LOWASSA, tutakuamini vipi? Siku zote ULIKUWA WAPI?

LOWASSA, tutakuamini vipi? Siku zote ULIKUWA WAPI?

Mr Chin

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
4,625
Reaction score
1,024
11885192_680079338760589_8544398825202674851_n.jpg
 
​Subiria upate majibu yasiyopitia hata chekechea
 
Si lowasa aliekuwa akionana na bodaboda na kwenda makanisani mkasema ni kampeni?

Kama ndivo basi hii hajaanza jana
 
lowasa anatafuta kura,hivyo hiyo si ajabu kumwona akitumia style hiyo
 
Tatizo sio Lowasa bali ni wewe. Elimu yako kuhusu siasa na kampeni ni ndogo kwelikweli. Ziko mbinu nyingi hii ni mojawapo.
 
Back
Top Bottom