Jigsaw
JF-Expert Member
- Jun 17, 2011
- 1,823
- 684
Yaani leo Magufuli akipita hapa,na yeye kesho yake yupo,hana jipya huyu mamvi fisadi
Najua ina umiza Roho kama vile ukaambiwa rafiki yako anatembea na mumeo. Siasa ni jinsi ya kujipanga na si nguvu na makelele jukwaani.