Anarudia kosa lile lile la kampeni ya Kikwete 2005, kashaanza kuwadanganya Waislamu kwamba ataingiza Mahakama ya Kadhi serikalini wakati Rais hana uwezo wa kubadilisha suala la kikatiba kama hilo."Alisema pia akifanikiwa ataangalia jinsi ya kushirikisha dini katika muundo wa Serikali ili mambo ya Serikali na ya dini yaende vizuri bila mijadala nje ambayo inatishia amani na utulivu.
"Kuna nchi nyingine, mahali kama Pakistan mambo ya dini yana wizara yake ndani ya serikali. "
Taarifa zilizopo ni kwamba hata hizo shilingi 700,000 amezitoa yeye mwenyewe
Lowsa hafai kuwa raisiPole mkuu, lowassa anaendelea kuvuta supporters na wewe utaishia kutukana na kucomment badala ya kumnadi mwadilifu wako,
hizo kelele za uadilifu zilishaekspaya dada. Huwezi lazimisha watu waamini kitu bali ni kushawishi.
tayari ccm walishampitisha na hizo kura za ushindi za fisadi mmezipigia monduliLowasa ni rais anaesubiri kuapishwa October
ikulu siyo pango la mafisadi wala wagonjwaLowasa ni rais anaesubiri kuapishwa October
mbona unakuwa kama kahaba wewe ndo ulikuwa unamponda huyu mchafu mwenzakoLowasa ni rais anaesubiri kuapishwa October
atagombea uraisi wa pesa siyo uraisi wa tanzaniaNimeshawashika.nitagombea urais kwa nguvu ya fedha.
mbona anaongea anatetemeka
Tazama hapa anavyoongea kwa nguvu sana na hand gestures zinatumika
Leo ata kutikisa kichwa awezi let alone using hand gestures; uhitaji kuwa karibu naye kujua afya yake mgogoro.
mbona unakuwa kama kahaba wewe ndo ulikuwa unamponda huyu mchafu mwenzako
mmekuuliza atakuwa raisi wa monduli.jiandae kumpigia makofi rais wako lowasa October
Kwani kwa sasa Ikulu inakaliwa na nani?Mwizi anaitaka ikulu akaibe vizuri. Tanzania nani katuloga?
View attachment 236644
Katika Kurasa za magazeti ya Leo zimepambwa na tarifa mbambali za kurasa za mbele za magazeti zinaonyesha dhahiri Edward Lowassa kukubali kugombea Urais, Okello nimelifuatia suala hili kwa karibu mengi nimeyapata kutoka kwa Mashekh wa Bagamoyo. Ni ukweli dhahiri upande wa Jakaya katika dhamira yake ya dhati ni kumkabidhi Edward Lowassa ikulu ya magogoni.
Mengi katika vipaumbele vya ujumbe wa Jakaya katika ni kuhakikisha Edward Lowassa anaendeleza Yale ambayo ameyaacha ikiwemo elimu, Afya bora, miundombinu na kufuta umaskini kwa Watanzania wote.
Kumejitokeza makundi mbali mbali yakimtaka kugombea Urais, yeye binafsi amesema anafarijika kuona Watanzania wanasimama nae katika hili, mbali historia ya uongozi wake uliotukuka basi hii nafasi ya Watanzania kumuomba atangaze nia inampa nguvu hasa Dk. Jakaya kumtumia ujumbe mzito.
MAAMUZI NA MATUMAINI MAPYA NA EDWARD LOWASSA 2015.
Anapaswa kufikiria pa kuhamia, labda wapatanishwe lakini ndani ya chama atakuwa na kazi na hasa hasipopata ubunge.Nape Nnauye hana kauli tena tangu Kinana amkaripie, kwa kifupi ni kwamba Kinana kamwambia Nape Nnauye aache kumwandama Lowasa kwakua ndio choice pekee ya chama.