Lowassa: Wakati ukifika nitawaambia watanzania

Lowassa: Wakati ukifika nitawaambia watanzania

Anasubiri Chadema waweke mambo sawa ndo aongee. Wanamuandalia makao
 
Kweli tabia yake ya kukaa kimya ndiyo inasababisha mambo yake mengi yanaharibika kwani maadui zake wanaendelea kumshambulia lakini yeye hazuii wala hajibu mashambulizi. Hata suala la Richmond lililopelekea kujiuzulu kwake lisingemchafua sana kama angetoka hadharani mapema na kutoa ukweli wote.

Adui wake ni yeye mwenyewe make kama ni wizi aliiba mwenyewe
 
Huyo jamaa naye asha chuja kama cd za Mr Nice....hivi hayo ndo maamuzi magumu???...alafu ulemsemo wa akikatwa patachimbika ulikuwa mkwara wa panya kumtisha paka au?!!...poleni sanaa wapenzi wake na mliokuwa mmewekeza imani kwake....!! Kwa usema ukweli kawaangusha sanaa....kwa jinsi alivyokuwa bubu siamini kama hivyo ndo inaitwa maamuzi magumu!!!....so maamuzi magumu alitaka kuifanyia inchi ambapo anajua hata akiboronga analindwa na katiba maana hawezi pelekwa mahakamani lakini maamuzi yake binafsi ameshindwa lol....
 
Ni Tz tu mtu anatuhumia bila ya tuhuma kuthibitishwa , halafu watu wanaamini.

Hana ufisadi wowote, ile ni game ya kisiasa alipigwa nje... Of course kama MAN U , wamekuona si chochote kuna timu nyingine nzuri na unaweza ukaanza upya, mbona ni kawaida... Magamba mnapata SHIDA?
 
Huyu jamaa kwajinsi anavyosemwa huku mitandaoni yaani laiti kama angewahi kutembea na changudoa halafu mkaona sijui leo hii ingekuwaje maana kama ni kukatwa ashakatwa kwanini msikae kimya? Mbona hamuwazungumzii wakina mwigulu,wakina mako, wakina membe,pinda nk?muacheni mzee wa watu apumzike jamani.
 
He is boring now!

Kwani yupo kuwa entertain? Tatizo la chadema mliona Lowassa ndo mkombozi wa Chadema...anzeni kujipanga na plan B, incase mamvi akifanya maamuzi ya busara (kubaki ccm) muwe na mahali pa kushikia
 

Attachments

  • 1437384442281.jpg
    1437384442281.jpg
    52.8 KB · Views: 294
Lowassa huyu anataka afe then watu waseme amekufa na siri za serikali, stupid idea.

Naona anataka apate public sympathy its only in Tanzania fisadi anaonewa huruma I wish ingekua China huyu mtu hata kwenye mchakato tusingemuona angekua anaitwa Hayati fulani
.

Povu la nini?, unaongea kama mke wa Ayubu
 
Hiyo ndio heading katika gazeti la JamboLeo la siku ya leo.

My take:
Lowassa,wakati sahihi wa kuongea ni sasa na si baadae kwani utakuwa umeshasahaulika na issue pia itakuwa imeshapoa na zaidi uchaguzi utakuwa umeshapita otherwise ukae kimya jumla.

Muacheni mzee wa watu apumzike. sidhani kama ana interest na siasa tena.
 
Mwacheni afanye maamuzi yake bana. Simlimkata!?
 
CUF inamtaka, na wako tayari kumpokea... soma Nipashe la Leo...!!! hapo na uhakika, Cdm Wako willing pia...


UKAWA itakuwa motooo, motooo... nafikiri wana finalise the biggest deal kuwahi tokea ktk siasa za Tanzania..na watashida kwa kishindo, juzi nilivyomuona Lema pale Monduli, nilijua tu kuna deal kubwa sana la Muungano na Lowassa linakuja...

Ile kauli ya Lema, kuwa wananchi wamwambia Lowassa ajiunge na Chadema, na Mungu ndie amepanga hivyo, ni kauli nzito sana...

Sasa Cuf ndio wamekuja na Kauli ya kumtaka tena leo... yaanii, ni shidaaa
 
sidhan km yatapita kirahis hivo..yakipita bas lowasa atakuwa ameonyesha udhaifu sana..awaige kina mwai kibaki na gorge saitoti
 
Back
Top Bottom