Mkwere anamchafua EL kwa kutumia watu,yeye Mwenyewe hana ujasiri wakusema,Lakini kwa speed wanayokuja tunakaribia wanapopataka,na nikuhakikishie tutafika hapo.Mark my words
Ndo hvyo bora tuharibiane tu wananchi waweze kuchambua yupi anafaa
Mkwere anamchafua EL kwa kutumia watu,yeye Mwenyewe hana ujasiri wakusema,Lakini kwa speed wanayokuja tunakaribia wanapopataka,na nikuhakikishie tutafika hapo.Mark my words
Mkwere anamchafua EL kwa kutumia watu,yeye Mwenyewe hana ujasiri wakusema,Lakini kwa speed wanayokuja tunakaribia wanapopataka,na nikuhakikishie tutafika hapo.Mark my words
Picha nayopata mimi ni kuwa Richmond ni mradi uliokuwa na malengo zaidi ya Ufisadi.
Richmond ilidizainiwa kama jiwe la kusagia ili lifungwe shingoni mwa Lowasa kisha atumbukizwe kwenye kina kirefu baharini ili hata akifa maiti yake isipande juu.
It is a kamikaze project that has backfired.Richmond ilikuwa na Lengo la kumtoa Lowasa kwenye chaki ya kisiasa and Mkwere planned this all alone.
Angalia tu taratibu,Rais hata akitaka hela ana namna million moja za kuipata sio kwa mradi wa uchi kama Richmond.
Ulikuwa mradi mkubwa hivyo kulikuwa na hakika utavuta macho na masikio ya watu.
Tatizo ni kuwa kina Mwakiembe ambao wakikuwa wanaexecute plan hawakuwa makini sana.Walifanya mambo kwa haraka na wakaamini they have put the matter to bed.
Now it has backfired,ndio maana wanaogopa visasi,wana hofu ya future yao na Legacy yao kisiasa.They are defending the indefensible and it doesnt matter how many they are.They had their thance to shoot and kill,they lost that chance!! And that is what matters
Nawaza tu kwa sauti kama Mgombea Urais wa vyama vinavyounda UKAWA akitoa tamko la kuwaajibisha wanaohusika na mradi wa Ki~kinyonga wa Richmond.
Ni wazi kuwa Richmond ina watu wanaohusika nayo na kwa ukubwa wake,kwa hesabu zozote hauwezi kuwa mradi wa mtu mmoja.
Watanzania wamechoka kusikia mipasho na kumuona Kinyonga akibadilika badilika rangi.Imefika mahali,mbali na kampeni beleshi/sepeto iitwe beleshi/sepeto na sio kijiko kikubwa.
Kikwete alisema juu ya Richmond kuwa yaliyomkuta Lowasa kwenye Richmond ni ajali ya kisiasa.Hakusema ni wizi,hakusema ni mwizi na labda hatakaa aseme.
Ila Richmond ulikuwa mradi wa kifisadi na hii haina mashaka.Wahusika wake wapo na hili halina shaka.Hawajachukuliwa hatua,hili pia halina shaka.
Watanzania hatuwezi kutoa cartel blanche Kwa Dr.Slaa au Mtu yoyote mwingine juu ya akili zetu.
Namuomba Ndugu Edward Lowasa atuhakikishie kuwa ataufunga huu mjadala kwa kuwawajibisha wahusika.