Zak Malang
JF-Expert Member
- Dec 30, 2008
- 5,404
- 242
Mimi nadhani hata Muungwana hamtaki swahiba wake kurithi kiti 2015. Angekuwa anataka, angefanya juu chini Dr Bilal (aliyekuwa anapigiwa debe na RA na EL) kupata uteuzi wa kugombea urais wa Zanzibar. Kwani strategy ya RA na EL ilikuwa kwamba kama Rais wa Zanzibar, Dr Bilal angekuwa Vice Chairman wa CCM, nafasi ambayo ingemuwezesha ku-control wajumbe wengi kutoka Visiwani wa NEC na General Congress ya CCM ili (pamoja na wengine wa Bara) kuweka nguvu ya kumpitisha EL mwaka 2015.
Bilal kukosa nafasi hiyo ni pigo kubwa kwa mikakakti ya akina EL na swahiba wake.
.mzee wapinzani wa mtandawo walikuwa wamejipanga kweli kweli....
na aina yeyote ya kujitetea asingeeleweka...na rais alishafanywa behind the scene ashindwe au aogope kumtetea
......so mwanajijiji in general Taarifa za kijasusi alizopewa Lowassa kuhusu hali halisi zilimshtua sana..na zilikuwa za ghafla....ie Plan B ya kina mwakyembe ilikuwa tishio kwa utawala mzima......
naamini kabisa lowassa angepata taarifa mapema ya kinachopangwa ....angekuwa waziri mkuu hadi leo ...kwani hata angepata taarifa ndani ya masaa 24 au 48 kabla ya tukio ...angekuwa na uwezo wa kubadilisha kabisa..hali ile na kuwapanga waru wa kumtetea na namna ya kujitetea au hata lolote lingeweza kutokea .....
.ni wazi tume ya mwakyembe ilichomudu ni USIRI mkubwa!!!
kama nilivyoona kwenye njozi yangu!!!!
Mi SIDHANI kama kabls ya kujiuzulu kwake Lowassa alikwenda kuongea na mkuu wake, na wakakubalina juu ya kujiuzulu kwake. Ingekuwa wameongea kabla na kukubaliana, Lowassa asingejiuzulu kwa namna alivyojiuzulu. Angejipanga kwa makini hata katika lugha, na kujiuzulu bila jazba.watu mnapenda sana kumdharau kikwete
ukweli ni kwamba lowasa was pushed by his boss (JK)
lowasa asingeweza kujiuzulu mwenyewe na alivyokuwa na uchu wa madaraka
mabalozi mbali mbali walikuwa wameshaanza kulalama juu ya ishu ya richmond na ikizingatiwa G.Bush alikuwa mbioni kuja TZ, JK akaona njia pekee ya kusafisha jina lake ni kumuondoa lowasa, akamwambia jiuzulu na lowasa akawa hana ujanja tena. Hapo JK apporval ratings zake zikaja juu na Bush akawasili kiwetwe akiwa juu na akamwaga misaada lukule.
kabla ya Lowasa kutanga bungeni kujiuzulu lazima alienda kwa JK kumueleza nia yake.
Je inamaanisha lowasa alimuambia JK mimi najiuzulu kukuokoa wewe na serikali yako????
kwanza hawezi kuthubutu kwa ajili kumuambia hivyo JK ni sawa sawa na kumuambia kuwa wewe(JK) ndio wenye makosa na si mimi
na sababu nyingine ni kuwa it was a case of mafahali wawili hawakai zizi moja, lowasa made a big mistake of underestimating kikwete intelligence alikuwa na haraka sana ya kutaka kufika juu.
na kwa mara nyingine july 2015 kikwete atamsukuma tena lowasa na kuhakikisha anakufa kabisa.
lowasa anashindwa kukubali kuwa things will neva be the same again
Mwanakijiji uliota kuhusu hili?tuhabarishe basi kiundani..
angalia ile madara ya "Makubaliano ya siri"...
Tatizo la misukule wanategemea master wao awapatie ugali na kila kitu.Inashangaza mbado kuna wananchi misukule bado wanaitetea hii misukule origino pamoja na HASARA KUBWA walituingizia taifani. HII INAGHADHABISHA SANA.
Bado Pinda anajiona kuwa ni mdogo kwa Lowassa.. si alikuwa chini yake kule Ofisi ya Waziri Mkuu? Au mnafikiri alipendekezwa tu kuushika Uwaziri Mkuu bila Lowassa kujua. Ndiyo maana hautaki tena kwani mwenye nao anauridia baadaye mwaka huu.
..
..anachotakiwa kufanya Lowassa ni kushinda kura ya maoni ya CCM na baada ya hapo anachukua Uraisi kiurahisi tu.
Kwahiyo kujiuzulu kwa EL ilikuwa danganya toto?Naona kama una maanisha Pinda alikuwa akimshikia nafasi EL kwa muda hadi wadanganyike wasahau,ajisafishe then arudi kwenye nafasi yake kabla ya kugombea urais mwaka 2015?Bado Pinda anajiona kuwa ni mdogo kwa Lowassa.. si alikuwa chini yake kule Ofisi ya Waziri Mkuu? Au mnafikiri alipendekezwa tu kuushika Uwaziri Mkuu bila Lowassa kujua. Ndiyo maana hautaki tena kwani mwenye nao anauridia baadaye mwaka huu.
Kwa hiyo alimshikia Uwaziri Mkuu kwa muda? Kama mwendo wenyewe ndio huu watanzania wataanza kuwaabudu wanasiasa kama Miungu yao. ''Allah Lowasa U Akbar, Allah Kikwete U Akbar''. ''Kwa jina la Lowasa na la Kikwete'' Wote tuseme.....Bado Pinda anajiona kuwa ni mdogo kwa Lowassa.. si alikuwa chini yake kule Ofisi ya Waziri Mkuu? Au mnafikiri alipendekezwa tu kuushika Uwaziri Mkuu bila Lowassa kujua. Ndiyo maana hautaki tena kwani mwenye nao anauridia baadaye mwaka huu.
..inaelekea wengi wenu mna umri mdogo humu ndani.
..Edward Ngoyai Lowassa ndiye aliyempa Uraisi Jakaya Mrisho Kikwete. kampeni zote chafu, kununua waandishi wa magazeti, etc etc ziliongozwa na kuratibiwa na Lowassa.
..anachotakiwa kufanya Lowassa ni kushinda kura ya maoni ya CCM na baada ya hapo anachukua Uraisi kiurahisi tu.
..kwa mtazamo wenu ni nani aliyeko ktk kamati kuu, na halmashauri kuu za CCM, anayeweza kuzima azma ya Lowassa kumrithi Kikwete?
..je, mna uhakika kwamba ndani ya CCM kuna wanachama wa kutosha ambao wanaona Lowassa hawafai na ni mzigo kwa chama chao.
NB:
..KAMA HAMUMTAKI LOWASSA 2015, BASI MSIMCHAGUE KIKWETE UCHAGUZI HUU WA 2010.
Kwahiyo kujiuzulu kwa EL ilikuwa danganya toto?Naona kama una maanisha Pinda alikuwa akimshikia nafasi EL kwa muda hadi wadanganyike wasahau,ajisafishe then arudi kwenye nafasi yake kabla ya kugombea urais mwaka 2015?