Feedback
JF-Expert Member
- Mar 14, 2011
- 7,988
- 4,507
Huyo ndiye mgombea mtarajiwa wa CCM come 2015 upende usipende na Kikwete hana jinsi kwa hilo.Aendelee tu kuota ndoto za mchana kwani Lowassa anasahau watanzania wana hasira naye kiama na akiamua kugombea urais akipata kura hata 10% ashukuru mungu. Mie naomba CCM wamchague awe mgombea urais tumsubiri mtaani kumuangusha anguko kuu once a fisadi always a fisadi there is no redemption. Mchagueni CCM anawafaa 2012 sijui 2015 tunamsubiri.