Lowassa, unakumbuka kauli hii ya Kikwete?

Lowassa, unakumbuka kauli hii ya Kikwete?

Mbona ni Lowassa tu hakuna Membe, hakuna Makongoro hakuna Wassira, hakuna Pinda, hakuna Muhongo. Na nyie Watanzania acheni ushabiki wa kijinga. Mama zenu wamezaa, baba zenu wametunza, walimu wenu wamewafundisha, na viongozi wenu wa dini wamewapa maadili ya kidini. Usiwe na Ushabiki ambao ukiambiwa toa ushahidi huna. Na wana CCM wanataka kutuaminisha kuwa walimtoa huyu jamaa kafara kweli ndo maana wanaogopa akiingia.

yeye kasema. hakuna Wa kumkata sasa huoni yeye tatizo
 
Akitoa hotuba raisi kikwete alisema maneno haya mkoani kigoma katika sherehe za kuzaliwa ccm namnukuu,

' nitakakisha naiacha nchi yetu chini ya ccm tena kwa rais kijana'

hapo na wewe ulikuwepo

kuna hii nayo ambayo ililetwa hapa jamiiforums ikitaja maneno ya zitto kabwe aliyo ambiwa na rais kikwete mwaka 2011?

Raisi alisema hivi kwa mujibu wa zitto,
namnukuu
' msikubali atakaye nirithi awe na rika kama langu ,kizazi chenu kijiandae '

my take, haya maneno yataonekana Jumapili hii dodoma mh, lowassa jiandae kisaikolojia


' nitakakisha naiacha nchi yetu chini ya ccm tena kwa rais kijana'

Ikumbukwe kwamba alikuwa na kidonda kwenye ulimi
 
Back
Top Bottom