Lowassa’s U-turn on Katiba process

Lowassa’s U-turn on Katiba process

Sidhani kama Lowassa alikuwa muumini wa serikali tatu.

Hebu msikilize hapa anavyopinga serikali tatu!

No matter what he was. Kinachojalisha sasa ni mwelekeo wake na nia yake ya kuongoza mabadiliko.

Kama alikuwa muumini wa serikali tano kumi, mbili hata nne, ni sawa na wengine wenye mitazamo tofauti ambacho ni kitu cha kawaida tu katika jamii. Cha muhimu ni kwamba sasa amekwenda kwenye mstari wa Wananchi kama UKaWA inavyotka.

Lowasa hatafanya ya kwake ila atafanya ya UKAWA sawa na vile kila fisadi, jambazi na muungwana watakavyolazimika kufuata sera za UKAWA kwa hiyari ama kwa lazima.

TUNATAKA MABADILIKO NA MABADILIKO YANAPATIKANA UKAWA!. ukawa si ccm wala mtu binafsi.
 
Last edited by a moderator:

Mimi nisichoelewa watanzania ni kitu kimoja tu kwamba CCM pamoja na mengine wananalalamikia undugu na mgombea kutoka "mfukoni", sasa kama haya ni mabaya na hayatakiwi sijui kwa nini watu wanapohoji kama hayo hayawezi kutokea na upande B majibu yanakuwa yale yale ya kiimani tu. . . . .

Mtu ni mtu tu hatakiwi kuaminika moja kwa moja haswa mtu mgeni, watu wakiuliza wajibuni tu maelezo yatahitajika saana tu, undeni task force kabisa yawepo majibu, hii habari ya "atafuata tu". . . . .ni ya kimatumaini zaid kuliko uhalisia. . . . .

We unadhani Nkurunzinza mwanzo hakuaminiwa?!! Mbona kageuka? ?!!!
 
Kwa hiyo viongozi wasio na dhamira ya kweli juu ya wanaowaongoza isipokuwa kutekeleza mahitai ya vyama vyao kwako sio tatizo??!!

Mkuu OLESAIDIMU hapo kwenye bluu umenilisha maneno

Ukijaribu kunielewa kidogo ninachomaanisha ni kuwa, katika mazingira ya sasa na uhalisia uliogubika bunge la katiba, ni dhahiri kuwa kuna watu waliokuwa na msimamo tofauti na msimamo wa chama lakini kwa sababu ya ukweli kuwa political aspirations zao zinabebwa na maamuzi ya chama, mtu anaona ngumu ku-defect msimamo wa chama na analazimika kuufuata huo mkumbo ili mwisho wa siku asionekana kuwa "siyo mwenzetu" na kuhatarisha muelekeo wake kisiasa

Hili lilikumba pande zote...hata hao UKAWA wenyewe siyo kweli kwamba wote walikuwa wanakubaliana na huo msimamo (bila shaka unafahamu baadhi ya wbunge wa UKAWA ambao walionesha msimamo wazi na wengine hawakuonesha wazi) lakini kwa sababu ya mazingira ya "maamuzi ya wengi na ya pamoja" unalazimika kwenda na mkumbo hata kama hukubaliani nao kifalsafa

Kwa kusema haya, msingi wangu ni kuwa hili ni kosa....kushindwa kuonesha msimamo wako utakaoenda kinyume na msimamo wa chama ambacho ndicho kimeshika turufu yako kudumu kwenye siasa.....

But in all honest, hata kama ungekuwa wewe......heading to elections....una aspiration za kugombea ubunge au urais...unafahamu wazi walioshika turufu yako wana msimamo tofauti na ulionao...bila unafiki....msimamo utakua kufuata mkumbo ili "walioshika makali" wasije wakakukata
 
Last edited by a moderator:
Sidhani kama Lowassa alikuwa muumini wa serikali tatu.

Hebu msikilize hapa anavyopinga serikali tatu!

Nukuu ya Lowasa kwenye mkutano wa Zanzibar.........Uumini wake wa Serikali Tatu kumbe una historia ndefu

Kuhusu Katiba, alisema yeye ni muumini wa Serikali Tatu zitakazosaidia kuimarisha Muungano na kwamba msimamo wake huo aliouonyesha tangu miaka ya 90 wakati wa harakati za kundi la G55.
Alisema suala hilo litafafanuliwa vizuri wakati wa uzinduzi wa ilani ya uchaguzi Jumamosi wiki hii na wakati wa kampeni.

Japo nimepitia orodha ya G55 sijamuona yeye na JK japo miaka kadhaa nyuma ilidaiwa wamo kwenye hiyo orodha

Source: Home
 
Last edited by a moderator:
Mkuu OLESAIDIMU hapo kwenye bluu umenilisha maneno

Ukijaribu kunielewa kidogo ninachomaanisha ni kuwa, katika mazingira ya sasa na uhalisia uliogubika bunge la katiba, ni dhahiri kuwa kuna watu waliokuwa na msimamo tofauti na msimamo wa chama lakini kwa sababu ya ukweli kuwa political aspirations zao zinabebwa na maamuzi ya chama, mtu anaona ngumu ku-defect msimamo wa chama na analazimika kuufuata huo mkumbo ili mwisho wa siku asionekana kuwa "siyo mwenzetu" na kuhatarisha muelekeo wake kisiasa

Hili lilikumba pande zote...hata hao UKAWA wenyewe siyo kweli kwamba wote walikuwa wanakubaliana na huo msimamo (bila shaka unafahamu baadhi ya wbunge wa UKAWA ambao walionesha msimamo wazi na wengine hawakuonesha wazi) lakini kwa sababu ya mazingira ya "maamuzi ya wengi na ya pamoja" unalazimika kwenda na mkumbo hata kama hukubaliani nao kifalsafa

Kwa kusema haya, msingi wangu ni kuwa hili ni kosa....kushindwa kuonesha msimamo wako utakaoenda kinyume na msimamo wa chama ambacho ndicho kimeshika turufu yako kudumu kwenye siasa.....

But in all honest, hata kama ungekuwa wewe......heading to elections....una aspiration za kugombea ubunge au urais...unafahamu wazi walioshika turufu yako wana msimamo tofauti na ulionao...bila unafiki....msimamo utakua kufuata mkumbo ili "walioshika makali" wasije wakakukata

Cathode Rays . . . . . Sijakulisha maneno lbada tu deductiin yangu inanielekeza hivyo, tusameheane!!!

Natamani sana haya uliyoyaandika yangekuwa yanatoka vinywani mwa hao wanaohama na kubadili misimamo ili tuwe na rekodi siku watakapogeuka tena na tena. . . . .,
Wananchi inatakiwa sisi tuwadai hawa viongozi wawe wakweli na kama mtu akikiri basi labda anaweza kuwa anamaanisha. . . . . .

Unakumbuka Bill Clinton alisema nini juu ya Lewinski? ?!!!
Baada ya kusema vile nini kiliendelea??!!

I just wish. . . . . .
 
Last edited by a moderator:
Mimi nisichoelewa watanzania ni kitu kimoja tu kwamba CCM pamoja na mengine wananalalamikia undugu na mgombea kutoka "mfukoni", sasa kama haya ni mabaya na hayatakiwi sijui kwa nini watu wanapohoji kama hayo hayawezi kutokea na upande B majibu yanakuwa yale yale ya kiimani tu. . . . .

Mtu ni mtu tu hatakiwi kuaminika moja kwa moja haswa mtu mgeni, watu wakiuliza wajibuni tu maelezo yatahitajika saana tu, undeni task force kabisa yawepo majibu, hii habari ya "atafuata tu". . . . .ni ya kimatumaini zaid kuliko uhalisia. . . . .

We unadhani Nkurunzinza mwanzo hakuaminiwa?!! Mbona kageuka? ?!!!

Siyo imani. Imani ni bayana ya mambo yasiyoonekana, ni hakika ya mambo yatarajiwayo. Sasa lipi hapa linalohitaji imani? Hujasikia mwenyewe akisema atasimamia rasimu ya katiba ya Warioba ambayo ndiyo msingi wa UKAWA? Hujasikia akisema namna ccm haifai tena kuongoza nchi? Ulitaka afanye nini ili ujue kwamba yuko chini ya UKAWA na si yo kama ccm ambayo raisi anajiweka juu ya katiba?

Huwezi kupiga ramli kwamba Nkurunzinza atakuwa sawa na kiongozi wa UKaWA. UKaWA haimpi mtu mmoja kujiamulia anachotaka kufanya. Kama ni u Nkurunzinza, basi huo mfano wake ni Ccm na kikwete wenu.

Kama unaswali lolote lile, wewe uliza na si kuanza kuwaambia eti waunde task force yakujibu maswali. Ukawa siyo wapika maneno kwamba kutoa majibu hadi iwe task force.

Wewe uliza swali ulilonalo utajibiwa precisely!. Nawala hilo haliisafishi ccm wala kuiipa legitimacy ya kulazimisha uraisi wakati Watanzania tumeikataa!.
 
Mtu anapoamua kubadili mawazo juu ya jambo linalohusiana na msimamo au kanuni fulani ni lazima awe na sababu za msingi za kumfanya kubadili mawazo. Kubadili mawazo kwa sababu ya sababu fulani za msingi ni jambo la kawaida na ni sehemu ya maisha, na hasa katika siasa. Kwa mfano, mtu akiamua kubadili mawazo juu ya suala la Muungano kwa mfano ni lazima ana sababu; kwamba alichokuwa anaamini kilikuwa hakina msingi na sasa ameona mwanga fulani. Lowassa anaweza kweli amebadili mawazo kwa sababu sasa ameona mwanga.

Lakini katika mazingira ya siasa za sasa ni vigumu kuona jinsi gani ameweza kugeuza mawazo baada ya kupewa nafasi ya kugombea isipokuwa amekubali kubeba mawazo ya wale ambao sapoti yake anaihitaji ili kuweza kwenda Ikulu. Kwa sababu hiyo itambidi aibeze CCM, aseme kinyume na yale aliyoyasema akiwa CCM na itabidi ajioneshe kuwa sasa amevaa joho jipya la upinzani. Kama hili ni suala la moyoni au la kisiasa tu hakuna anayejua. Isipokuwa angalau kama ametamka kwa kauli yake basi inabidi tukubali kwa kauli yake hiyo. Ila akishinda au kushindwa ndio tutajua anasimama wapi hasa kwani akishinda halafu akaamua kutokutoa full autonomy na akasimamia suala la Serikali Mbili kama alivyofanya akiwa CCM CDM watamfanya nini?

Kama Lowassa katamka hivi hadharani nakubali kuwa ameanza kuelewa. Sasa nasubiri afanye jambo jingine. Akiri, hadharani kuwa Richmond ilikuwa ni makosa na ndio maana alijiuzulu kama Mkuu wa Serikali. Aombe radhi wananchi kwa yote yaliyotokea juu ya hilo na kwamba akipata nafasi ya kulisimamia upya suala kama hilo asingerudia makosa hayo. Aachane na mambo ya kama alihusika au la! Richmond ilitokea akiwa Waziri Mkuu- kwa vovyote alihusika ndio maana alijiuzulu. Akifanya hivi kura zitamfuata kama mafuriko ya Mwanza!
 
Siyo imani. Imani ni bayana ya mambo yasiyoonekana, ni hakika ya mambo yatarajiwayo. Sasa lipi hapa linalohitaji imani? Hujasikia mwenyewe akisema atasimamia rasimu ya katiba ya Warioba ambayo ndiyo msingi wa UKAWA? Hujasikia akisema namna ccm haifai tena kuongoza nchi? Ulitaka afanye nini ili ujue kwamba yuko chini ya UKAWA na si yo kama ccm ambayo raisi anajiweka juu ya katiba?

Huwezi kupiga ramli kwamba Nkurunzinza atakuwa sawa na kiongozi wa UKaWA. UKaWA haimpi mtu mmoja kujiamulia anachotaka kufanya. Kama ni u Nkurunzinza, basi huo mfano wake ni Ccm na kikwete wenu.

Kama unaswali lolote lile, wewe uliza na si kuanza kuwaambia eti waunde task force yakujibu maswali. Ukawa siyo wapika maneno kwamba kutoa majibu hadi iwe task force.

Wewe uliza swali ulilonalo utajibiwa precisely!. Nawala hilo haliisafishi ccm wala kuiipa legitimacy ya kulazimisha uraisi wakati Watanzania tumeikataa!.

Kwa hiyo akisema ndio nini??!!
Wangapi wamesema??!!
Yaliyosemwa na yaliyotendeka uwiano ukoje??!!!
Kama kasema na wewe unasisitiza kwa alaiyoyasema hiyo sio imani??!! Kama sio hii ni nini????

Nkurunzinza anaweza toka pande yeyote kati ya vyama vinavyotaka kutawala na hilo ndio angalizo kwa yeyote mwenye akili sobber as compared na nyie wenye vyama na mnadhani kila anayehoji basi lazima awe na chama!!!!

Inasikitisha sana kuona watu mkihojiwa mnaanza ooonh CCM yenu mara ACT yenu. . . . .Hii mnaitoa wapi phobia isiyo na mashiko??!! Unadhani kila aliyemo humu ni mwanachama wa chama fulani??!!!

Legitimacy haiji kwa upande mmoja kuponda mwingine NO. . . . . Legitimacy ni matendo na kauli zinazotekelezeka. . . Ni zao la historia. Kila upande utajijengea legitimacy yake hilo halina mjadala isipokuwa kwa asiyekuwa na akili timamu tu!!!
 
Sio nchi hii, angalia comments za wananchi, hakuna demand ya kutaka viongozi wakweli na wenye misimamo, hawaoni kuwa ni ukakasi kuwa na kiongozi anaeweza kubadili msimamo mkubwa na asitoe maelezo ya kina mbele ya wananchi, (unaweza ambiwa kaelezea kwenye vikao ikaishia hapo) !!!!

Wanadai wamechoka mfumo lakini hawataki kuachana na tabia za mfumo uliochokwa. . . .
 
You are against wananchi if you don't support what they die-hard support.... Brilliantly played U-turn by Mr. Lowassa.
natangaza rasmi kuwasamehe wale wote watakaopiga goti na kukiri makosa yao juu ya uharamia walioitendea rasmi halali ya wananchi kupitia kwa tume ya warioba (msamaha huu haumhusu chenge )
 
Kwa kikosi hicho ccm ni balaaa ngoja nisubir cha ukawa
 
Hayo maneno kaenda kuyasemea kibanda maitiiiii...mwanza,dar na mbeya hakusema,anajua ndio wanachopenda kusikia watu wa kibanda maiti.
Mkuu,
Hizi ndizo siasa. Unadhani mwanasiasa atakubalika katika siasa zetu kama hawezi kukisema kile anadhani wananchi wanataka kukisikia?

Hata hivyo siasa za Zanzibar ni ngumu sana kuzielewa!
 
Political U-turns not so bad... provided they work! We all know voters also do U-turns all the time!

Is it time to applaud politicians who U-turn?

If we look at other side, U-turn creates the impression of lack of grip and direction, and chaotic decision making to a politicians. Now, Mr Lowassa is open to attack, criticism, and ridicule from the opposition to Three tier government.

Lowassa U-turn is not new, politicians will promise just about anything to get elected. Unfortunately, as we know all too well, most of these pledges are consistently forgotten and broken, swept under the rug until the next election cycle.

Nawaza tu kama hii U-turn ingetokea kama angekuwa amevaa nguo za kijani na njano zenye nembo ya jembe na nyundo!

Mpaka Uchaguzi upite, tutaendelea kusikia mengi kutoka kwa wanasiasa wetu!
Alipojiunga na vhama chenye msimamo huo ndio unapaswa kuwa msimamo wake pia. Je mlitarajia aende huko awabadilishe msimamo uliowaleta pamoja?
 
Kwa hiyo akisema ndio nini??!!
Wangapi wamesema??!!
Yaliyosemwa na yaliyotendeka uwiano ukoje??!!!
Kama kasema na wewe unasisitiza kwa alaiyoyasema hiyo sio imani??!! Kama sio hii ni nini????

Nkurunzinza anaweza toka pande yeyote kati ya vyama vinavyotaka kutawala na hilo ndio angalizo kwa yeyote mwenye akili sobber as compared na nyie wenye vyama na mnadhani kila anayehoji basi lazima awe na chama!!!!

Inasikitisha sana kuona watu mkihojiwa mnaanza ooonh CCM yenu mara ACT yenu. . . . .Hii mnaitoa wapi phobia isiyo na mashiko??!! Unadhani kila aliyemo humu ni mwanachama wa chama fulani??!!!

Legitimacy haiji kwa upande mmoja kuponda mwingine NO. . . . . Legitimacy ni matendo na kauli zinazotekelezeka. . . Ni zao la historia. Kila upande utajijengea legitimacy yake hilo halina mjadala isipokuwa kwa asiyekuwa na akili timamu tu!!!

Nimefuatilia sana maandiko yako wewe na wala huwezi kudanganya mtu kwamba unataka ccm iendelee kwa kuwa umeizoea, au kwa kuwa huan maono mema zaidi ya maisha ulioyozoeshwa au hujui namna ya kubadilisha mifumo na hali ya nchi. Ninachokiona wewe unaona ni afadhli ufe na ccm kwa msemo usemao "afadhali shetani mzee kuliko shetani kijana".

Kama huna uelewa, unauilza badala ya ku conclude.

We need transformation and if you don't, you can not stop us. Tunajua mabadiliko is a process kama vile uharibifu wa nchi umekuwa process ya muda mrefu iliyokuwa ikitengenezwa na ccm. Kwanza tunaiondoa hiyo ccm yenu madarakani. Pili tunatengeneza coercive system na constitution itakayowalinda Watanzania wote dhidi ya predatory behaviors and practices kama za ccm. Watu wote mafisadi, wewe na mimi tutalazimika ku abide whether we like or not. Is for Public interests and security.

Sasa unachotaka zaidi ni nini? Kwamba wasiseme wanachokifikiria kukifanya kwa kuwa ccm na nkurunzinza walisema hawakufanya?

Mbona huongelei nchi kama Kenya iliyomove foward kwa kasi ya ajabu baada ya kulindoa li ccm lenu la kule?

Kwa nini huongelei nchi kama CHINA ambako hakuna mpumbavu mmoja atadiriki kufanya yanayofanywa na ccm hata kama anatamani bila kujalisha cheo chake?

Tunakwenda kujenga mfumo imara na sahihi ambao ccm imeukwepa ili itimize hizo azma za ubabaishaji na udanganyifu.
 
Acha uongo vp kuhusu Warioba na Polepole n wanachama wa chama gani kweli! Hakuna jipya n kutafuta madaraka tu kwa njia yoyote

Kuna watu humu mmekose cha kujadili! Hiki kitu kiko wazi, hamna mtu atahamia chadema halafu aendeleze sera na mitazamo ya chama alichotoka! Kitendo cha U-turn ndo change yenyewe, ni lazima abadilike ili aji align na sera na utamaduni wa alikohamia! Hivi angesema anaunga mkono serikali mbili mngesemaje? Kwenu wapinzani wake si mngefurahi kwamba ukawa wanalo? Anacho kifanya kwasasa ndo sahaihi ndiyo transformation yenyewe bila kujali mwanzoni alisema nini! Ukiamua kubadilika unabadili kweli kweli,kama mwanaume anaweza kwenda kufanyiwa upasuaji ili awe mwanamke, sembuse Lowasa kugeuza maneno yake alipokuwa ccm!

Na bado yapo mengi sana atayasema ambayo alipokuwa ccm it was quite the opposite!

Kwa Sasa Lowasa ni Chadema msitegemee aongee kama mwanamagamba tena!
 
Sioni la kushangaza hapo, kama ni u turn Lowassa alishapiga tangu siku alipojiunga na UKAWA kupitia CHADEMA, Lowasa alijua UKAWA is primarily about the new constitution, hapo ndio mzizi wa kila kitu... yaani hakuna katiba ya UKAWA hakuna UKAWA, hapo ndio palipofanya watu waweke kila kitu pembeni waungane, hivi vyama vinne vina itikadi tofauti na mengi tu wanayopingana na kupishana wenyewe kwa wenyewe, ila vinakubaliana katika mambo mawili makuu...la kwanza rasimu ya katiba, la pili kuitoa ccm madarakani, wanachama wa hivi vyama wengi wao ni walala hoi ambao bila kujali tofauti za itikadi zao wanaishi maisha magumu chini ya utaratibu uliopo unaozidisha gap kati ya matajiri na maskini na kunyanyasa wale ambao ni tishio kwa utawala wa chama tawala hili tayari linawaunganisha pamoja. Lowasa kwa kusema mwenyewe kwa kauli yake kwamba atasimamia katiba iliyotakiwa na wananchi na iliweka UKAWA pamoja ni jambo la baraka kwa nchi hii, Lowasa asingeweza kwenda UKAWA kusimamia katiba iliyopitishwa na ccm hali akijua wazi ukawa ni Umoja wa Katiba ya Wananchi.

tunaihitaji hii katiba mpya ya wananchi like never before, katiba iliyopitishwa na ccm haitupeleki popote hata tumweke pale magogoni malaika original fresh kutoka mbinguni.

Uko sahihi, watu wanashangaa nini?

Siku Kikwete alipolihutubia bunge la katiba na kutoa msimamo wa CCM kuhusu hiyo katiba ndio ulikuwa mwisho wa draft ya Kamati ya Walioba na mwanaCCM yeyote asingekuwa tofauti naye ndani ya CCM. Lowasa alivyoingia ukawa ndio ukawa mwanzo wa yeye kukubaliana nao, tukumbuke tunaambiwa haikuwa kazi rahisi, inamaana pande zote zilijiridhisha kuwa pamoja na kukubaliana kuweka pembeni baadhi ya misimamo.

Mnakumbuka Maalim Seif alisema Lowasa alimuuliza kuhusu tetesi za CUF kuvunja muungano? hayo yote ni ishara ya kujiridhisha kabla ya kufanyakazi pamoja kwa hiyo hakuna cha kushangaa tukimuona Lowasa akiwa tofauti na chochote alichotamka akiwa CCM.
 
Alipojiunga na vhama chenye msimamo huo ndio unapaswa kuwa msimamo wake pia. Je mlitarajia aende huko awabadilishe msimamo uliowaleta pamoja?

Ninachokiona hapa kuna haja kubwa sana ya kutoa elimu juu ya mabadiliko. Watu wenye uelewa mdogo hawawezi kutoa hoja za kuboresha zaidi sana wanaonyesha hofu ya mabadiliko. Wanaogopa kupoteza ama kutokea kwa wasiyoyojua.

Lakini jambo la ajabu, kuna kundi moja ama kwa makusudi au kwa ujinga, linajaribu kuwaaminisha watu kwamba mtu akihama kutoka chama kimoja na kwenda kingine, basi anahama na sera, mila na mazoea ya kule alikokuwa anayapelekea kule anakoenda. Na hili ndilo linawafanya wengine waone kama Lowasa kaenda kuharibu ukawa, na ccm wanaona kama ni kete ya kuwafitinisha wapenda mabadiliko kwamba Lowasa anahamisha ushetani wa ccm na kuuambukiza kwenye UkaWa.

Watu wanapaswa kujua wahamiaji wote wanakwenda CHaDEMA kwa kuwa wameona ni chama makini chenye misingi imara na uwezo wa kuongoza mabadiliko katika nchi. Na baada ya kuona hawaridhiki na mifumo iliyopo ikiwa ni pamoja na kunyimwa fursa za kuwaza mabadiliko ndani ya vyama vyao, wanatafuta uwezekano huo nje ya ccm.

Lowasa anayetumiwa kwa mema na mabaya, amesema alitafuta fursa za kufanya mabadiliko ndani ya ccm lakini alinyimwa na akaona mahala sahihi pa kufanay hayo ni CHADEMA. Sasa kwa nini watu wasiamini kwamba anakohamia anakwenda kuungana na manguli aliowakuta kuongeza nguvu ya mabadiliko?

Kwa nini waamini kwamba Lowasa ataharibu kundi lote la waadilifu wa UKAWA, pamoja na nia yake njema na wasione kama kundi la waadilifu wa UKaWA ndiyo misngi wa mabadiliko ya kuwabadilisha wtu mmoja mmoja na chi nzime kutoka kwenye u ccm kwenda kwenye Utanzania?

Lowasa should not be an agenda now. Tumwone yeye na wageni wenzake, pamoja na wenyeji wao kwamba wanafanya kazi moja ya kulikomboa taifa kwa misingi ya UKaWA na si uozo unaonuka kule ccm.

Ccm haipaswi kupewa nafasi ya kuendelea ku create confusions na hofu eti Lowasa amehamishia ufirauni CHADEMA kwa kuwa hata yeye anasema anasimamia katiba ya Warioba? What else? Ukawa siyo ccm kila mtu aamue kufanya atakacho. Kla mmoja anafanya vile UKaWA unataka.

Pengine kwa kuwasaidia ccm, ni vizuri wakashughulika na mafisadi wao walioota magamba sugu huko ccm ambao wameapa kuendeleza ufisadi at any cost.

UKaWA, waachie wapigania ukombozi waliopo na wanaoungana na hili jeshi ili kuongeza nguvu na kasi ya ukombozi.
 
Ungeshauri ccm wapigane na mfumo na siyo watu wanaowaita magamba. Nina hakika kama tatizo lingekuwa watu ufisadi ungekuwa umeisha siku nyingi.
 
Siyo imani. Imani ni bayana ya mambo yasiyoonekana, ni hakika ya mambo yatarajiwayo. Sasa lipi hapa linalohitaji imani? Hujasikia mwenyewe akisema atasimamia rasimu ya katiba ya Warioba ambayo ndiyo msingi wa UKAWA? Hujasikia akisema namna ccm haifai tena kuongoza nchi? Ulitaka afanye nini ili ujue kwamba yuko chini ya UKAWA na si yo kama ccm ambayo raisi anajiweka juu ya katiba?

Huwezi kupiga ramli kwamba Nkurunzinza atakuwa sawa na kiongozi wa UKaWA. UKaWA haimpi mtu mmoja kujiamulia anachotaka kufanya. Kama ni u Nkurunzinza, basi huo mfano wake ni Ccm na kikwete wenu.

Kama unaswali lolote lile, wewe uliza na si kuanza kuwaambia eti waunde task force yakujibu maswali. Ukawa siyo wapika maneno kwamba kutoa majibu hadi iwe task force.

Wewe uliza swali ulilonalo utajibiwa precisely!. Nawala hilo haliisafishi ccm wala kuiipa legitimacy ya kulazimisha uraisi wakati Watanzania tumeikataa!.

..lowassa hajawahi kusema "naomba msamaha..." kuhusu richmond.

..lakini lowassa amewahi kusema kwa alijiuzulu ili kuwajibika kwa makosa yaliyofanywa na serikali ambayo yeye Lowassa alikuwa akiisimamia.

..lowassa aliongeza kwamba yeye alijiuzulu kama walivyofanya mawaziri wengine kama mzee ali hassan mwinyi, mzee peter siyovelwa, na mzee peter kisumo.

..video zinazoonyesha lowassa kusema hayo zipo kwenye mtandao.

..richmond ilitokana na watendaji wa serikali kulazimishwa na " mamlaka ya juu" ikulu.

..zaidi ya lowassa wako wengine walioumizwa kama dk.ibrahim msabaha akiyesema yeye alifanywa "bangusilo"/mbuzi wa kafara na kwamba richmond ina mwenyewe.
 
Back
Top Bottom