Lowassa: Rais Kikwete ni jasiri, mwadilifu

Lowassa: Rais Kikwete ni jasiri, mwadilifu

WAZIRI MUU MTAAFU MWANAUME NDANI YA CCM LOWASA AMEMPONGEZA KIKWETE KWA KUWAJALI WAFUGAJI NA KUWA NI MSIKIVU SAANA.JUZI TU KIKWETE ALIMSAFISHA CHENGE NA KUSEMA HAKUNA UFISADI ULIOFANYIKA KWENYE CHENJI YA RADA SASA NAPE UTAHEMEA WAPI ULIOWAPA SIKU 90 WANKULA MEZA MOJA NA MWENYEKITI WAKO SASA ELEWA CCM SI CHAMA CHA SIASA NI GENGE LA WAHUNI UTAIPATA FRESH MBWIGA RUDI CCJ MAPEMA MAANA HUKU MSUKUMA HUKU MMASAI SHINGO LAZIMA WAITOE HIYO
A%20S-baby.gif

Nape ni sikio la kufa....
Alipelekwa front na JK bila ya kujua athari zake mbele ya safari. Hakutegemea kuwa JK na EL ni wapemba (wavaa vilemba wote)
 
wewe lazima ni mpenzi wa ccm maana ccm ndio huwa wanaakili kama yako maana mdomo huumba na mdomo hubomoa sasa mdomo wako uahitaji mswaki na tooth paste naamini utapunguza harufu yake usiwe unajisahau kuusafisha
 
WAZIRI MUU MTAAFU MWANAUME NDANI YA CCM LOWASA AMEMPONGEZA KIKWETE KWA KUWAJALI WAFUGAJI NA KUWA NI MSIKIVU SAANA.JUZI TU KIKWETE ALIMSAFISHA CHENGE NA KUSEMA HAKUNA UFISADI ULIOFANYIKA KWENYE CHENJI YA RADA SASA NAPE UTAHEMEA WAPI ULIOWAPA SIKU 90 WANKULA MEZA MOJA NA MWENYEKITI WAKO SASA ELEWA CCM SI CHAMA CHA SIASA NI GENGE LA WAHUNI UTAIPATA FRESH MBWIGA RUDI CCJ MAPEMA MAANA HUKU MSUKUMA HUKU MMASAI SHINGO LAZIMA WAITOE HIYO
A%20S-baby.gif
KUTOKUJUA NAYO NI SIFA!!! pole na hongera sana!
 
vipi akina lusinde na mwigulu chinja chinja ni bora kuliko lowasa na chenge?
 
Huyo huyo Nape anachukua pesa ya posho moja kwa moja toka kwa Prezidaa!
 
unapoteza muda mwingi kuvalishwa maskaf badala ya kunadi chama chenu cha mafisadiQUOTE=Nnauye Jr;4373272]KUTOKUJUA NAYO NI SIFA!!! pole na hongera sana![/QUOTE]
 
Na ile serikali inayoshindwa kufanya MAAMUZI MAGUMU imeishia wapi?
Hawa wasanii walokubuhu wanafikiri Wabongo bado ni mabwege ya 2005!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
p....fu
 
muwaeleze wanachi kwa nini mawaziri wezi hamuwafukuzi kwenye chama na kwa nini mnalindana kwa kila upuuzi hamuoni kuwa chochote kikitokea tanzania mtalipa
 
Kuna hoja unayo Nape, sema umeiweka kifasihi sana kiasi cha kwamba wasomaji wengine hatukuelewi. Na huenda kosa la msingi limefanywa na mtoa hoja ambaye amekimbilia kukushambulia badala ya kutoa hoja. Angeuliza hivi, Nape unajiskiaje kutokana na maendeleo ya siasa ndani ya chama chako hasa baada ya mwenyekiti kuuthibitishia umma kuwa Mh. Chenge ni safi na juzi kwenda Monduli kukabidhi ngombe kazi ambayo hata waziri wa mifugo angeifanya, na tafsiri ya wengi ni kuwa ameenda kuuonesha umma kuwa Mh. Lowasa ni safi. Je matendo haya ya mwenyekit wako yatakubadilisha mtazamo wako juu ya watu hawa? Nini maoni yako. JAMANI NAOMBA TUSIKIMBILIE KUTOA LUGHA CHAFU AMBAZO MWISHO WA SIKU ZINATUFANYA TUKOSE KUPATA TAARIFA NA KUWAPA WATU HAKI YAO YA MSINGI YA KUJIELEZA. Mhe. Nape ningeomba unijibu maswali yangu.
 
Usipostaajabu ya Musa utaona ya ..................................ni.
 
ccm tunayoijua ni ya nyerere kawawa babayako na wachache wengine lakini hii yenu ni pumba tupu na msipoiba kura hamna lenu mnafanikiwa sababu ya kutumia misuri tu na pesa ya walipa kosi[
 
ccm mnaanza kujitumia message za vitisho halafu mnasingizia chadema mmeuwa ccm yetu sasa mnataka kuua tanzania yetu
 
​sasa hayo makundi ni mtaji mzuri sana mmemsema san rosatam lowasa chenge sasa mtajiju tuliwaambia kikwete si wa kuaminika
 
Dada sophi simba alikwisha tamka hadharani kuwa katika wabunge wote Mr Lowassa ndie Mwanamme (Beberu) sasa hao walio salia mtawaweka katika fungu gani itabidi atafutwe Dada sophia simba nakutupa maelezo kwa udani zaidi.
 
Back
Top Bottom