Lowassa vs Sitta


Kamwe Lowasa hawezi kuwa Rais Tanzania.

Tofauti zao ni kwamba Lowasa anahalalisha Ufisadi ndani na nje ya chama, na kwamba anaamini kwa dhati kabisa kuwa TANZANIA BILA UFISADI HAIWEZEKANI. Wakati Sitta anaamini kuwa njia pekee ya kuiokoa Tanzania na Chama cha CCM ni kuwaanika mafisadi na wezi kwa watanzania, vyombo vya sheria, bunge na hata ndani ya chama.

Sasa niambia hata kwa mahesabu ya darasa la nne hawa watapatanaje? Acheni kuchanganya Chumvi na sukari ukadhani utaongeza utamu.
 
We sema tu humo ndani ya magamba nani anafaa...

Hizo sifa ulizozitaja haziko ndani ya magamba, yani kuanika mafisadi.

Mwenyekiti wenu mwenyewe kazi immemshinda.

Mbona mlianikana na mikashindwa kuchuliana hatua?

Kudai kwamba so and so aliyeko ccm anafaa kwasababu ya kupinga ufisadi ni sawa na kututuana wengi wetu.
 
Wore el na sst ni wanafiki wa kutupwa. Km el angekuwa maslahi ya taifa angekuwa amewaambia watz zamani kuwa kikwete ni fisadi.
 

aspen umetumwa???????????????! Nani awe rais???????????????????
 
Hawa wote ni wezi na ni adui wa maendeleo ya mtanzania. Kilichowagombanisha ni pale mwizi mmoja alipogundua kuzidiwa akili na mwenzake kwa kuwaibia wananchi sh m152 kila siku. Hapo ndipo, kwa kusukumwa na wivu, akaamua kujenga uadui. Lakini kimsingi hawa wote ni mafisadi, na kilikilichowaweka kwenye kambi moja huko nyuma ilikuwa ufisadi wao.
 
Huyo Laigwanani wa wapi? Huyo ni Olmekiii sio Mmasai ni mmeru typical kupewa rungu leusi na wenye njaa haimanishi ndo Laigwanani labda Laigwanani wa Waarusha sio wamasai na Kama ni Wamasai ni kina Laizer sio Mollel

Hata mimi walinzi wangu wa kimasai nyumbani wananiita laigwanan! si nnawapa mshahara kila 25th
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…