kitu siku moja tu.

Slaa akiwa mgombea urais alipoenda Tarime akamkaribisha Waitara aongee na wananchi na hapo ikumbuke palikuwa pamejaa watu ambao sijawahi waona kabla kwa wingi ule kutoka pande zote za wilaya

Nayakumbuka vizuri maneno ya Waitara baada ya Slaa kumpamba kuwa jembe sana"mheshimiwa rais maaana nauhakika utashinda ningependa kukwambia kuwa kampeni nimeshafanya na nimekubarika ila sasa naomba nitumie nafasi hii kuwaonya mawakala wetu watakaosimamia uchaguzi kuwa siku hiyo watakapoleta matokeo nitakuwa na panga,rungu,shoka na kila silaha nikiwasubiri waje....na ole wake atakayeleta matokeo tumeshindwa kichwa chake kitakuwa halali yangu....." aliendelea kutoa maneno ya kutishia amani mawakala na baadhi ya viongozi wa wilaya mfano Marehem Hakim Gimeno.

Kwake yawezekana aliona amefanya sawa ila hakujua kuwa watu wana akili timamu na wamemdharau sana maana pale mbele ya Slaa ndipo alipopaswa kutema cheche ila akaongea utumbo

Kilichotokea baadae tunajua ni maneno ya kuibiwa kura wakati kura alijiibia

The same to Lowassa, yawezekana hajui kuwa alikuwa na nyota ya Kupendwa YES but watu walipoenda kwenye mikutano yake ili wamsikie kipenzi chao anawaahidi nini waliishia kuambiwa wazungushe mikono!!? Hivi kweli Lowassa alidhani watu hawana akili?

Kweli huna sera then upewe kura? Labda na wanywa viroba aisee!!

Mwisho nae akaja na porojo za Waitara kuwa ameibiwa kura!!!

Jaman ukijua unapendwa na wananchi isikupe kiburi ukajisahau kumwaga sera zako na kuongea pumba utaishia kusema umeibiwa kura
SIJAONA HOJA YAKO YA MSINGI HAPO,,,ULIKUWA UNATAKA UTUMIE JINA LA LOWASA TU MAANA NI KAWAIDA YA WANA CCM PALE WANAPOKOSWA NGUVU WANAMTUMIA LOWASA
 
Lowassa Watanzania wanaakili sana

Mtu anaweza kunambia Jamaa alilenga kusema nini?
Ndivyo mnavyofundishwa kuandika hivyo Lumumba?
mkuu,usishangae sana.hao misukule wa lumumba wakiona hamana hoja ya maana lazima waanzishe uzi unaomhusu Lowassa.bila hivyo buku 2 hawapati.wewe wapotezee tu usijiingize kwenye malumbano yasiyokuwa na tija.
 
esitena tetena post: 16978450 said:
mkuu,usishangae sana.hao misukule wa lumumba wakiona hamana hoja ya maana lazima waanzishe uzi unaomhusu Lowassa.bila hivyo buku 2 hawapati.wewe wapotezee tu usijiingize kwenye malumbano yasiyokuwa na tija.
Sawa Mkuu,hakika hawa watu wa Lumumba wamelaaniwa. Ngoja niwateme taratiiibu.
 
Mbona wewe ndio huna akili?! kama hukumsikia ahadi zake baki hukohuko kwenye shimo la giza. Au ulitaka nae aongee mipasho? Mzee wa watu hajajaaliwa kinywa kichafu cha kumtukana mtu, mwacheni maana hakuna baya mnaloweza kumpaka zaidi ya kumsingizia upuuzi.
Kumtoa babu Seya ndani au elimu, elimu, elimu????
 
Back
Top Bottom