Lowassa: Nitawawajibisha waliohusika na Richmond

Lowassa: Nitawawajibisha waliohusika na Richmond

Paul Alex

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2012
Posts
4,344
Reaction score
9,845
Nawaza tu kwa sauti kama Mgombea Urais wa vyama vinavyounda UKAWA akitoa tamko la kuwaajibisha wanaohusika na mradi wa Ki~kinyonga wa Richmond.

Ni wazi kuwa Richmond ina watu wanaohusika nayo na kwa ukubwa wake,kwa hesabu zozote hauwezi kuwa mradi wa mtu mmoja.

Watanzania wamechoka kusikia mipasho na kumuona Kinyonga akibadilika badilika rangi.Imefika mahali,mbali na kampeni beleshi/sepeto iitwe beleshi/sepeto na sio kijiko kikubwa.

Kikwete alisema juu ya Richmond kuwa yaliyomkuta Lowasa kwenye Richmond ni ajali ya kisiasa.Hakusema ni wizi,hakusema ni mwizi na labda hatakaa aseme.

Ila Richmond ulikuwa mradi wa kifisadi na hii haina mashaka.Wahusika wake wapo na hili halina shaka.Hawajachukuliwa hatua,hili pia halina shaka.

Watanzania hatuwezi kutoa cartel blanche Kwa Dr.Slaa au Mtu yoyote mwingine juu ya akili zetu.

Namuomba Ndugu Edward Lowasa atuhakikishie kuwa ataufunga huu mjadala kwa kuwawajibisha wahusika.
 
Lowassa aliuliza " Kwanini wanasema nitalipiza kisasi?" "Waulizeni hao viongozi wa CCM nini wanakihofia ?"
 
Lowasa hata wakimshinda huyu mzeee kakomaaa kisiasa huwezi mlinganisha na kiongozi wowote wa ccm
 
mpe kura yako ndo utaona kama wazee WA Richmond hawaning'inizwi kotini
 
Kwani hujui kwanini ccm wamepagawa baada ya kuona El kapewa nafasi ya kugombea?? Wanajua akichukua nchi kuna watu watakimbia nchi hii.
 
"Mamlaka za juu" kaa la moto.Lazima litemwe tu.
 
Picha nayopata mimi ni kuwa Richmond ni mradi uliokuwa na malengo zaidi ya Ufisadi.
Richmond ilidizainiwa kama jiwe la kusagia ili lifungwe shingoni mwa Lowasa kisha atumbukizwe kwenye kina kirefu baharini ili hata akifa maiti yake isipande juu.

It is a kamikaze project that has backfired.Richmond ilikuwa na Lengo la kumtoa Lowasa kwenye chaki ya kisiasa and Mkwere planned this all alone.

Angalia tu taratibu,Rais hata akitaka hela ana namna million moja za kuipata sio kwa mradi wa uchi kama Richmond.
Ulikuwa mradi mkubwa hivyo kulikuwa na hakika utavuta macho na masikio ya watu.
Tatizo ni kuwa kina Mwakiembe ambao wakikuwa wanaexecute plan hawakuwa makini sana.Walifanya mambo kwa haraka na wakaamini they have put the matter to bed.

Now it has backfired,ndio maana wanaogopa visasi,wana hofu ya future yao na Legacy yao kisiasa.They are defending the indefensible and it doesnt matter how many they are.They had their thance to shoot and kill,they lost that chance!! And that is what matters
 
Dr Slaa anasimamia misingi tuliyojiwekea ila kwa wale wasiojua maana ya misingi wanakimbilia propaganda tu. ni mtu asiyeyumbishwa na siasa za kinafiki
 
Angekuwa Dr. Slaa angeweza sio huyo mzee

Tatizo la Dr. toka ameacha Upadre amekutana na mwanamke mmoja tu,halafu alikuwa mke wa mtu kwahiyo tayari anauzoefu.
Dr. hawezi kufikiria maisha bila yule mama.
Na ukweli tu usemwe,hata akiachana nae anaweza kumpata nani labda!!!
 
Kwani hujui kwanini ccm wamepagawa baada ya kuona El kapewa nafasi ya kugombea?? Wanajua akichukua nchi kuna watu watakimbia nchi hii.

kupona kwao wakimbilie CHADEMA kama alivyokimbilia yeye. Maana CHADEMA kwa sasa kumejaa watetezi wengi wa MAFISADI.
 
Ha ha nililifikiri kasema.kumbe ni mawazo yako.hawezi kukata mti alioukalia ataanguka.
 
NIMEOTA..
katika pori la MAJINAMIZI,nyani wameanza kuandaa kadi za mialiko kwa masokwe katika himaya za misitu ya mbali,kuwakaribisha katika sherehe ya kumsimika Sokwe mkuu,huku juhudi za kima za kutwaa himaya hiyo kuhofiwa kuishia mikononi mwa simba na chui wanaojifua vikali katika pori hilo kwa shauku na mbwembwe na matumaini ya kupandishwa vyeo baada ya mauwaji ya kima.
masikini kima mnanikumbusha miaka 14 iliyopita ambapo nyani hao wenye njaa kali waliwapeleka likizo kuzimu, kima waliojaribu kuchapia miti myeusi katika kisiwa cha majimaji kwa lengo la kudai haki wakidhani wanadai haki hiyo kwa kima wenzao kumbe hawakua kima wenzao bali nyani.
im sorry kima.
 
Tatizo la Dr. toka ameacha Upadre amekutana na mwanamke mmoja tu,halafu alikuwa mke wa mtu kwahiyo tayari anauzoefu.
Dr. hawezi kufikiria maisha bila yule mama.
Na ukweli tu usemwe,hata akiachana nae anaweza kumpata nani labda!!!

Inaonekana humu ndani mna watoto wengi ati.!
 
Back
Top Bottom