Lowassa: Nitawawajibisha waliohusika na Richmond

Lowassa: Nitawawajibisha waliohusika na Richmond

ya babu seya na masheikh ameyasikia na atayafanyia kazi, sijui kwanini hatujapata tamko juu ya hili ambalo alo limekua kero kubwa kwenye vichwa vyetu
 
Dr Slaa anasimamia misingi tuliyojiwekea ila kwa wale wasiojua maana ya misingi wanakimbilia propaganda tu. ni mtu asiyeyumbishwa na siasa za kinafiki

Kusimamia misingi ndio huku kutayarishiwa mkutano na kugharamiwa na ccm? Misingi ndiyo hiyo ya kuzungumza faragha na Mwakyembe kabla ya mkutano masaa matatu?
Kama unaamini hivyo basi wewe ni tatizo lisilopimika
 
Hivi wakwanza atakua nani? Maana tuliemkabizi ikulu anajurikana na wizi umetokea chini yake
 
Nawaza tu kwa sauti kama Mgombea Urais wa vyama vinavyounda UKAWA akitoa tamko la kuwaajibisha wanaohusika na mradi wa Ki~kinyonga wa Richmond.

Ni wazi kuwa Richmond ina watu wanaohusika nayo na kwa ukubwa wake,kwa hesabu zozote hauwezi kuwa mradi wa mtu mmoja.

Watanzania wamechoka kusikia mipasho na kumuona Kinyonga akibadilika badilika rangi.Imefika mahali,mbali na kampeni beleshi/sepeto iitwe beleshi/sepeto na sio kijiko kikubwa.

Kikwete alisema juu ya Richmond kuwa yaliyomkuta Lowasa kwenye Richmond ni ajali ya kisiasa.Hakusema ni wizi,hakusema ni mwizi na labda hatakaa aseme.

Ila Richmond ulikuwa mradi wa kifisadi na hii haina mashaka.Wahusika wake wapo na hili halina shaka.Hawajachukuliwa hatua,hili pia halina shaka.

Watanzania hatuwezi kutoa cartel blanche Kwa Dr.Slaa au Mtu yoyote mwingine juu ya akili zetu.

Namuomba Ndugu Edward Lowasa atuhakikishie kuwa ataufunga huu mjadala kwa kuwawajibisha wahusika.

Kikwete atoke hadharani nani alihusika na Richmond maana Lowasa kasema ni mamlaka ya juu
 
Ukipitia threads humu ndani waliogeuka watetezi wa mafisadi ni wengi sana.

Wewe unamtetea nani msafi maana Dr.Slaa ametuamia hili ni pambano kati ya choo na chumba cha kulala kilichowekewa kinyesi kidogo.Nani atashinda?
 
Na hakuna kiongoz yyte anaelingana na lowasa kisiasa kat wooooote wanogombania urais, sasa mtaka tumpe mtu ambae hana uzoefu? Hatutaki kuonabkiongoz masikin aanze tena kujitengenezea maisha safi kwake, aaavuuuuune ndo atujuwe hatutaki, tunataka alie na hela hata akila anakula kidogo, na mwenye maamuz akisema kitu kitekelezeke
 
Si aitaje anashindwa nn kuitaja?

Mkwere anamchafua EL kwa kutumia watu,yeye Mwenyewe hana ujasiri wakusema,Lakini kwa speed wanayokuja tunakaribia wanapopataka,na nikuhakikishie tutafika hapo.Mark my words
 
Back
Top Bottom