gogo la shamba
JF-Expert Member
- Mar 1, 2013
- 6,669
- 2,165
Ukinywa pombe kinatoka nini "matusi siyo" Ukikerwa yanayoingia ni maneno "kinatoka nini kuua labda" Ukikutana na mwizi unaingiziwa mbinu za wiz siyo "kinachotoka ujambazi siyo" Ndio maana tunasema chunga sikio na macho maana ndio huingiza yote mabaya na mazuri.
Samahani kama nakera ila kwa kweli nguruwe ni kitoweo kitamu balaa. Hakuna nyama tamu ka ya nguruwe na pweza duniani. Huu ni ukweli na mwili unaokula nguruwe unazikwa hapa aridhini na roho ndio inaenda Mbinguni au jehanamu. Nguruwe ni kwa ajili ya mwili but neno la Mungu na matendo mema ni kwa ajili ya roho. Pombe inaharibu mawazo na roho hivyo kuleta dhambi ndio maana kunywa pombe ni ndhambi ila kula nguruwe ni sawa na ugali tu kwa ajili ya nguvu za mwili.
nimeamua kukuacha kama ulivyo maana unakoelekea utakuja kuniambia kwamba, hata ukitumiwa sehemu yako ya nyuma haina tatizo kwako kwani si tundu kama matundu mengine ili mradi wewe mwenyewe umetaka