Lowassa: Nitafuta misamaha yote ya kodi

Poleni jaman, naona siku hizi kila kinachoongelewa ni kumeza tu... vijana wanashindwa kufikiria wala kuchuja dah mtaendelea kuitwa wapumbav na malofa kwa sababu ya ulimbuken wetu... kuna kitu mumepandikizwa si bure

we mwenyewe ni miongoni mwa hao wapumbavu na malofa.
 
Huyo ni mpumbav.u na lofa,hakuna nchi isiyo toza kodi.
Hapa UK kodi inaenda mpaka 45% kutegemea na kiasi unacho ingiza.Pia nchi wahisani hawatakubaliana nae.Huo Ni muendelezo WA usanii wake tuu.

Huwe kwanza mada ndo uchagie rudia tena kusoma alafu linganisha na ulichochangia kama vinaendana
 
Huyo ni mpumbav.u na lofa,hakuna nchi isiyo toza kodi.
Hapa UK kodi inaenda mpaka 45% kutegemea na kiasi unacho ingiza.Pia nchi wahisani hawatakubaliana nae.Huo Ni muendelezo WA usanii wake tuu.

Jamani someni vizuri mwandishi kasema EL atafuta misamaha siyo atasamehe kodi. Tulizeni akili msiwe na mchecheto vinginevyo taifa litaangamia na kizazi hiki.
 
Tumia hata akili yako hiyo kidogo kufikiri basi, unaelewa maana ya kufuta misamaha ya kodi?
 
Unamaanisha wale wote waliopewa misamaha ya kodi sasa hiyo misamaha inafutwa au??
 
Lowasaa akalee wajukuu make hata tatu bora hataingia
 
Heheee kweli mihemko ya kisiasa inaweza kukufanya ukaonekana kituko!
 
Huyo ni mpumbav.u na lofa,hakuna nchi isiyo toza kodi.
Hapa UK kodi inaenda mpaka 45% kutegemea na kiasi unacho ingiza.Pia nchi wahisani hawatakubaliana nae.Huo Ni muendelezo WA usanii wake tuu.

Usipofushwe na mihemko ya kisiasa !

Huyo ni mpumbav.u na lofa,hakuna nchi isiyo toza kodi.
Hapa UK kodi inaenda mpaka 45% kutegemea na kiasi unacho ingiza.Pia nchi wahisani hawatakubaliana nae.Huo Ni muendelezo WA usanii wake tuu.
 
Unamaanisha wale wote waliopewa misamaha ya kodi sasa hiyo misamaha inafutwa au??

Na mingi ni yavtaasisi za kudini ambazo hutegemea musaada au shughuri za umma na jamii kama shule na hospital
 
Hana uwezo huo. Arudishe zote walizokwapua kutumia richmond/dowans. Pia aweke hadharani rekodi ya malipo ya kodi ya mapato yake yote kwanza kabla hajaendelea kutuhadaa. Akiwa waziri wa rais Mkapa alikataa hata kujaza fomu ya mali zake kwenye tume ya maadili ya viongozi!!!
 
Mbona kasema misamaha ya kodi na sio kodi zote za kawaida.....watu vipi!?
 
kasema atafuta misamaha ya kodi,siyo kuweka misamaha ya kodi,kuwa mwelewa,unaandikiwa huelewi,je ukisimuliwa?mtanzania katika ubora wake!
 
kasema atafuta misamaha ya kodi,siyo kuweka misamaha ya kodi,kuwa mwelewa,unaandikiwa huelewi,je ukisimuliwa?mtanzania katika ubora wake!

Misamaha imekwisha kupunguzwa sana. Haiwezi kufutwa yote km Huduma za Afya, elimu, mashirika ya dini nk. Aonyeshe mfano kwa kulipa kodi yake ya mapato yote na akusanye pia kutoka kwa hao marafiki zake kikamilifu. Kama hawezi hayo asizungumzie kodi kabisa.
 
Pole sana ndugu yangu. Nadhani jibu ni jepesi sana na ili kuokoa muda katika kukuelewesha kwa kuandika nakala nzima tuma namba yako nikupigie ili nikueleweshe vizuri kuhusiaana na Kodi na jinsi ys kuyajikimisha hayo uliyo taja.
 
Huyo kutembea hawezi ataweza kusafiri, mie naona gharama za kusafiri hizo 10% zitakuwa za kuendea hospital,

hospital au hospitali? tumia lugha moja ueleweke. au wewe ndo ruksa kutuchanganyia madawa?
 
kwenye elimu tu hapo umenikamata hata ukiacha mengne ntakpa kura
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…