Lowassa ni mateso kwa Taifa

Lowassa ni mateso kwa Taifa

sixgates

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2011
Posts
3,979
Reaction score
1,667
Nitaandika kwa kifupi sana.

Swali ni hili... ajenda kubwa ya upinzani ni ipi?? Jibu ni " kupambana na udikteta chini ya John Magufuli" rais wa tanzania amekuwa dikteta ambaye anaziba watu midomo. Naendelea kujiuliza huyo dikteta ni yupi ambaye anawaacha watu wamuite dikteta... ni dikteta yupi huyo ambae ukivunja sheria anakupeleka mahakaman na bado unashinda,unapewa rufaa..yaan dikteta anakuacha utafute haki Zako katika mahakama (chombo kinachosimamia haki)?? Dikteta anaziba watu midomo au anakuzima hata hiyo sauti hutoi??

Lakini bado najiuliza hivi wananchi issue ya udikteta unaclick kichwani kwa mtu ambaye ameanza kwa kufungua mahakama ya mafisadi? Mtu ambaye anarudisha nidhamu katika offisi za uma? Mtu anaepigania kufanya kazi? Kiongozi ambaye anasafisha mifumo mibovu kama elimu??

Wapinzani chonde chonde yale maisha ya kusubiri udhaifu wa serikali ndiyo mtengeneze ajenda pengine ndiyo wakati sahihi wa kuyaacha.. kila ajenda mnayopigia kelele Magufuli anaifanyia kazi.

Mlikuwa na nguvu kabla LOWASSA hajaja upinzani.. kwa zile kura alizosema mwenyekiti wa chadema mh Mbowe kamati kuuu nanukuu " makamanda kutokana na muda hatutapiga kura za siri.. wanaokubali lowassa simameni mmkunje ngumi hivi"... najiuliza katika mazingira hayo ungeweza kumkataa?? Lakini Lowassa yupo kamati kuu na vikao vyote vya juu anashiriki.. kwa katiba ipi?? Mwenyekiti wa chadema tukisema anatumia mabavu kuongoza chama kama ilivyowahi kulalamikiwa na watu kama Zitto Kabwe nitakosea???

Ukweli ni huu ajenda ya Upinzani ilikuwa ufisadi. Sasa hivi sio ajenda yao tena ndiyo maana ile list of shame wameifuta kwenye website yao ... narudia kumchukua Lowassa was a wrong move . .

Hivi hiyo september 1.. tu assume Magufuli akawaruhusu mufanye mikutano na maandamano ajenda itakuwa ipi??? Udikteta?? Yaani upo kwenye mikutano na unahojiwa kabisa na tv unasema hii nchi rais anaziba watu midomo... nasononeka upinzani unakufa haraka tofauti na nlivyofikiri.
 
Huyu Lowassa naomba mumshitaki kwa ufisadi maana imekuwa kero.
Ni upumbavu mtu kuwa fisadi na ushahidi mnao mnaishia kulalamika.

Mi sina chama but naona kila mwanasiasa akitafuta umaarufu anapita kwa kick za lowasa.

Mfungeni kama hamna ushidi kaeni kimya
 
Unasema maneno mengi huna hoja moja uliyoisimamia.

UDIKTETA umeanzishwa na mzee mwenyewe kwa kutaka kuzima wapinzani wake kuanzia bungeni hadi uraiani. Hii kwa mtu yeyote awaye yote hawezi kuliendekeza na ikiruhusiwa viongozi watatuendesha kwa matamko bila kufuata katiba.

Majukumu ya upinzani yapo kikatiba hakuna haja ya kutaka kuwadhibiti kisa unataka kusifiwa tu

Sent from my SM-J110F using JamiiForums mobile app
 
Sikatai, Lowassa huenda wakati fulani alikuwa na matatizo kama wengi wetu wanavyodai.

Lakini hebu tuache unafki, maana msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Kama watu wenye akili timamu hebu tujiulize swali hili dogo, je ni kweli anayeitesa nchi hii ni Lowassa?!

Je, huyu mtu hayupo madarakani mwaka wa ngapi sasa?

Mtoa mada rudi ufafanue haya mateso ya Lowassa kwa nchi hii ni ya aina gani?

Naona kama kuna jambo limejificha kumhusu huyu jamaa ambalo wale wanaomsemasema wanalijua!

Na mkiendelea hivi mtatushtua wengi ambao tulikuwa tukichukulia poa hapo awali.
 
Tatizo division 5 mtu hajui hata maana dikteta unapozungumzia hiyo kitu ni utawala usiofuata sheria (katiba) ndio maana wanaoona tunapoelekea tunajaribu kuwashika mikono wanaojaribu kuanza kuchezea kwa mfano katiba inasema kila mtu anahaki ya kukusanyika na kutoa mawazo lakini kiongozi anasema hakuna mikutano yaani mikusanyiko sasa hapa katiba imeanza kuchezewa
 
DSC_4812.jpeg
unnamed+(73).jpg

Vipi hawa utawafanyaje?utawafungua kama Lowassa akifungwa.

swissme
 
Sikatai, Lowassa huenda wakati fulani alikuwa na matatizo kama wengi wetu wanavyodai.

Lakini hebu tuache unafki, maana msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Kama watu wenye akili timamu hebu tujiulize swali hili dogo, je ni kweli anayeitesa nchi hii ni Lowassa?!

Je, huyu mtu hayupo madarakani mwaka wa ngapi sasa?

Mtoa mada rudi ufafanue haya mateso ya Lowassa kwa nchi hii ni ya aina gani?

Naona kama kuna jambo limejificha kumhusu huyu jamaa ambalo wale wanaomsemasema wanalijua!

Na mkiendelea hivi mtatushtua wengi ambao tulikuwa tukichukulia poa hapo awali.
Wenye akili finyu ndiyo uweza kuona km hayo ni maswali?
 
Nitaandika kwa kifupi sana.

Swali ni hili... ajenda kubwa ya upinzani ni ipi?? Jibu ni " kupambana na udikteta chini ya John Magufuli" rais wa tanzania amekuwa dikteta ambaye anaziba watu midomo. Naendelea kujiuliza huyo dikteta ni yupi ambaye anawaacha watu wamuite dikteta... ni dikteta yupi huyo ambae ukivunja sheria anakupeleka mahakaman na bado unashinda,unapewa rufaa..yaan dikteta anakuacha utafute haki Zako katika mahakama (chombo kinachosimamia haki)?? Dikteta anaziba watu midomo au anakuzima hata hiyo sauti hutoi??

Lakini bado najiuliza hivi wananchi issue ya udikteta unaclick kichwani kwa mtu ambaye ameanza kwa kufungua mahakama ya mafisadi? Mtu ambaye anarudisha nidhamu katika offisi za uma? Mtu anaepigania kufanya kazi? Kiongozi ambaye anasafisha mifumo mibovu kama elimu??

Wapinzani chonde chonde yale maisha ya kusubiri udhaifu wa serikali ndiyo mtengeneze ajenda pengine ndiyo wakati sahihi wa kuyaacha.. kila ajenda mnayopigia kelele Magufuli anaifanyia kazi.

Mlikuwa na nguvu kabla LOWASSA hajaja upinzani.. kwa zile kura alizosema mwenyekiti wa chadema mh Mbowe kamati kuuu nanukuu " makamanda kutokana na muda hatutapiga kura za siri.. wanaokubali lowassa simameni mmkunje ngumi hivi"... najiuliza katika mazingira hayo ungeweza kumkataa?? Lakini Lowassa yupo kamati kuu na vikao vyote vya juu anashiriki.. kwa katiba ipi?? Mwenyekiti wa chadema tukisema anatumia mabavu kuongoza chama kama ilivyowahi kulalamikiwa na watu kama Zitto Kabwe nitakosea???

Ukweli ni huu ajenda ya Upinzani ilikuwa ufisadi. Sasa hivi sio ajenda yao tena ndiyo maana ile list of shame wameifuta kwenye website yao kwa sababu ndani mwao kuna furushi la kinyesi huwezi kulibeba bila kukuchuruzikia... narudia kumchukua Lowassa was a wrong move . .

Hivi hiyo september 1.. tu assume Magufuli akawaruhusu mufanye mikutano na maandamano ajenda itakuwa ipi??? Udikteta?? Yaani upo kwenye mikutano na unahojiwa kabisa na tv unasema hii nchi rais anaziba watu midomo... nasononeka upinzani unakufa haraka tofauti na nlivyofikiri.

Mkuu, (full disclosure: Mimi ni mpenda mabadiliko na maendeleo). Mtu akilisoma atajua una-agenda ya U-CCM. Ila una hoja. Upinzani wanahitaji kukaa chini na kujitafakari. Walijipambanua kwa agenda ya Ufisadi. Leo wamebadilika. Kitu ambacho hata critics wa Magufuli watakubali (hata kimoyomoyo), Magufuli hana makando kando ya ufisadi. Sasa ukiangalia anadeal na yale yale ambayo upinzani wameyapigia kelele miaka nenda rudi (na wananchi wakawa-support). Leo Magufuli mnamuweka kundi lipi? Do you really think kweli kwa mwananchi masikini asiye na kitu...huu wimbo wa udikteta utamwingia?

Kwangu mimi Tanzania inahitaji Upinzani makini na strong. Lakini nina wasiwasi na upinzani unakoellekea. Ujikite kwenye hoja ambazo zina mashiko. Zinazoleta chakula mezani mwa mlalahoi. Ukiangalia hii kasi ya Magufuli waathirika wakubwa ni wale wale (usual suspects). Waliokuwa nacho. Kiukweli RAIS wanaomsupport wengi ni wale wanaoamini kwamba wizi ulikuwa umetamalaki na wanaolalamika kuhusu utendaaji wake ni wale wale waathirika wa sera za wizi kipindi cha Jakaya.

Nawashauri kaka na dada zangu upinzani. Kaeni chini mjitathimini tena. Mnahitaji kurudisha imani yenu kwa wananchi.
 
Lowassa ni mwanachama na katiba ya chadema hipo wewe ni mgonjwa wa akiri na HUNA ELIMU YA JUU
swissme

Lowasa ameipasua Chadema nusu. Wanachama wengi wako Chadema Asili na waliokubali kubadili gia angani wako Chadema Mbowe na Lowasa wao. Kwa sasa hawana agenda baada ya ile mafisadi kutekwa na rais JPM.
 
Huyu Lowassa naomba mumshitaki kwa ufisadi maana imekuwa kero.
Ni upumbavu mtu kuwa fisadi na ushahidi mnao mnaishia kulalamika.

Mi sina chama but naona kila mwanasiasa akitafuta umaarufu anapita kwa kick za lowasa.

Mfungeni kama hamna ushidi kaeni kimya
wamshitaki yambumburuke na mengine yaliyojificha? Never wataishia tu kubwabwaja kwamba Lowassa fisadi ila mahakamani hafikishwi.
 
Sasa Lowasa anahusikaje hapa kuitesa Nchi. Propaganda zimezidi hata mtu asiyesoma anashtukia kabisa kuwa huu ni upuuzi. Jaribuni kuandika mada za msingi.
 
Lowasa ameipasua Chadema nusu. Wanachama wengi wako Chadema Asili na waliokubali kubadili gia angani wako Chadema Mbowe na Lowasa wao. Kwa sasa hawana agenda baada ya ile mafisadi kutekwa na rais JPM.
wewe ni mtoto wa mbowe?mybe

swissme
 
Tatizo division 5 mtu hajui hata maana dikteta unapozungumzia hiyo kitu ni utawala usiofuata sheria (katiba) ndio maana wanaoona tunapoelekea tunajaribu kuwashika mikono wanaojaribu kuanza kuchezea kwa mfano katiba inasema kila mtu anahaki ya kukusanyika na kutoa mawazo lakini kiongozi anasema hakuna mikutano yaani mikusanyiko sasa hapa katiba imeanza kuchezewa
Mnapofanya siasa, angalia zaidi mtanzania wa kawaida, je kwake udikteta ni suala la msingi kwake? (kama upo) maana mimi ukiniita hayo majina nakuonyesha rangi halisi ya udikteta.
Kama mbowe aliamua kutusaliti kwa kumleta mtu tuliyempinga zaidi ya miaka saba kwamba ni fisadi, mwizi na shida tulizonazo watanzania na yeye kasababisha, bado tunaona sawa tu, kama mbowe ndo kila kitu kwenye chama chetu, bado tunaona hiyo ndo demokrasia, basi mimi naomba nisiwe na nyinyi
Sasa hivi hatuna agenda, tumeachana na ajenda ya ufisadi, kwa sababu fisadi mkuu yupo chumbani kwetu! Hatuaminiki tena!

Ni bora tuandamane kuipongeza serikali kwa kuifanyia kazi ajenda yetu ya ufisadi tuliyoikimbia, LA sivyo tutegemee anguko kubwa la UPINZANI
 
Tunataka mumfunge huyo Lowasa , maana sasa hamtuletei maendeleo kutwa kumsingizia Lowasa, naona mkishamfunga barabara sita juu na chini zitajaa nchini , umaskini utakwisha, hospitali zote huduma zitakuwa bwerereee , walimu na watumishi wengine wa umma wataishi kwa raha baada ya haki zao kupatikana , wakulima watalima Kwa faida, Vijana watajiajili na kuajiliwa , yaani Tz itakuwa kama Dubai !

Huyu Lowasa na afungwe tu !!
 
nasononeka upinzani unakufa haraka tofauti na nlivyofikiri.

Pole sana..kwa tunaojua dynamics za siasa za nchi hii...kipindi hiki Upinzani una nguvu kuliko kipindi chochote kile
 
Tunataka mumfunge huyo Lowasa , maana sasa hamtuletei maendeleo kutwa kumsingizia Lowasa, naona mkishamfunga barabara sita juu na chini zitajaa nchini , umaskini utakwisha, hospitali zote huduma zitakuwa bwerereee , walimu na watumishi wengine wa umma wataishi kwa raha baada ya haki zao kupatikana , wakulima watalima Kwa faida, Vijana watajiajili na kuajiliwa , yaani Tz itakuwa kama Dubai !

Huyu Lowasa na afungwe tu !!
Naunga mkono hoja
 
Nitaandika kwa kifupi sana.

Swali ni hili... ajenda kubwa ya upinzani ni ipi?? Jibu ni " kupambana na udikteta chini ya John Magufuli" rais wa tanzania amekuwa dikteta ambaye anaziba watu midomo. Naendelea kujiuliza huyo dikteta ni yupi ambaye anawaacha watu wamuite dikteta... ni dikteta yupi huyo ambae ukivunja sheria anakupeleka mahakaman na bado unashinda,unapewa rufaa..yaan dikteta anakuacha utafute haki Zako katika mahakama (chombo kinachosimamia haki)?? Dikteta anaziba watu midomo au anakuzima hata hiyo sauti hutoi??

Lakini bado najiuliza hivi wananchi issue ya udikteta unaclick kichwani kwa mtu ambaye ameanza kwa kufungua mahakama ya mafisadi? Mtu ambaye anarudisha nidhamu katika offisi za uma? Mtu anaepigania kufanya kazi? Kiongozi ambaye anasafisha mifumo mibovu kama elimu??

Wapinzani chonde chonde yale maisha ya kusubiri udhaifu wa serikali ndiyo mtengeneze ajenda pengine ndiyo wakati sahihi wa kuyaacha.. kila ajenda mnayopigia kelele Magufuli anaifanyia kazi.

Mlikuwa na nguvu kabla LOWASSA hajaja upinzani.. kwa zile kura alizosema mwenyekiti wa chadema mh Mbowe kamati kuuu nanukuu " makamanda kutokana na muda hatutapiga kura za siri.. wanaokubali lowassa simameni mmkunje ngumi hivi"... najiuliza katika mazingira hayo ungeweza kumkataa?? Lakini Lowassa yupo kamati kuu na vikao vyote vya juu anashiriki.. kwa katiba ipi?? Mwenyekiti wa chadema tukisema anatumia mabavu kuongoza chama kama ilivyowahi kulalamikiwa na watu kama Zitto Kabwe nitakosea???

Ukweli ni huu ajenda ya Upinzani ilikuwa ufisadi. Sasa hivi sio ajenda yao tena ndiyo maana ile list of shame wameifuta kwenye website yao ... narudia kumchukua Lowassa was a wrong move . .

Hivi hiyo september 1.. tu assume Magufuli akawaruhusu mufanye mikutano na maandamano ajenda itakuwa ipi??? Udikteta?? Yaani upo kwenye mikutano na unahojiwa kabisa na tv unasema hii nchi rais anaziba watu midomo... nasononeka upinzani unakufa haraka tofauti na nlivyofikiri.
Hujaelewa, Sio dikteta ila dikteta uchwara
 
Back
Top Bottom