Lowassa: Nimeshawishika, Nitagombea urais...!

Ndugu zanguni msiwe na ushabiki wa ki siasa kiasi cha kupoteza ufahamu halisi mliozaliwa nao.Kila mwenye nia ya kuongoza nchi hii ana lengo zuri tu la kuleta maendeleo na kuondoa umasikini,na kinyume na hivyo.Acheni demokrasia ya kweli ifuate mkondo wake.Acheni kuzodoana mtatoana macho bure.
 
Ninaimani na wewe, kama Rais jae mwenye msimamo, Mzalendo na mchapakazi
 
Nashangaa watu wanalia fisadiii fisadi nani sio fisadi? mpinzani gani ni msafi? ndani ya sisiem yenyewe nani msafi? raia wenyewe nani msafi? sasa tufanyeje hapo si afadhali fisadi atakayechapa kazi kuliko fisadi atakayekaa ikulu akichapa usingizi kungojea migao; waswahili walisema heri nusu shari kuliko shari kamili.
 
Reactions: SMU
Madhara ya Chui na Sumu... Kitee kwambali kila baada ya Mwezi!!! Hakuna Ilborian Zoba kama wewe na Pasco!!! Unashangaa Laki Saba? Unajua Mkataba wa kutengeneza Bandari na Airport Bagamoyo vinathamani kiasi gani?... Strategies za hawa mnaowaita Sheikh Ubwabwa nimeipenda sana! Wametengwa kwa miaka mingi sana, wamenyimwa fursa za maendeleo miaka mingi sana... Bagamoyo ni one of the Old cities iliyotakiwa kuwa na maendeleo makubwa sana Only kuhujumumiwa na Vatican...
Bagamoyo kuna kitega uchumi gani hadi masheikh wapate laki 7 za kumpa lowassa
 
Alafu kawanunua mashekh wa bagamoyo kisha anamsingizia Prof; Dr; Jakaya M. Kikwete eti ndiye kamtumia ujumbe mzito wa hao mashekh. Mbinu chafu hizo na ni kumsingizia mhe. Rais
kwani tunajua mhe. Rais hajafanya hivyo

Mkuu mbona Ina kuuma sana!!
Kwni na wewe unataka ugombee nini??.
 

Mliamini boys II Men imekufa?
 
haa haa duh.
 
Hivi lowasa akiwa rais nchi hii itakuwa ya rostam, karamagi, mo, itabaki miffupa, ee Mungu tuondolee balaa
 
Kwa kweli,hii nchi yetu inatakiwa kuingia kwenye maajabu ya ulimwengu,iweje mtu aliyeushndwa uwazir mkuu na akajiuzulu,leo tumuamini na tumpe dhamana ya kuwa rais wetu jamani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…