herzygovina mwangosi
JF-Expert Member
- Sep 26, 2013
- 900
- 431
hili povu lote la nini?Sasa kama huna chama si utulie kama katumwa au hajatumwa wewe inakuhusu nini? Fanya yako kama siku zote endelea kuvipa kisogo vyama vya siasa maanguko yao hayatakuathiri kwa kuwa haufungamani na upande wowote.