Lowassa Rudi Kenya ukapatanishe Wakenya wasiuane

Lowassa Rudi Kenya ukapatanishe Wakenya wasiuane

NI kweli LOWASA akiingia mahali lazima kuwe na mifarakano mikubwa.Sio midogo.Alikuwa CCM alisababisha mifarakano mikubwa na kuikata CCM vipande vipande na kaacha majeruhi wa kisiasa na kiuchumi kibao.

Akahamia UKAWA kuingia Kasababisha mitafaruku CHADEMA NA CUF akina SLAA wakatupwa nje kama na upepo wa kimbunga na akina LIPUMBA wakajikuta nje ya CUF.CHADEMA wasubiri uchaguzi wao wa ndani mwakani watamjua LOWASA ni nani.CHADEMA IJIANDAE KUSAMBARATISHWA.

Kaenda kenya kusaidia kumelipuka mitafaruku

Lowasa na Mrema wanafanana sana kila wanapokanyaga huzua mitafaruku kuanzia CCM hadi kote walikoenda.Wana nuksi.

Unawashwa hatari, huko lumumba hakuna wakunaji mpaka unarukia Chadema?
 
Screenshot_2017-10-16-12-16-40.jpg
 
Back
Top Bottom