johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,537
Mh Lowasa amesema hatategemea nchi wahisani ktk kuongoza serikali yake. Amedai Tanzania ina rasilimali za kutosha kabisa kuweza kujitegemea na kujiongoza yenyewe so amewataka watanzania wachague ukawa ili kuondokana na utegemezi uliodumu kwa miaka zaidi ya 50! source ITV Habari.
Watanzania ni mda wa kujitambua na kuachana na story xa ccm ebu tujaribuni na kwingine hivyo kura zote ni kwa lowasaaaa
nitamtafutia kura lowassa usiku na mchana, atuondolee haibu ya kuwa taifa omba omba.
Muulize wale rafiki zake wa kijerumani wanatafuta nini ndo ujue anachoongea anamanisa au hajielewi
Amesema gesi asilia ipo ya kumwaga...viva lowassa
Edward Lowassa amesema hatategemea nchi wahisani ktk kuongoza serikali yake.
Amedai Tanzania ina rasilimali za kutosha kabisa kuweza kujitegemea na kujiongoza yenyewe so amewataka watanzania wachague ukawa ili kuondokana na utegemezi uliodumu kwa miaka zaidi ya 50!
Chanzo: ITV Habari
Bingwa LA majiziwapi? Wachina wanao maliza tembo wetu?
That's true kwani nchi kama kenya haina rasilimali kama tz lakini asilimia zaidi ya 80 ya bajeti yao ni mapato ya ndani wakati tz ni asilimia takribani 60 tu. But why? The simple answer is CCM!Edward Lowassa amesema hatategemea nchi wahisani ktk kuongoza serikali yake.
Amedai Tanzania ina rasilimali za kutosha kabisa kuweza kujitegemea na kujiongoza yenyewe so amewataka watanzania wachague ukawa ili kuondokana na utegemezi uliodumu kwa miaka zaidi ya 50!
Chanzo: ITV Habari
Ungemuuliza kitakwimu ni milimita ngapi q ili ujue anajua au ni bigwa wa maigizo,
kujua takwim siyo kujua kuongoza na bongo hatufuati takwim mana wtz wanaishi kwa matumain
Bingwa LA majizi