Mapya Yaja
JF-Expert Member
- Feb 8, 2013
- 560
- 403
Yaani mahaba ya Lowassa ni shida, Magufuli mwenyewe kakonda mbaya na mahaba ya Lowassa.
Mbona unapendwa sana?Kila mahali ni Lowassa na UKAWA,Lowassa mganga wako ni mzungu?Mikutano yako yote watu wanajaa pomoni kwa nini?Hamtumii wasanii(fiesta) kuwavutia watu,mabango yako ni machache sana lakini uko kwenye mioyo ya watu kwa nini?Unafedheheshwa kila siku lakini watu bado wanaimani na wewe,uwe mwizi,fisadi au mgonjwa watanzania wanasema watakuchagua hivyohivyo.Lowassa ,mimi niko kijijini Kisewe wilaya ya Ulanga mkoa wa Morogoro jina lako limetawala sana kwa vijana na wazee.Lowassa umeturoga?Hata mimi navutiwa na wewe lakini sijui kwa nini kwako
ahahaha,mie niko kitongoji nyakaka "b",kijiji butulage,kata izimbya,tarafa rubale,wilaya bukoba vijijini,mkoa kagera,uku nako ni full luwasaaaaaaaaaa!