Mkuu hata mimi nimeisikia hiyo kauli nikawa na swali kama hilo kichwani mwangu. Ameenda mbali zaidi na kusema kwamba yeye ndiye anayeweza kuleta mabadiliko ndani ya CCM. Mwaka huu kazi ipoWakati akiwa Arusha, kutangaza nia, alimkariri Nyerere akisema, watanzania wanataka mabadiliko, na wakiyakosa ndani ya CCM watayapata nje ya CCM. Leo tena kairudia. Ni dhahiri, Lowassa akitemwa CCM, atakimbilia upinzani.
Huyu lowasa kweli ameanza kuwa chizi. yeye anadhani akienda ACT atapata wafuasi anaopata sasa? ajaribu aone
* Anawatishia CCM kuwa wasipomchagua wataumia..
Kweli kabisa. Ila sio utamaduni wao, akipitishwa mmoja, wanamsapoti.yaani nimekuja jamii forum sa hivi kutafuta hii thread,ni ukweli usiopingika,huyu jamaa kajipanga vilivyo
Hakuna chama cha kushindana na CCM, iwe ni Ukawa au iwe ACT ataishia tu kujifia kisiasa, uchaguzi wa rais utakamilika mwezi ujao Dodoma ambapo tarehe 12/07 rasmi rais wa awamu ya 5 atatangazwa.Lowassa akiwa Mkoani njombe amerudia kauli ya baba wa taifa"amesema"wananchi wahitaji mabadiliko,wasipoyapata ndani ccm watayatafuta nje ya ccm"
My take:Kwa kauli hii ni wazi kabisa ccm wakimkata lowassa yupo tayari kwenda kuyatafuta hayo mabadiliko nje ya ccm
Ni wapi?Ukawa hawawezi kumpokea
Yale ya ACT wazalendo na lowassa yanaenda kutimia before octoba
Source:Itv Habari
Hakuna chama cha kushindana na CCM, iwe ni Ukawa au iwe ACT ataishia tu kujifia kisiasa, uchaguzi wa rais wa awamu ya tano utakamilika mwezi ujao Dodoma.