VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,004
Usomi si tu wingi wa shahada,stashahada au astashahada. Usomi hasa ni uwezo wa kutumia elimu,hasa fani yako,katika maisha halisi. Ndivyo alivyo Lowassa. Lowassa ni msomi wa shahada ya sanaa toka UDSM. Amejifunza na kufuzu maigizo,ngoma,utunzi na mazingaombwe.
Sasa Lowassa anatumia usomi wake. Fani yake.
Watu wana imani kubwa na lowasa kuliko kiongozi yeyote Tz kwa ss ndiye anayehitajika hakuna jinsi ambavyo watu watabadilishwa. Kama ni sanaa nao waganye tuone badala ya kulaumu tu kwenye midia.
Ni watu wachache sana watakaukua wafinyu wa fikra ndio wanaweza kuona kwamba Mh.lowasa anafanya maigizo kuwasafirisha mashekhe kutoka huko mpaka Dodoma
Usomi si tu wingi wa shahada,stashahada au astashahada. Usomi hasa ni uwezo wa kutumia elimu,hasa fani yako,katika maisha halisi. Ndivyo alivyo Lowassa. Lowassa ni msomi wa shahada ya sanaa toka UDSM. Amejifunza na kufuzu maigizo,ngoma,utunzi wa mashairi na mazingaombwe.
Sasa Lowassa anatumia usomi wake. Fani yake. Alipotamka tu Rais Kikwete kuwa wanachama wawashawishi wagombea wazuri,Lowassa akapata pa kutokea. Kwakuwa msomi wa usanii hupaswa kuwa sharp,mbunifu na muangalifu,Lowassa akatumia haraka fursa.
Kinachoonekana na kusikika sasa,ni zao la usomi wa Lowassa. Hakuna mwanasiasa mkongwe chamani mwenye usomi wa usanii kama Lowassa. Wengine hutumia usanii wa kuzaliwa tu. Usomi una raha yake!
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Tulieni na BABU Slaa wenu, ya Lowassa yako juu ya uwezo wenu!
Sasa Mbona umeshasaliti? Hata mwehu asiye na akili hata tone, akisoma mabandiko yako yaliyosheni kejeli juu ya CCM anafahamu wazi kabisa wewe ni mfuasi mtiifu wa Mzee Mtei. Inawezekana Hujawahi kuwa mwanachama wa CCM.MUSSA ALLAN,nimekutangulia mno kujiunga CCM. Ukisaliti,utaniacha humu. Mimi nahusikaje na uliyosema. Hivi huoni kama Lowassa anafanya maigizo. Open your eyes kada!
Mzee Tupatupa
Majibeba mwaka huu sababu huyu Lowassa yuko mioyoni mwetuUsomi si tu wingi wa shahada,stashahada au astashahada. Usomi hasa ni uwezo wa kutumia elimu,hasa fani yako,katika maisha halisi. Ndivyo alivyo Lowassa. Lowassa ni msomi wa shahada ya sanaa toka UDSM. Amejifunza na kufuzu maigizo,ngoma,utunzi wa mashairi na mazingaombwe.
Sasa Lowassa anatumia usomi wake. Fani yake. Alipotamka tu Rais Kikwete kuwa wanachama wawashawishi wagombea wazuri,Lowassa akapata pa kutokea. Kwakuwa msomi wa usanii hupaswa kuwa sharp,mbunifu na muangalifu,Lowassa akatumia haraka fursa.
Kinachoonekana na kusikika sasa,ni zao la usomi wa Lowassa. Hakuna mwanasiasa mkongwe chamani mwenye usomi wa usanii kama Lowassa. Wengine hutumia usanii wa kuzaliwa tu. Usomi una raha yake!
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Usomi si tu wingi wa shahada,stashahada au astashahada. Usomi hasa ni uwezo wa kutumia elimu,hasa fani yako,katika maisha halisi. Ndivyo alivyo Lowassa. Lowassa ni msomi wa shahada ya sanaa toka UDSM. Amejifunza na kufuzu maigizo,ngoma,utunzi wa mashairi na mazingaombwe.
Sasa Lowassa anatumia usomi wake. Fani yake. Alipotamka tu Rais Kikwete kuwa wanachama wawashawishi wagombea wazuri,Lowassa akapata pa kutokea. Kwakuwa msomi wa usanii hupaswa kuwa sharp,mbunifu na muangalifu,Lowassa akatumia haraka fursa.
Kinachoonekana na kusikika sasa,ni zao la usomi wa Lowassa. Hakuna mwanasiasa mkongwe chamani mwenye usomi wa usanii kama Lowassa. Wengine hutumia usanii wa kuzaliwa tu. Usomi una raha yake!
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Hivi ya UKAWA yanawahusu? Mbona mko kama mnavizia?Mzee tupa tupa wa Ufipa, baba wa wanafiki, vipi Slaa ameshatangaza nia kugombea kupitia Ukawa? Lipumba kashajitosa kilingeni tunamsubiri babu slaa.