Lowassa vs Sitta

Lowassa vs Sitta

aspen

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2011
Posts
501
Reaction score
166
kwa wenye kufahamu ni kitu gani kiliwagombatisha hawa wanasiasa mashuhuri tanzania tukiangalia nyuma walikuwa kambi moja na ndiyo waliyomsaidia kimkakati jk akaukwaa urais sasa iweje leo hawaelewani na kuna uwezekano wa kuwaunganisha wakawa kama zamani mi nadhani itakisaidia ccm kupunguza mpasuko uliopo sasa kwa walioko karibu nao washaurini hakuna lisilowezekana najua uwezekano wa lowassa kuwa rais ni mkubwa sana hi hayo tu
 
........shida ya babu (Samweli Sitta John SSJ) ni unafiki, acha akapumzike urambo aachie siasa dume zifanye kazi (hapa sio za kucheka cheka, sor hapa nimetoka kidogo namaanisha nyoka wa mdimu)
 
Sita alimuunga mkono JK akiusubiri uspika wa bunge.......kisha akatamani urais na kumtibulia rais mtarajiwa mtandao Lowassa. JK nae alifurahia kuwa na PM lowassa lakini akamwona anakuja kasi sana kiasi cha kutishia urejeo wake wa mara ya pili katika kiti so akamtosa ajiju!
 
Mchapakazi na babu wanatakiwa kufahamu sababu ya kuchukiana.Anaewakosanisha yupo,wasipogundua malengo yao hayatatimia.
 
kwa wenye kufahamu ni kitu gani kiliwagombatisha hawa wanasiasa mashuhuri tanzania tukiangalia nyuma walikuwa kambi moja na ndiyo waliyomsaidia kimkakati jk akaukwaa urais sasa iweje leo hawaelewani na kuna uwezekano wa kuwaunganisha wakawa kama zamani mi nadhani itakisaidia ccm kupunguza mpasuko uliopo sasa kwa walioko karibu nao washaurini hakuna lisilowezekana najua uwezekano wa lowassa kuwa rais ni mkubwa sana hi hayo tu
Kilichowagombanisha ni unafki, uchu wa madaraka na ubinafsi Sa kutaka kuendelea kukandamiza waTz acha huo mpasuko uendelee hatutaki tustuck tena kwa 50yrs CCM NA KIZAZI CHA NYERERE NI JANGA LA KITAIFA
 
Luagwanani Lowassa
Huyo Laigwanani wa wapi? Huyo ni Olmekiii sio Mmasai ni mmeru typical kupewa rungu leusi na wenye njaa haimanishi ndo Laigwanani labda Laigwanani wa Waarusha sio wamasai na Kama ni Wamasai ni kina Laizer sio Mollel
 
Heeh! Hivi kumbe eh? Aisee mimi mbado kujua............sasa ikawaje? by the way waarusha/wamasai/wameru lao ni moja tu?
 
Mchapakazi na babu wanatakiwa kufahamu sababu ya kuchukiana.Anaewakosanisha yupo,wasipogundua malengo yao hayatatimia.
Tatizo la Sitta ni unafiki ambao ulimwezesha kushobokea hali iliyohatarisha uhai wa kisiasa "team mate". Hali hii kwa Kiswahili sanifu inajulikana Kama KUJINYONGA KITABAKA.
 
Heeh! Hivi kumbe eh? Aisee mimi mbado kujua............sasa ikawaje? by the way waarusha/wamasai/wameru lao ni moja tu?
Familia ya EL walihamia monduli siku Nyingi sana na kukaa pamoja na jamii ya kimasai, as usual wamasai ukikaaa nao kwa muda mrefu bila shida na kufata Milan na desturi zao you become one of them.... Lakini bado ni Olmekiii na hawezi Kuwa Laigwanani ni wazee aw Mila na njaa njaa zao.. That's why hata Batilda Burian walimpa rungu ilhali ni mwanamke.. EL anaweza akawa ni kiongozi Nzuri ila haqualify Kuwa Laigwanani yeye ni Olmekiii big time
 
Sasa hapa unataka utueleze nini kuhusu Lowassa ukiacha huo wasifu wa kabila lake?
 
Wote hawafai na ni vizuri wakiendelea kugombana ili wikimalize chama chao cha mafisadi
 
Tatizo la 6 ni unafiki na uchu wa madaraka. Laigwanaan safi.
 
Vita vya mpanzi furaha kwa kunguru.
Na tuliambiwa zamani kuwa usimwamshe aliyelala.
Wewe unaetaka edward na lowassa wapate ili iweje?
Unataka nchi hii iendelee kuwa mateka wa ccm hadi lini?
Yaani kwa uelewa wako unafikiri bado ccm ina muda zaidi wa kushika dola?
Please, soma hiyo thread iliyoletwa jamvini ambayo imeandikwa na jenerali ulimwengu inaweza kukubadilisha fikra.
Ccm is no longer......!!!!!!!
 
Ccm is no longer......!!!!!!![/QUOTE]
 
kwa wenye kufahamu ni kitu gani kiliwagombatisha hawa wanasiasa mashuhuri tanzania tukiangalia nyuma walikuwa kambi moja na ndiyo waliyomsaidia kimkakati jk akaukwaa urais sasa iweje leo hawaelewani na kuna uwezekano wa kuwaunganisha wakawa kama zamani mi nadhani itakisaidia ccm kupunguza mpasuko uliopo sasa kwa walioko karibu nao washaurini hakuna lisilowezekana najua uwezekano wa lowassa kuwa rais ni mkubwa sana hi hayo tu

Tatizo walizulumiana 10% yao ya Richmond,6 akaenda kushtak kkwere ****** akawaruka wamalizanee hukkoooo!
 
Back
Top Bottom