Lowassa ndani ya Kagera (March 01, 2014)

Gongo unakunywa wewe unaoficha utambulisho wako halali humu halafu unajifanya unahoja kweli kweli

mbna umekuwa mkali hvyo,kwan uwongo,ci umeungana na wale vijana wa ufipa kunywa gongo na kushinda kweny mitandao
 
Wadau,

Hivi chuki hizi mlizonazo kwa Mamvi zinatokana na nini hasa?

Kama ni kuhusu Richmond mbona tayari imeonekana Mamvi hakuwa na hatia na kwa taarifa, ile mitambo ndio hii iliyopo sasa ya Symbion.

Kama ni kuwa kwake CCM, mbona Watanzania hawa hawa ndio wameiweka CCM madarakani na mpaka leo bado wana imani nayo kwa kuichagua tena kwenye chaguzi zile za kata 27 na kuifanya CCM kuvuna kata 24.

Sasa hii chuki kwa Mamvi inatoka wapi hasa?! Tuache chuki jamani, hii nchi ni yetu sote hivyo kama wapo Watanzania wana imani na Mamvi basi ni mapenzi yao na hatupaswi kuwaingilia.

Binafsi nitampa kura yangu Mamvi kama atagombea urais.
 
Muwe mnatuambia hata pale Lowassa akienda MSALANI
 
Last edited by a moderator:

Mkuu tuko Pamoja!
 
Yaani watu wanashangaza kwelikweli!! Mtu akishanunuliwa juisi tu anajitoa ufahamu!! Ktk taifa letu, mtu ambaye hastahili kuonekana barabarani, ni huyu mtu!!

HAKIKA NAWAAMBIA WATZ MTAKUJA KUJUTA KULIKO SASA!! Pigeni kelele kwa ushabiki!!

Kwa lipi mkuu,,, macho yanaona
 

Siasa kuna kustaafu? Ukiniambia Mawaziri Wakuu wa zamani hapo sawa. Leo hii Sumaye akirudi Bungeni akachaguliwa tena kuwa Waziri Mkuu utampatia title gani? Kuna muda kikatiba kwamba Waziri Mkuu atashika madaraka kwa term ngapi? Na kwanza hata hawa wote ikimwondoa Sumaye ndiye kawa PM vipindi viwili mfululizo. Malecela alipigwa chini akarudishwa Msuya wakati wa awamu ya pili.
 
Kudos Edo boy...Chini yako hakika maendeleo yatapatikana...
 
Hivi kwenye nchi yenye watu milioni 50 mmekosa watu wa kuiongoza nchi hii mpaka mje muwapigie debe MATAPELI?

Kama noma na iwe noma,nchi hii haitaanguka mikononi mwa matapeli tena!

Mshindwe nyie makuwadi wa MATAPELI!
 
Attention seeker.Kwani yeye ni Mbunge Pekee aliyehudhuria mazishi huko Kagera?

Ben huwa ana kipele kinamwasha akisikia lowassa,inabid ukunwe dogo,tunajua ajira yako iko huku JF Siyo lazima kila comments ifurahishe nafsi yako,watz wenye mapenzi na lowassa tusiingilie chaguo lao,na wewe pia una chaguo lako,kuwa mpole tu
 
unapomchukia hasiyechukika unajichosha tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…