Lowassa: Nimeshawishika, Nitagombea urais...!

Taarifa zilizopo ni kwamba hata hizo shilingi 700,000 amezitoa yeye mwenyewe
Na change ilibaki Ya masheh kunywa madafu njiani. Nahsi kamati Ya maadiri inakula tizi kwa hasira. Huyu dingi kwa nini asipumzike akanywa maziwa kwa raha kabisa . Mi nahsi ana dementia huyu
 
Mh sijui ulikuwa wapi?
Watanzania wamefikia pabaya mno kama Taifa yaani njaa na akili kukosa chakula ni laana tupu. Dunia hii hakuna nchi yenye watu wababaishaji kama tanzania yaani mi natamani Hadi ninunue uraia . Hakuna watu walokuwa wanaheshimika kama viongozi wa dini ila kwa Hali hii kila sehemu ni maadili yamekwisha kila sehemu . Katika kipindi ambacho watanzania wamebaki kama mbuzi waliotawanyika porini nategemea wachungaji na mashekh wao ndo wawe na kauli zinazokubalika japo na nusu Ya watanzania ila kutokana na udhalimu wa kutotoa dira na kuwapiga kwa njaa na mifumo Ya kitapeli tapeli basi kila kundi limegeuka Kuwa kama matapeli katika jamii .mara wachungaji , mashekh , wasomi, bodaboda ila uhalisia ni njaa zinawasumbua. Wanaamini Kuwa ni kipindi cha mavuno bora mwalimu angekuwepo Huyo fisadi nyangumi asingekuwa anajaribu hayo maigizo Ya kila siku ila saa hivi CCM msikilizie mta endelea kudanganya hao mliowapa njaa ya akili na Ya na tumbo. Period
 
Jamaa ana mbinu za mwaka arobaini na Saba yaani mi niliona hayo maandamano I feel so seek. Karne hii eti ndo mbinu za kimasai. Si waseme tuwape mbinu za kuudanganya umma wa watanzania?
 
Hata clinton.. ambaye alishakuwa rais wa marekani.. alishapata kashfa ya ngono.wakati akiwa katika harakati za kugombea
. Urais wa marekani.. lakini mwishowe alishinda kwa nguvu
 

Ni mwendawazimu pekee atakaeamini Ukawa itashinda uchaguzi October, Kugawana majimbo tu wameshindwa nchi ndio wataiweza? Endelea kuota
 
Rais wa nyama choma au Tanzania? Si awaite monduli wakale nyama choma wale walafi.
 
Nasikitika sana na naumia sana UDOM chuo ninachosoma ndiyo kinaongoza kwa kuwa na vijana wasiojitambua wamefikia hatua ya kwenda kumshawishi lowasa agombee na siyo kumshawishi in such maana hakuna asiyejua kwamba lowasa anautaka urais! Hivi unaenda vipi kumshawishi mtu ambaye anapenda jambo husika? Huku hakukuwa kumshawishi bali ni kujikomba kwa lowasa kulikofanywa na wasomi wa Dodoma! Kumbe wasomi wa Dodoma wanabei rahisi hivi! Naona aibu kujiita mwanachuo wa UDOM.
 
Fedha hizo wananchi ndiyo wamechanga...... hizo ni akili za wakina Lizaboni

Wanafiki siku zote hawakosi visingizio.Mwisho wa siku watakuja kusema Lowassa anamtambo wa kutengeneza noti nyumbani kwake.
 
Mimi sina muda wa kuongea na jitu kama lile kwa sababu hakuna siku limetumia akili zaidi ya makamasi. Mtu mweye hoja akija na hoja tutaongea. Lakini mijuha kama laki si pesa sina muda huo. Atafute wa kiwango chake. Mimi hapana!.

Naona kadri miezi inavyosogea na mhemuko wa akili na msongo wa mawazo unazidi.Njoo CCM upone.
 
Aseee kama alipga ishu ya richmond enz zile akiwa PM je akiwa President c ndo atatufilisi?hafai kuwa kiongozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…