Lowassa: Wakati ukifika nitawaambia watanzania

Lowassa: Wakati ukifika nitawaambia watanzania

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,639
Reaction score
164,785
Hiyo ndio heading katika gazeti la JamboLeo la siku ya leo.

My take:
Lowassa,wakati sahihi wa kuongea ni sasa na si baadae kwani utakuwa umeshasahaulika na issue pia itakuwa imeshapoa na zaidi uchaguzi utakuwa umeshapita otherwise ukae kimya jumla.
 
Kama ana pingamizi na aseme sasa, akishindwa na anyamaze milele...
 
Kauli yake ni sahihi,kwa sababu anaowaambia ni Watanzania wenye kiu ya kumsikia.
 
Poleni mafisadi mwaka wenu wa kuumia ndiyo huu huyo ni fisadi tu hana jipya.
 
Lowassa huyu anataka afe then watu waseme amekufa na siri za serikali, stupid idea.

Naona anataka apate public sympathy its only in Tanzania fisadi anaonewa huruma I wish ingekua China huyu mtu hata kwenye mchakato tusingemuona angekua anaitwa Hayati fulani
.
 
Sema sasa, ndio wakati, ukichelewa issues zitapoa, na uchaguzi ukipita hakuna wa kukusikiliza, wakati ndio sasa...

Kama anajiunga Chadema na wafuasi wake, ndio aseme sasa, sbb akichelewa tu, no one will listen to him....

Lowassa ni mtu wa maamuzi magumu, sasa fanya kwa vitendo... haraka kabisa...
 
He is boring now!
 
He is boring now!

Hakika, akikosea timing, hata mie ataniudhi, anajivuta vuta nn bana, yuko kama hajapitia jeshi, amwage ugali wote, CCM si walimwagia mboga... sijui anajiuliza uliza nn.... tena kama haoni hata majirani Kenya walivyofanya coalition haraka kabla ya uchaguzi na kuing'oa KANU... yuko kama anazubaa fulani hivi, wakina Lembeli, Ester Bulaya, Madiwani wengi tu washahamia Chadema, yeye atoe tamko haraka, he has no time, utafikii hajajipanga bana...
 
Lowassa huyu anataka afe then watu waseme amekufa na siri za serikali, stupid idea.

Naona anataka apate public sympathy its only in Tanzania fisadi anaonewa huruma I wish ingekua China huyu mtu hata kwenye mchakato tusingemuona angekua anaitwa Hayati fulani
.

Kwani Lowasa kaiba nini ambacho kikwete na wengine hawajaiba?
 
Hiyo ndio heading katika gazeti la JamboLeo la siku ya leo.

My take:
Lowassa,wakati sahihi wa kuongea ni sasa na si baadae kwani utakuwa umeshasahaulika na issue pia itakuwa imeshapoa na zaidi uchaguzi utakuwa umeshapita otherwise ukae kimya jumla.
Alishaonja "pepo" ya sisi-emu anajiuliza kama maisha yanawezekana akiondoka huko!
 
Kweli tabia yake ya kukaa kimya ndiyo inasababisha mambo yake mengi yanaharibika kwani maadui zake wanaendelea kumshambulia lakini yeye hazuii wala hajibu mashambulizi. Hata suala la Richmond lililopelekea kujiuzulu kwake lisingemchafua sana kama angetoka hadharani mapema na kutoa ukweli wote.
 
Mwizi anataka kutishia ku***ba!!!

Kama ya Dr. Ulimboka mpaka leo, watu wanasubiri aongee.

Ataleta nini kipya? Ufisadi, Richmond, wizi, Rushwa. Kila mtu anajua hana jeuri hiyo.
 
Mpeni muda, kuvunja mkataba na shetani sio mchezo wandugu........si kila wakati tunaongelea ya Kina Kolimba na wengineo? Lowasa anajua fika sio hatua ndogo japo sisi huku tunashabikia lkn kitakachomfuata, tunaweza kukutana tena humu jamvini na kuanza kuandika R.I.P..........wenyewe washasema wanaokivuruga Chama watashuhulikiwa, hawajafafanua so inabidi watu waende kwa staha.
 
Mnaotaka atoe tamko mna uhakika gani kashapokelewa huku anakotaka kwenda ?? Naamini ukimya wake una sababu
 
Hakika, akikosea timing, hata mie ataniudhi, anajivuta vuta nn bana, yuko kama hajapitia jeshi, amwage ugali wote, CCM si walimwagia mboga... sijui anajiuliza uliza nn.... tena kama haoni hata majirani Kenya walivyofanya coalition haraka kabla ya uchaguzi na kuing'oa KANU... yuko kama anazubaa fulani hivi, wakina Lembeli, Ester Bulaya, Madiwani wengi tu washahamia Chadema, yeye atoe tamko haraka, he has no time, utafikii hajajipanga bana...

Huwezi pigana vita ambayo kamwe unajua huwezi shinda. Shida ipo hivi, wewe unatumia gobole, mwenzio ananyuklia weapon. Hapana, baki kimya, na kama anajiamini kuwa shutuma zote anazovumishiwa ni uongo, atoke, na aseme sasa, si wakati ujao. Hasimu wake nape alimwambia samaki huruka ruka akiwa majini, akifa, kwisha habari yake. Atoke CCM sasa kama ni msafi...
 
Back
Top Bottom