BansenBurner
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,809
- 5,779
Ukitaka kuonekana mbaya muongelee lowassa vibaya unaweza ukapigwa na raia za mabadiliko. VivaLowassa nyota yko haijawahi kutokea.
Kwa sababu yupo frimason ndicho maana anapendwa sana pamoja na kujinyea atakoma na nchi hapati
Kwa sababu yupo frimason ndicho maana anapendwa sana pamoja na kujinyea atakoma na nchi hapati
leo hii hata Lowasa ajiseme kuwa yeye ni fisadi,mwizi,mimi sitamuamini nitampa kura yangu,family yetu+Majirani wameahidi kumpa kura.
Mbona unapendwa sana?Kila mahali ni Lowassa na UKAWA,Lowassa mganga wako ni mzungu?Mikutano yako yote watu wanajaa pomoni kwa nini?Hamtumii wasanii(fiesta) kuwavutia watu,mabango yako ni machache sana lakini uko kwenye mioyo ya watu kwa nini?Unafedheheshwa kila siku lakini watu bado wanaimani na wewe,uwe mwizi,fisadi au mgonjwa watanzania wanasema watakuchagua hivyohivyo.Lowassa ,mimi niko kijijini Kisewe wilaya ya Ulanga mkoa wa Morogoro jina lako limetawala sana kwa vijana na wazee.Lowassa umeturoga?Hata mimi navutiwa na wewe lakini sijui kwa nini kwako
Kama kweli ameloga hiyo dawa mimi imeniingia kisawa sawa, siambiwi, sisikii wala sioni... Mahaba niueeee Lowassa huyu daa!
Kwa sababu yupo frimason ndicho maana anapendwa sana pamoja na kujinyea atakoma na nchi hapati
hili la kutohitaji wasanii unashangaa nini sasa? wakati huyu mh mwenyewe ana shahada ya usanii ya ud. ubunifu wa usanii wake ni kiboko, maana mtu anabunia mpaka biashara ya kununua kuzimia kwa watu.
pili hili la kuwaroga yawezekana maana hata chekechea tumewaono wakigharikisha mikutano yake hapo mara.
Fanya Kazi ule Maisha ,hayo mengine yanakupotezea Muda,