Kwa kuzungusha mikono?Huyu ndiye atakaeibadilisha Tanzania
View attachment 370315
Masia katumwa na Mungu kuja kuwaokoa wana wa Tanganyika
Mimi Masiya wa JF "Nabakiza maneno"View attachment 370315
Masia katumwa na Mungu kuja kuwaokoa wana wa Tanganyika
hahahaMentioned by few out of ignorance
Endelea kuota mpaka siku utakapoitwa kwa baba muumbaHuyu ndiye atakaeibadilisha Tanzania
NAOMBA wataalamu wa Nyota waje hapa wanisaidie kuniambia Huyu Mzee EDWARD NGOYAI LOWASSA ni wa nyota gani? Yaani, anatajwa kila mahali na kila mtu kuliko hata Rais na Mwenyekiti wa CCM!!!
Mkutano wa Jana wa CCM Mjini Dodoma, jina lake lilitajwa mara nyingi kuliko CCM yenyewe!
Masia huwa hawaibi mkuu!View attachment 370315
Masia katumwa na Mungu kuja kuwaokoa wana wa Tanganyika
Mambo hayapo km unavyodhan bw. mdogoEndelea kuota mpaka siku utakapoitwa kwa baba muumba
Ili jina lako liwe linakatwa mara kwa mara...Natamani ningekuwa na nyota kama ya Lowasa
Hofu ya Mungu pekee yatosha kuwachanganya akili adui zako na wale wote wakuombeao mabaya.NAOMBA wataalamu wa Nyota waje hapa wanisaidie kuniambia Huyu Mzee EDWARD NGOYAI LOWASSA ni wa nyota gani? Yaani, anatajwa kila mahali na kila mtu kuliko hata Rais na Mwenyekiti wa CCM!!!
Mkutano wa Jana wa CCM Mjini Dodoma, jina lake lilitajwa mara nyingi kuliko CCM yenyewe!
lini tena hiyo??Huyu ndiye atakaeibadilisha Tanzania