Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,960
- 11,221
Umewahi kuona wapi chama cha siasa kikabaki salama baada ya principles zake zinazojenga perception which bears like-minded viewpoints kwa wanachama kuanza kuchezewa.Fahamu kwamba ndani ya wabunge wa ccm, wengi wao walipendelea serikali 3. kilichokuja kuvuruga misimamo yao ni hotuba aliyotoa mhe. jk kama unakumbuka. Sasa hata EL alikuwa miongoni mwa waliokuwa na msimamo wa serikali 3.
Undumila kuwili wa wanasiasa ni wa pande zote si ccm au ukawa wote tu
Vitu kama hivyo vinawezekana kwenye vyama visivyo na maisha marefu tu au vinavyo jisahau na mwisho wake pia na vyenyewe utoweka kwa sababu hakuna shared ideologies za kufanya watu waweze kukipigania chama kikiwa nje ya madaraka. Na mwanachama asiye committed on any side or shift his stances quickly to gain something si mwansiasa wa kumuamini.
Kuna tofauri kubwa hapo ya kiongozi wa chama kuwakumbusha wanachama principles zao na mwanachama mmoja kubadilisha kile anachoamini kisa kupata madaraka (huo ndio utapeli wenyewe wasiasa) Lowassa katika maisha yake yote ya siasa ajawahi kusema anakubaliana na sera za serikari tatu mpaka jana kwenye umati unaopenda kusikia habari hizo.