Lowassa sauti yake haikusikika

gidamulida

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2014
Posts
286
Reaction score
95
Wakati akihutubia Bariadi wananchi hawakumsikia alichokuwa akisema hivyo nyomi ikaanza kusepa.

Huenda na Geita ilikuwa tatizo ni sauti yake na si vipaza sauti. (?)

Basi nashauri atengenezewe kipaza sauti chake maalum maana iliwaboa waliohudhuria mkutano wake waliokuwa nje ya jukwaa.

Source. Aliyekuwapo
 
Acha kusikika tu hata awe bubu Lowassa nitamchagua
 
Kwanza mi namshangaa sana Lowassa anavyohangaika na kampeni. Hivi ana haja ya kufanya kampeni kweli?
 
Kwanza mi namshangaa sana Lowassa anavyohangaika na kampeni. Hivi ana haja ya kufanya kampeni kweli?

Lowassa hadi sasa KASHASHINDA...

ANATIMIZA majukumu tu ya RATIBA... like football match, lazima dak. 90 ziishe hata kama uko mbele kwa magoli 100 na bado dak 5 mpira kuisha..!!!

Lowassa ndio Rais is just the matter of time...!!!
 
Nashauri hapa tuweke mambo ya msingi, swala la kupewa taarifa na aliyekuwepo ni second hand news given, no research no right to speak or write, fanya utafiti kwanza, mabadiliko ni nyakati na wakati ukifika hakuna Wa kuzuia, Lowassa ni mabadiliko.
#MabadilikoNiLazima2015
 
Mgonjwa wa mapafu na kisukari huyo hafai kila baada ya masaa 2 sindano za dozi,bora tumpe hashim rungwe kuliko richmonduli,NEC inapaswa kuweka kipengele cha afya kwa wagombea urais
 
Mgonjwa wa mapafu na kisukari huyo hafai kila baada ya masaa 2 sindano za dozi,bora tumpe hashim rungwe kuliko richmonduli,NEC inapaswa kuweka kipengele cha afya kwa wagombea urais

Kila baada ya saa mbili sindano? Sipati picha mwili ulivyojaa vitobo vitobo.
 
Kama asingekuwa dhaifu, Sumaye ni wa kazi gani? Kwanza mnachulia MZEE wa watu kwa kumuandalia mrithi akingali hai.
 
Lowassa hadi sasa KASHASHINDA...

ANATIMIZA majukumu tu ya RATIBA... like football match, lazima dak. 90 ziishe hata kama uko mbele kwa magoli 100 na bado dak 5 mpira kuisha..!!!

Lowassa ndio Rais is just the matter of time...!!!

Ataendelea kuzunguka mpaka utabiri wa mtoto wa Yahaya utimie.
 
Posts count : 13

Other :member

Project lumumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…