Lowassa, Sumaye waibukia bungeni

Ungekuwa na open mind ungeweza kujua mleta mada ni mtu wa tabia gani.
Kwake kila akiamka jambo la kwanza ni Lowassa hili Lowassa lile. Kwake kumtaja ni kama mlo wa kwanza wa siku. Fungua akili mkuu ili utambue mambo
Hutajua chochote iwapo hutahoji.....unaandika maneno mazuri ila hujielewi...tatizo lako wewe ni kupinga ukweli,usiupinge hata kama umekuumiza.
 
Wana haki ya kufuatilia kinachoendelea bungeni kama raia wa Tanzania

Nitamkumbuka Lowasa kwa neno moja tu (kunyamaza kimya)ni silaha aliyoitumia kweli imemfanikisha.


Si alituingiza kwenye kashfa ya richmond, halafu gamba likakwama kiunoni na alisema ccm siyo mama yake. Tumkumbuke kwa lipi? Labda waliokuwa wanakula pesa zake. Sana katusaidia kuua upinzani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…