Mwana Mpotevu
Platinum Member
- Sep 7, 2011
- 3,295
- 2,506
Kwanza nawaomba waheshimiwa wana JF katika kipindi hiki cha mgogoro kati ya Tanzania na Malawi tulete thread na kuchangia kwa kuzingatia maslahi ya Taifa. Tuache SIASA na maslahi.
Pili naomba michango yenu kwa kuzingatia maslahi ya Taifa, ni nani anayestahili kutangaza kwa mara ya kwanza uwezo na nguvu yetu ya kijeshi? Membe alizungumza na kuionya Malawi baadae akaja Lowassa akasema tuko imara na tayari kwa vita! Sasa suala la nani atangaze ni nyeti sana na lina sababau nyingi na athari zake kitaalamu.
Na bahati nzuri mpango huo unaanza na wabunge vijana hivyo watakuwa wa kwanza kuwa frontline huko MalawiNashukuru Mungu mpango wa reserve army wa JKT nao unaanza karibuni.
Haya ndio maneno aliyoshindwa kusema MEMBE juzi Bungeni. Sielewi nani alimwambia Membe awaite wa Malawi ''WENZETU'' wakati wao wanajiandaa kutupiga kivita.
Tangu lini adui akawa mwenzako?
mwenzie Lowassa amesoma mood ya nchi na ameamua ku grab the headlines vilivyo
so far as far as national security is concerned: LOWASSA 1 MEMBE 0
game inaendelea
Lowassa ni mwamba wa kaskazini wewe sio mcheza Ngoma Kama Joyce wetuKwa mara ya kwanza nakubaliana na Lowassa katika tamko thabiti na lisilo la kumung'unya maneno.
Tunatumaini ndugu zetu wa Malawi watatuelewa vizuri katika hili.
Wakato mwingine si vibaya kutunisha misuli jirani anapoleta chokochoko.
Nashukuru Mungu mpango wa reserve army wa JKT nao unaanza karibuni.
Mkuu Membe ni diplomat, na diplomats wana lugha kama hizo zisizo confrontational.Haya ndio maneno aliyoshindwa kusema MEMBE juzi Bungeni. Sielewi nani alimwambia Membe awaite wa Malawi ''WENZETU'' wakati wao wanajiandaa kutupiga kivita.
Tangu lini adui akawa mwenzako?
mwenzie Lowassa amesoma mood ya nchi na ameamua ku grab the headlines vilivyo
so far as far as national security is concerned: LOWASSA 1 MEMBE 0
game inaendelea
Mkuu Membe ni diplomat, na diplomats wana lugha kama hizo zisizo confrontational.
Tunajua kwamna itakapobidi Membe atakaa na " mwenzake" wa Malawi kutatua tatizo hili kidiplomasis.
Katika suala hili Watanzana lazima tuwe kitu kimoja hakuna cha Membe wala Lowassa, ukianza mkong'oto wote itakuwa combat.
Acha nidhamu za woga. JWTZ wenyewe wana hamu ya kupigana.Maneno ya kujifurahusha hayo! Vijana wa JWTZ hawana morali hata kidogo ! Nani anaenda kupigana vita wakati dhuluma imetapakaa kila sehemu? Hata JWTZ kwenyewe kunafukuta moshi ndani kwa ndani kwa muda mrefu sasa.. Vijana wanaonewa , wanahujumiwa nafasi za masomo, posho halali Na mengine mengi.. Kwa maoni yangu kuingia vitani kipindi hiki imekula kwetu..
Maneno ya kujifurahusha hayo! Vijana wa JWTZ hawana morali hata kidogo ! Nani anaenda kupigana vita wakati dhuluma imetapakaa kila sehemu? Hata JWTZ kwenyewe kunafukuta moshi ndani kwa ndani kwa muda mrefu sasa.. Vijana wanaonewa , wanahujumiwa nafasi za masomo, posho halali Na mengine mengi.. Kwa maoni yangu kuingia vitani kipindi hiki imekula kwetu..
eti wa Malawi ni ''WENZETU''
Lowasa ametoa tu status ya jeshi letu. Na hili ni jukumu lake. Hajatangaza vita.Mimi nashangaa chain of command yetu iko wapi. Lowassa yeye ni nani kuzungumza kwa niaba ya JWTZ? Kamanda in Chief yuko wapi? Yaani Tanzania yetu imeshaparaganyika kiasi kwamba yeyote tu anaweza kuzungumza kwa niaba yake? Suala la vita au kuwa tayari kwa jeshi letu ni kamanda in chief peke yake anayeweza kulizungumzia. When was the last time you saw Lowassa inspecting a guard of honour?
Mimi nashangaa chain of command yetu iko wapi. Lowassa yeye ni nani kuzungumza kwa niaba ya JWTZ? Kamanda in Chief yuko wapi? Yaani Tanzania yetu imeshaparaganyika kiasi kwamba yeyote tu anaweza kuzungumza kwa niaba yake? Suala la vita au kuwa tayari kwa jeshi letu ni kamanda in chief peke yake anayeweza kulizungumzia. When was the last time you saw Lowassa inspecting a guard of honour?