Usanii in action... Riba za mabenki zinategemea hali ya uchumi na mfumuko wa bei.. sasa sijui ataongea na uchumi au na mfumuko wa bei. Kwasabubu bila tija (productivity) kupanda nchini hatuwezi kuimarisha uchumi na kudhibiti mfumuko wa bei! wachumi tusaidieni kwamba utaenda kwenye mabenki na kuwaaambia wewe ni rais punguzeni riba na pengine kama Iddi Amin alivyomwambia Gavan wa benki chapisha pesa!!!!Alitamka hayo akiwa iringa,Nitafuta misamaha yote ya kodi,Mara nitakapoingia ikulu na kuhakikisha bandari yetu inafanya kazi KWA SAA 24.
Nitafanya kazi na wananchi wangu bega kwa bega! hapa hapa,
Nitapunguza gharama za safari za nje KWA 90%
Sitaki kuona hats shilingi moja inapotea katka bandari yetu!
Tutakaa chini pamoja NA mabenki yetu kuona jinsi tutakavyoweza kupunguza riba na jinsi tutakavyoweza kurahisi mikopo ili kila mtanzania aweze kukopa benki katika kipindi kisichozidi Sikh 45--60,
***hakika amenigusa sana ndg Edo!
Alitamka hayo akiwa iringa,Nitafuta misamaha yote ya kodi,Mara nitakapoingia ikulu na kuhakikisha bandari yetu inafanya kazi KWA SAA 24.

Huyo kutembea hawezi ataweza kusafiri, mie naona gharama za kusafiri hizo 10% zitakuwa za kuendea hospital,

kwakwel kwa upeo mdogo wakufikiri kodi ndio uleta pato la taifa sasa najiuliza mismaha iyo ikipita sio kama tutapunguza pato la taifa je iyo pesa ya kuendeshea maendeleo inatoka wap angesema atahakikiwalipa kodi wote wanadaiwa kikamilifu ili kuongeza pato la taifa kwa ajili ya maendeleo apo sawa lasihivyo aseme kama atatumia pesa yake kwa ajil ya maendeleo mtanzania amka na usirubuniwe kwa kusema kodi azitalipwa HAPA KAZI TU
Huyo kutembea hawezi ataweza kusafiri, mie naona gharama za kusafiri hizo 10% zitakuwa za kuendea hospital,
Mm mwl hakuna jipya ndugu teja anataka kwenda kupiga mingo magogoni hapa kazi tu
Sio nyie tu...wengi tume muelewa jamaa sio maneno mengi....ccm walituzoesha maneno meeeengi utekelezaji ziroo! sasa mwaka huu lowasa kaja na kampeni za aina yake....lowasa ni genious! Viva LOWASA.
Wewe ujuavyo kusafiri ni kujionesha? Amma kwa hakika Mkapa hajakosea.
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?