Mwembebasha
JF-Expert Member
- Dec 27, 2013
- 1,424
- 406
Bora usijibu mkuu maana hilo jina lako tu lipo hivyo,je ukijibu? Tuliza munkarMkuu naogopa kujijibu kwasaba ntakujibu vibaya
Unafaham vizuri mchezo wote ila tu sasa umeamuwa kujitoa akili
Ndio maana unaona nanyamaza sitaki ni kukosee heshima
Halafu kile kikao kilichokaa kuleee pwani na kikahudhuriwa na nanihii si walisema rais ajaye hatotoka kaskazini? Au Lumumba walishakanusha?
Jf kweli imevamiwaHuyu kaiba hadi bukuta zaikulu akiwa raisi siata iba hadi vinepi
Bora usijibu mkuu maana hilo jina lako tu lipo hivyo,je ukijibu? Tuliza munkar
mkuu kama ni issue ya majina unataka tuamini kuwa wewe ni basha kama jina lako lilivyo?
Mkuu wakanushe wasikanushe mwendo ni wa jet
mpaka wajue kuwa watanzania hatutaki tena rais mwenye kutokuwa na misimamo kwa mambo yanayohusu nchi
Ulijuaje mkuu?
Mkuu mbona aliwapa majibu kwenye vikao vyenu mkanyamaza mkapotezea kabisa na misemo ya Gamba ikafa??
Mkuu tafadhali sana.Vikao Vyetu?Sisi akina nani?
Hebu atoe majibu Kuhusu RICHMOND huko badala ya kujifanya mwanasiasa anayetaka urais.
muulize membe anayekuhonga akupe majbu kuhusu wizi wa pesa za ghadafi we ben saa sta...bilcanas mauzo yalkuaje jana au mmeshampelekea joka la mdmu mauzo
Rais mteule wa Tanganyika yetu. We love u LoWASSA!!
Lowassa jembe
Wewe na akina joyce Mukya
Mkuu hili suala ben saa kumi hajawahi kulijib hata siku moja ameendelea kunyamaza kimya na hii inatoa picha kwamba ni kweli
Labda linakulima wewe, yaani huyu mamvi kachafuka kama bata wewe unataka akulime.