Lowassa: Rais Kikwete ni jasiri, mwadilifu

Lowassa: Rais Kikwete ni jasiri, mwadilifu

Kwanza kabisa nilishtuka niliposoma hotuba ya Rais akikabidhi NGombe Longido na sasa Monduli.
Pamoja na kumheshimu sana maze Lowassa lakini sasa naona nae anapotoka.
Utaratibu wote uliopelekea WAMASAI kupewa hao NGOMBE haukufikiriwa vizuri.
Rais alitakuwa kutafuta majibu ya haya maswali kwanza Kabila ya Hilo zoezi kuanza.
Kwanini NGOMBE walikuwa? Jibu ni ukame. Je Rais ana uhakika gani kuwa hao Ngome wa mbegu nao hawatakufa kwa msimu ujao wa ukame?
Nashauri, washauri na wasaidizi aw Rais wamwaambie kuwa swala sio kutoa NGOMBE tu kisisa na kuondoka.
Lazima watafuta namna ya kufanya ili hao NGOMBE walionunuliwa kwa kodi zetu wasife.
USHAURI.
Wafungue centers huko umasaini yaan I small ranch, Ngome hao wa mbegu wawekwe na kutunzwa na serikali ya vijiji au Wilaya chini ya wizara ili watumike Kuzalisha mbegu in a sustainable manner.
NGOMBE wengi walikufa kwa sababu ya Kukosa maji, Wakati aw ukame.
Rais angeelekeza nguvu kubwa kwenye kuchimba mabwawa ya kuvuna maji ya mvua, ambao yatatumika kwa awamu tena kwa usimamizi wa serikali.
Mh. Lowassa, naomba kupingana na wewe kuwa huo utaratibu wenu na JK sio aw kudumu ni aw kisiasa tu!
Tunaomba tuambiwa results ya hao NGOMBE baada ya miaka Miwili ijayo.
 
utwo siyo yungombe ni kaiujiko ka kisiasa tu bwana
 
Hizi mbio za Urais naona zitafanya watu wawe wehu sasa!
 
Wameuza mbuga yote, kwanini asiwapige na changa la macho? na anjua hao ng'ombe ni pint ya faida ya wizi uliofanyika. hii wala siyo siasa ni mazingaombwe kwa lowasa kumpa sifa huyo mwizi mwenzake. labda sasa anabidi ajikombe anajua bill za afya yake zinaweza kumzidi kimo na akafilisika. maana kwenda kutibiwa nje siyo kama kwenda mikocheni hospital. lakini watanzania tumeshawajua zao wao waungane sana na sio masikini tunashikana taratibu mpaka kieleweke.

hv we unaandika unachokijua au?unajua shivacom peke yake inamuingizia lowassa
 
hv we unaandika unachokijua au?unajua shivacom peke yake inamuingizia lowassa
well, utuambie wewe kinachomuungizia nasi tujue! halafu mimi nimesema wote yeye na kikwete wezi, weye wamtetea lowasa wapigwa posho nini? maana kushadadia mwanamme mwenzako anapakwa ujue kuna jambo! lahasha...! kama swahiba yako tupe habari tujue maana pengine wapewa raha.
 
ni kwamba kaona bila ya mwenzake hawezi penya,imebidi ajishushe!na dalili ya kwanza ya kujishusha ni kujinyenyekeza na kumsifia mwenzako!
 
WAZIRI MUU MTAAFU MWANAUME NDANI YA CCM LOWASA AMEMPONGEZA KIKWETE KWA KUWAJALI WAFUGAJI NA KUWA NI MSIKIVU SAANA.JUZI TU KIKWETE ALIMSAFISHA CHENGE NA KUSEMA HAKUNA UFISADI ULIOFANYIKA KWENYE CHENJI YA RADA

SASA NAPE UTAHEMEA WAPI ULIOWAPA SIKU 90 WANKULA MEZA MOJA NA MWENYEKITI WAKO SASA ELEWA CCM SI CHAMA CHA SIASA NI GENGE LA WAHUNI UTAIPATA FRESH MBWIGA RUDI CCJ MAPEMA MAANA HUKU MSUKUMA HUKU MMASAI SHINGO LAZIMA WAITOE HIYO
A%20S-baby.gif

Sounds kama vile anasema "JAMAA NI MTIIFU KWA WENYE NGUVU". Ndio exactly maneno yake?
 
Huyo fisadi Lowassa akiambiwa atoe mifano hai ya kuonyesha ujasiri na uadilifu wa msanii ataanza kubwabwaja tu. Mtu muadilifu hahitaji kuchangiwa mabilioni ya pesa na mafisadi (wenyewe walijiita wana mtandao) mbali mbali nchini ili kuweza kumhakikishia kuingia Ikulu.
 
uzee sio tija je anaweza kubadilisha Tz? Mbona Dr. slaa ni 'kijana' bt kwa cdm ndio chaguo hasa kwetu kaskazini
 
Urafiki wa mashaka,mamvi anacheka mdomoni uso umenuna,siasa za bongo bhana,mbuzi na mbwa mwitu wanaishi zizi moja,pundamili,nyumbu na simba wanaishi pamoja,chui na swala wanacheza dansi pamoja na fisi anakabidhiwa jiko la kuchoma nyama.Urafiki ukiisha subirini muone kitakachotokea.
 
Kwanza kabisa nilishtuka niliposoma hotuba ya Rais akikabidhi NGombe Longido na sasa Monduli.
Pamoja na kumheshimu sana maze Lowassa lakini sasa naona nae anapotoka.
Utaratibu wote uliopelekea WAMASAI kupewa hao NGOMBE haukufikiriwa vizuri.
Rais alitakuwa kutafuta majibu ya haya maswali kwanza Kabila ya Hilo zoezi kuanza.
Kwanini NGOMBE walikuwa? Jibu ni ukame. Je Rais ana uhakika gani kuwa hao Ngome wa mbegu nao hawatakufa kwa msimu ujao wa ukame?
Nashauri, washauri na wasaidizi aw Rais wamwaambie kuwa swala sio kutoa NGOMBE tu kisisa na kuondoka.
Lazima watafuta namna ya kufanya ili hao NGOMBE walionunuliwa kwa kodi zetu wasife.
USHAURI.
Wafungue centers huko umasaini yaan I small ranch, Ngome hao wa mbegu wawekwe na kutunzwa na serikali ya vijiji au Wilaya chini ya wizara ili watumike Kuzalisha mbegu in a sustainable manner.
NGOMBE wengi walikufa kwa sababu ya Kukosa maji, Wakati aw ukame.
Rais angeelekeza nguvu kubwa kwenye kuchimba mabwawa ya kuvuna maji ya mvua, ambao yatatumika kwa awamu tena kwa usimamizi wa serikali.
Mh. Lowassa, naomba kupingana na wewe kuwa huo utaratibu wenu na JK sio aw kudumu ni aw kisiasa tu!
Tunaomba tuambiwa results ya hao NGOMBE baada ya miaka Miwili ijayo.

Pingana na Lowassa na hiyo ni hiari yako. Rais ametoa mifugo na wakati huo huo kutoa fedha za kukarabati mabwawa ili yaweze kutunza majinyatakayotumika wakati wa ukame. Sisi wenye akili tunajua kwamba kiu na ukame ndiyo ulioua mifugo mwaka ule. Ulitaka afanyeje kwa wananchi hawa ambao walibaki hawana kitu? Je, wangejikimu vipi katika kipindi hiki ambacho sulushisho la kudumu la tatizo hili linatafutwa?

Lakini huu unafiki wa Lowassa unakera. Amekuwa mstari wa mbele kumshutumu, kumbeza na kumhujumu Rais halafu leo anajifanya kumsifia. Ni huyu huyu aliyenukuliwa huko nyuma akisema kwamba Rais huyu ni mwoga wa kutenda na kwamba serikali yake ina kigugumizi cha maamuzi. Kweli wanafiki hawatauona ufalme wa Mungu.
 
Kama Kweli Lowassa unataka kutuaminisha kuwa Kikwete ni muadilifu, Je wewe Lowassa ni nani ? Lowassa ukikiri kuwa wewe ni fisadi basi ukituambia ya Kikwete tutakukubali . Lakini na Ufisadi wako wote bado unasema wewe ni mtu safi kwa hiyo na huyo unayemtetea kuwa ni mwadilifu nyote mko kwenye kundi moja la MANAYANGAU
 
Pingana na Lowassa na hiyo ni hiari yako. Rais ametoa mifugo na wakati huo huo kutoa fedha za kukarabati mabwawa ili yaweze kutunza majinyatakayotumika wakati wa ukame. Sisi wenye akili tunajua kwamba kiu na ukame ndiyo ulioua mifugo mwaka ule. Ulitaka afanyeje kwa wananchi hawa ambao walibaki hawana kitu? Je, wangejikimu vipi katika kipindi hiki ambacho sulushisho la kudumu la tatizo hili linatafutwa?

Lakini huu unafiki wa Lowassa unakera. Amekuwa mstari wa mbele kumshutumu, kumbeza na kumhujumu Rais halafu leo anajifanya kumsifia. Ni huyu huyu aliyenukuliwa huko nyuma akisema kwamba Rais huyu ni mwoga wa kutenda na kwamba serikali yake ina kigugumizi cha maamuzi. Kweli wanafiki hawatauona ufalme wa Mungu.
Halo nimesema waanzishe centers za kutunza hao Ngombe w a mbegu. Maana ukame ukija watakufa. Na itakuwa hasara sio kwa wamasai tu na walipa kodi wote
 
Back
Top Bottom