Lowassa una tatizo

Very good job lowassa.. umepiga ihena jangwani... Watu wakavuta viti usiku... Full surprise.

Usiache kuwakimbiza

Na hapa ndipo mnapojidanganya na mtashindwa vibaya sana na CCM kwa maana CCM wana akili klk Nyumbu na fisadi Lowasa!
Sasa ni watu wangapi ambao ni walengwa wa fisadi Lowasa wanauwezo wa kuvuta kiti jioni na kufwatilia hotuba kwenye TV?

Watu wengi waliojaa Jangwani ni hao watu wa bodaboda na wengineo ambao walidanganywa kwamba wamepata mtetezi tangu akiwa CCM na ndio maana walikuja kwa maana wanajua hawana uwezo au nafasi ya kuangalia kwenye TV!
 
Jina kubwa akili ndogo!
Katika yote ulioandika nimegundua kitu kimoja tu!
Wivu unawasumbua ninyi ccm!
 

 
Siku ya jana Lowassa na UKAWA wamenifurahisha sana, wameonyesha Ukomavu wa hali ya juu kabisa wa kisiasa, kwa sababu.
1/Walitii kanuni na sheria za uchaguzi kwa kuzingatia Muda na Lugha njema.

2/Walijibu hoja zote za msingi na uzushi zilizotolewa na CCM wakati wa kampeni zao.

3/Lowassa alitoa hotuba nzuri, Fupi na iliyoeleweka vizuri kwa kila Lofa na mpumba...

4/UKAWA walionyesha kujiamini, kujikubali na ustaarabu wa hali ya juu sana.
 

upuuzi mtupu umeandika
 
Mbinu za Kampeni za LOWASSA zinazidi kuipasua kichwa CCM! Hawamuwezi!!!!

Watu wapo jangwani toka asubuhi wanamsubiri halafu mzee anasema wakaisome hotuba yake kwenye website nyie mnasema ni mbinu.


Mzee akapumzike tu.
 
Hapo Happiness katabazi alipohoji kama ataweza kuhutubia mkutano wa umoja wa mataifa kwa saa moja, ameuliza kitu cha msingi sana kinachofikirisha maana kama ni kweli afya yake ndio sababu ya yeye kushindwa kusimama jukwaani kuhutubia hata kwa dakika 30 tu, basi akiwa rais, Tanzania itakuwa imeingia kwenye rekodi ya dunia kuwa na rais wa aina yake.
 
Masikini watz wamekosa maarifa na sasa wanaangamia kweli sumaye na lowassa wanaweza kuilaumu ccm kwa kushindwa kuleta maendeleo
 

Hatuchagui rais wa Umoja wa Mataifa, tunachagua rais wa tanzania, huyu bibi hana hoja
 
Nampendaga sana huyu dada HAPPINESS KATABAZI,huwa ni mkweli na jasiri haswa,hivi bado yuko kwenye gazeti la mbowe TANZANIA DAIMA?
 
We malaya kweli hujaisikia hotuba baadae ilisomwa itv

Wewe kenge kweli mumesomba watu kutoka mikoani mnakuja kuwaanika juani hapo jagwani halafu mwisho wa siku mnasema wakaisome hotuba kwenye mtandao.....!!!!!!
 
Uchaguzi huu tunataka kumchagua kiongozi mwenye matendo zaidi, maneno meeengi na porojo ndio zimetufikisha hapa.
Jana nilikuwepo uwanjani, nakumbuka wakati Lowassa anapanda jukwaani tulianza kuondoka huku wengi wetu wakisema hata asiongee maana kura zetu ni kwake tu.
Hivyo Lowassa hata asipoongea, uwepo wake ni zaidi ya zile taarabu zinazomalizia muda wake madarakani.
 
Picha zote za jana zimechuliwa kutokea angani! hii ni coincidence au "mpango wa mungu" wa ukawa?

Mwaka huu mtajiharishia kwa kuongopa


Haa haa haa. Kama Kikwete na Kinana ni kipimo cha uadilifu basi vibaka wote ni watakatifu!
 
jamani wana UKAWA wenzangu hawa magambaz kama nzige wanatushammmbulia sana ndicho walichokua wanangoja ili wazime topic ya nyomi ile ya jana na mabomu ya sumae sbb summae jana kawavua nguo tuwe makini sana tusicheze ngoma yao hata kdg lets focus mana km wamefunguliwa toka kwenye kkiota hiyo ni kaz anayoratib kigogo mmoja uko kwa magambaz kkuna vijana wameajiiriwa kabisa kufanya hii kazi ya uchafuzi!! Na poshoo zao zimeongezeka! Ushindi ni wetu kabisaaa lowassa rais nndo mana wamepanick.

peoplesssssssssss
 
Kama amesema itakuwa kwenye website waandishi si watanyonya na kuujuza uma hata angesema iko kwenye vitabu wote wangesoma au iko kwenye video wote wanaweza kuangalia angeseisema umeme umezimwa wote wangemsikiliza?

Happy hana hoja ana vioja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…