singidadodoma
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,394
- 1,538
Tuliaminishwa kuwa lowassa ataondoka na wabunge hamsini pamoja wenyeviti mikoa kumi na tano mbona hatuwaoni au wamekutosa?

Wote Hawana UPOPOMA Kama Alionao Yeye Na Kuanzia Leo Ambapo Kipyenga Cha Kampeni Kimeanza Ndiyo Ataijua CCM.
Mimi Na Wewe Najua Huwa TUNAMALIZANA Wapi Na Wala Hunipi Shida ILA Ninachokuonea Huruma Ni Kwamba Pamoja Na Urembo Wako Wote Huo Ulionao Eti Unashabikia CHADEMA / UKAWA Na Lowassa Wao. Huwaoni Warembo Wenzako Akina Wema, Uwoya Na Nasikia Hata Beyonce Na Kardashian Na Wao Wanaipenda Mno CCM! Tokea Nijue Unashabikia CHADEMA / UKAWA Na Lowassa Kidogo Malavidavi Yangu Kwako Yameanza Kupungua.
Hivi kuna kuwa usingizini wakati huku hukulala? Mbunge yeyote aliyeko ccm kabla ya kuhama kwenda Yukawa anajipima saizi yake. Kwamba akihama atakapofika ukawa walau anaweza kufikiriwa kupewa udiwani. Mfano Lembeli. Kuna mbunge gani kati ya wale Ndioooooo ya ccm anaweza kuja kujipima ubavu ktk cream za Ukawa? Men wake up acha unafiki kwa umri wako ukubwani utakuwa mchawi.