Supervisor
JF-Expert Member
- Oct 29, 2010
- 559
- 208
badili hiyo sentensi haraka kabla hajachefua wengi wenye akili timamuWaziri Mkuu Mstaafu EL..........
Siyo waziri mkuu staafu,ni waziri mkuu alijiuzulu!Huyu mzee kahamia makanisan sa hivi!kampeni zake zimekuwa makanisani!kwanini asialikwe mwingine kuchangisha?yeye ni kama nani!?
Hello jf members i am new in this forum. Plz nkrbshn
jamaa kweli kaanza kampeni za 2015, ndio maagizo aliyopewa na T.B joshua ama?
EL amelifanyia nini taifa zaidi ya kuiba fedha za tz na kusimamisha wakurugenzi majukwaani?I have always been positive of this man.
Lowassa tukisema ukweli is very visionary, sifa ya kiongozi ni kuwacna maono, anayependa umoja, mwenye ujasiri katika kutoa maamuzi sahihi kwa wakati anayewajibika, mwadilifu, msikivu na mwenye majibu katika kuwaongoza watanzania, Lowassa kwa CCM, anakijua chama chake na historia yake,ndo maana kwa watu wasioelewa mambo wanalazimisha eti ajivue gamba kwa kuondoka sababu eti ametajwa tajwa Richmond, loooh.
Unajua kwa mwanasiasa yeyote makini lazima ujiulize unapotka kufukuza mtu ambaye anasupport kubwa kiasi hiki,na watu tumeona nini amelifanyia hili taifa unakua haueleweki. Jamani, mimi sijawahi kupewa hata kumi moja na huyu Mzee, tukiwaambia watu kuwa huyu jama hata kama mnasema ni tajiri, Lakini anazo sifa zisizo na mashaka katika kuongoza hili taifa
Waziri Mkuu Mstaafu EL amewasili Mkoani Kigoma hv punde. Amealikwa kuja kuendesha Harambee kanisa la PENTEKOSTE ..............
Mengi Tutawajuza.
Waziri Mkuu Mstaafu EL amewasili Mkoani Kigoma hv punde. Amealikwa kuja kuendesha Harambee kanisa la PENTEKOSTE ..............
Mengi Tutawajuza.