MBINU ZA KIKWETE DHIDI YA WATANZANIA HIVI SASA KATIKA KULE CCM KUJIGAWA KATIKA MAKUNDI MAWILI YA CCM-MALAIKA NA CCM-SHETANI NI MBINU YA KIZAMANI SANA ILIOSHINDWA KUZAA MATUNDA KATIKA VITA VIKUU VYA PILI VYA DUNIA
Fareed, hebu jitulize kwanza. Miongoni mwao watu makini na wewe umo hapa JF.
Iweje unashindwa kuling'amua ngonjera ya CCM kuamua kuonyesha mchezo wa kuigiza inayotumia hivi sasa na Chama Cha Magamba?? CCM-Ufisadi ni kile kile Jana, Leo na Milele.
Misingi wa mchezo mzima hapa ni kule CCM dhaifu kutafuta kukishinda CHADEMA yenye nguvu ya mnyama simbs katika mchakato wa kutafuta mabadiliko ya kweli hivyo Kikwete kujitafutia tena li-mbinu la 'KUUNGA MKONO HOJA MBALI MBALI ZA CHADEMA KWA MATUMAINI YA KUYAFANYA YASHINDWE NA KUYATUMIA KWA MPANGO WA KAJARIBU KUKIBOMOA' ambayo hivi sasa inafanyiwa majaribio na Kikwete kwa kukigawa CCM katika vipande viwili vya CCM-Malaika (Kikwete, Nape, January Makamba et al) na CCM-Mashetani (Rostam Aziz, Chenge, Malecela, Edward Lowassa). Ukweli wa mambo ni kwamba mbali na hii sinema nzuri sana kutazama, makundi yote mawili bado sana tu ni kitu kimoja anyway!!!
Hakika wengi wataingia mbugani sana tu kutokana na maigizo haya ila tu ni kwamba sikutegemea kwa hata mtu kama wewe Fareed kuingizwa porini kiurahisi kiasi hicho. Lakini bahati nzuri sana ni kwamba CDM wanajua hadi hatua za mwisho mwisho wa huu mkanda unavyopangwa kwisha lakini ndio hivyo 'Nguvu ya Umma' tunawasubiri na mbinu hatari zaidi njia panda tukamalize kabisa mchezo huu.
hii adithi imetungwa kwa umahiri mkubwa. Ni punguani pekee anayeweza kusadiki maneno malaini yenye hamu ya kujaza page. Unajua kuna vitu vinaitwa"divide and rule" ideology. Hapa huwezi kuwatangaza watu wote kuwa ni maadui wa ccm.
Ivi hata hatuelewi maana ya "what goes around comes around?" kwa kujizunguka kwa mwandishi wa "ujinga/upuuzi" huu ameshaonesha hofu yake iko wapi na anatabiri yanayopaswa kutokea hata kama upinzani usingehusishwa! Ivi ile list of shame ya kwanza haijamtaja kikwete?
Au mwandishi wa upuuzi huu katoroka mirembe? Nlianza kuamini stori lakini nlivozidi kuisoma nkakuta inamhusisha kila mtu anayeamini kuwa nchi ina majangili wengi,mwisho wa siku ikaishia kumtetea mmoja! Woote waliotangazwa mwembe yanga na wakashindwa kukemea wala kwenda mahakamani ni "majangili na hamna wa kumnyoshea mwenzie kidole".
Kama ccm inataka wananchi tuamini,itimue walau "first11"-list of shame. Lakini kuzidi kubaguana hakukubaliki. Cha ajabu serikali inayoongozwa na sheria,badala ya kuwafikisha mahakamani na hatimaye jela,inawaomba eti waondoke ndani ya siku 90. Huo ni utoto na upumbavu.
Amiri jeshi mkuu anapaswa kuwa ametoa hati ya kukamatwa kwa majangili si kuwapigia magoti majangili waamue wenyewe! Itakuwa kama alivofanya kwa wale wa EPA. Kweli Tanzania ni nchi ya kusadikika!

CHADEMA ni chama ambacho Watanzania wengi tulio huru, wenye akili timamu na kuweza kung'amua mambo tunakipenda, tunakiamini na tunakihitaji. CHADEMA kinasema daima kuwa uzalendo na
maslahi ya ta
ifa kwanza.

Sote tunajua kuwa Lowassa, Rostam na Chenge ni kundi kubwa la mafisadi hatari hapa Tanzania (part of the axis of evil along with Yusuf Manji na wengine). Jitihada zozote za kupambana na kundi hili ni jambo la maslahi ya taifa. CHADEMA kuja na List of Shame mpya kwa wakati huu ni kudhoofisha vita dhidi ya maadui hawa wa taifa.

CHADEMA wajipime na watumie busara katika siku hizo 90 ambazo mafisadi wamepewa waondoke CCM. Wawaache CCM wamalizane wao wenyewe. Baada ya Rostam, Lowassa na Chenge kutimuliwa kwenye CCM sasa CHADEMA waje na LIST OF SHAME mpya na wamtaje Kikwete na wengineo. Sote tutaunga mkono jambo hilo, siyo sasa wanaelekea kuwapa nguvu kina Rostam wasifukuzwe CCM kwa kutaja mafisadi wapya.

Lazima kuwa na strategy kwenye vita hii ngumu dhidi ya mafisadi na kuweka uzalendo na national interests above party politics na mengineyo yote. Rostam, Lowassa na Chenge wameisababishia Tanzania matatizo makubwa ya kiuchumi kutokana na ufisadi wao. Huu ni muda wa kuwamaliza!

CHADEMA rudini kwenye ajenda yenu ya Katiba Mpya, Dowans, kuongezeka kwa umasikini na maisha kuzidi kuwa magumu. Subirini baada ya kina Lowassa, Rostam na Chenge kufukuzwa kwenye CCM ndiyo mje na LIST OF SHAME mpya ya kina Kikwete na wananchi tutawaunga mkono.
Imenigharimu sana kufikiria kama kweli mtu makini na ninae amini anajua siasa za tz hasa wakati huu ungeingia kwenye mtego mdogo hivi! Kama hata ww mkuu umeweza kufikiri kwenye angle hii hao wananchi wa Kantalamba itakuwaje? Kwanini umeamini haraka bila kufikiri pengine ni mpango wa cdm kuzidi kuivuruga ccm? Unafikiri hao mapacha ndio kiini cha utawala mbovu? ccm hawawezi kutupeleka mbele we just need changes no matter what! Mbinu yoyote ya kuwaporomosha haraka ni neema kwetu.Fareed nakuheshimu sana leo umenistua!CHADEMA ni chama ambacho Watanzania wengi tulio huru, wenye akili timamu na kuweza kung'amua mambo tunakipenda, tunakiamini na tunakihitaji. CHADEMA kinasema daima kuwa uzalendo na maslahi ya taifa kwanza.
Sote tunajua kuwa Lowassa, Rostam na Chenge ni kundi kubwa la mafisadi hatari hapa Tanzania (part of the axis of evil along with Yusuf Manji na wengine). Jitihada zozote za kupambana na kundi hili ni jambo la maslahi ya taifa. CHADEMA kuja na List of Shame mpya kwa wakati huu ni kudhoofisha vita dhidi ya maadui hawa wa taifa.
CHADEMA wajipime na watumie busara katika siku hizo 90 ambazo mafisadi wamepewa waondoke CCM. Wawaache CCM wamalizane wao wenyewe. Baada ya Rostam, Lowassa na Chenge kutimuliwa kwenye CCM sasa CHADEMA waje na LIST OF SHAME mpya na wamtaje Kikwete na wengineo. Sote tutaunga mkono jambo hilo, siyo sasa wanaelekea kuwapa nguvu kina Rostam wasifukuzwe CCM kwa kutaja mafisadi wapya.
Lazima kuwa na strategy kwenye vita hii ngumu dhidi ya mafisadi na kuweka uzalendo na national interests above party politics na mengineyo yote. Rostam, Lowassa na Chenge wameisababishia Tanzania matatizo makubwa ya kiuchumi kutokana na ufisadi wao. Huu ni muda wa kuwamaliza!
CHADEMA rudini kwenye ajenda yenu ya Katiba Mpya, Dowans, kuongezeka kwa umasikini na maisha kuzidi kuwa magumu. Subirini baada ya kina Lowassa, Rostam na Chenge kufukuzwa kwenye CCM ndiyo mje na LIST OF SHAME mpya ya kina Kikwete na wananchi tutawaunga mkono.
CDM haiendeshi shughuli zake kwa kukurupuka eti ishindwe kutaja mafisadi kisa wana magamba watatuhusisha na kujiokoa kwa mapacha hakuna tofauti kati ya mapacha na magamba yote sawa huyo jk wanaedai anachafuliwa ili kuokoa mapacha alitajwa mwaka 2007 hivyo hakuna jipya list mpya imetoka na kama imewaokoa mapacha basi magamba pia yamerudi katika hali yake ya awali kwanza najishangaa kuchangia hadith za kutunga ili kuuza gazeti ngoja nifanye yaliyo muhimu