Lowassa ndani ya Geita, afanya vitu vyake

Lowassa ndani ya Geita, afanya vitu vyake

Wewe utakuwa mgonjwa au akili yako inamatatizo! Unawezaje kuletewa suruhusu ya matatizo na mwizi.

Ni kweli akili yangu ina tatizo huwa simhukumu mtu kisa watu wengine wanamhukumu pasipo kumchunguza.Heri yako wewe unayewaamini madaktari na sio taaluma zao.
 
Atauza nchi huyo angeenda home fasta kupumzika.
 
Katibu Wa mkoa Wa ccm Msukuma jana kawagawia boda boda milioni 3 kwa ajili ya kumpokea lowassa leo jumla boda boda walikuwa 250,kila mmoja kaambulia sh 15000/-

Sio kweli hata kidogo viulize vizuri vyanzo vyako vya habari:Geita hakuna katibu wa mkoa anaeitwa Musukuma
 
Mpaka wakati huu dakika chache baada ya kuwasili mkoani Geita katika viwanja vya CCM tayari amekwishapata wadhamini 45.
Muda si mrefu ataongea na wana Geita na wana CCM kwa ujumla.
Hakika huyu anaweza kuwa suluhisho la matatizo ya Watanzania akichaguliwa kuwa Rais wa JMT.

KWENYE HUO MDAHALO KAMA EL ATANG'ANG'ANIA KUGOMA KUHUDHURIA BASI ATAMBUE KUWA TAYARI AMEWADHIHIRISHIA WANANCHI KUWA KUNA ANACHOKIOGOPA NA KUKIHOFIA KWAMBA AKIULIZWA HATAKUWA NA LA KUSEMA. NAPATA PICHA HAPA EL SIKU ALIONGEA NA WANAHABARI WALIJARIBU KUMUULIZIA HILI SUALA LA RICHMOND ALICHOJIBU NI MAAJABU TU ETI ATAJIBU SIKU YA KUTANGAZA NIA. ILIPOFIKA HIYO SIKU HAKUNA ALICHOELEZA ZAIDI ALISINGIZIA eti ''UWAZIRI MKUU'' NINAMASHAKA HUYU MJAMAA NI WA KUMUANGALIA KWA MACHO MANNE MANA ANATIA MASHAKA SANA.. KWANINI PIA KWENYE MDAHALO NAPO ANAGOMA KUHUDHURIA??? HAPO NDIO NAPATA MASHAKA MNOO JUU YA UTAYARI WAKE WA KUTAKA KUINGIA IKULU ALAFU HATAKI KUULIZWA MASWALI NA WANANCHI.
ASITUBURUZE TUJIHADHARI SANA NA HUYU MTU. NITAMUAMINI TU ENDAPO ATAKUBALI KUKALIA KITI MOTO NA KUJIBU MASWALI YA WANANCHI TENA KWA UFASAHA BILA KUMUNG'UNYA AU KUTETEMEKA MIKONO KAMA MGONJWA WA WA WA WA WA NANILIU....
 
Jana jioni kulikuwa na zoezi la kugawa hela kwa vijaja wa boda boda na wenye magari ya abiria kama hiace na nk
 
Ila sasa huyu mzee naye sifa....kwa nini kila anapokwenda kunatangazwa??akina muhongo nchemba na wengine mbona wanafanya mambo yao kimyakimya??
Kujitangaza huku ndo kunafanya anafuatiliwa kila unyayo...akienda chooni au akipumua inatangazwa....au kuna ukweli kuwa ndiye tumtarajie???
 
Njaa ya watanzania haujui ni kuanzia kwa waandishi Wa habari hadi kwa wananchi Wa kawaida,akili ndogo,umaskini Wa maisha pia umaskini Wa fikra na umaskini Wa njaa ni shida bongo land
 
Katibu Wa mkoa Wa ccm Msukuma jana kawagawia boda boda milioni 3 kwa ajili ya kumpokea lowassa leo jumla boda boda walikuwa 250,kila mmoja kaambulia sh 15000/-

haa haa hivi hizo pesa tra hawakati kodi?
 
Mpaka wakati huu dakika chache baada ya kuwasili mkoani Geita katika viwanja vya CCM tayari amekwishapata wadhamini 45.
Muda si mrefu ataongea na wana Geita na wana CCM kwa ujumla.
Hakika huyu anaweza kuwa suluhisho la matatizo ya Watanzania akichaguliwa kuwa Rais wa JMT.

Kweli wahenga walisema. Kwenye msafara wa mamba na kenge wamo
 
haa haa ccm kama wanataka kumwondoa lowasa wasiruhusu jina lake lipite kamati kuu.likipita tuu ameshakuwa mgombea tayari. maana huko NEC na mkutano mkuu kashaweka wajumbe wengi mfukoni. by the way kupata mabadiliko kupitia ccm ni ndoto

Labda sijakuelewa CCM unayoiadress hapa ni ipi, hao unaohofia watamchagua si ni CCM pia?
 
Huyo hana lolote la kubadilisha, tatizo ni ccm sio kiongozi wa ccm. Yeye kama viongozi wengine waliotangulia bado ataendelea kuendeshwa kwa remote na wanaojiita wazee wa chama. hawezi kuwa na maamuzi yake bila wazee kukubali.
Unategemea mabadiliko gani ktk mfumo wa serikali ile hali wanamtandao wake ni wale waliofukuzwa au kunyanganywa vyeo vyao kutokana na ubadhilifu wa mali za umma. Je atakapopata nafasi ya kuwa rais unataka kuniambia atawatosa wanamtandao wake watakao kuwa wakimdai fadhila?
Hakuna wa kuaminiwa ndani ya CCM.

Mr.unable,je jk aliwatosa/amewatosa marafiki zake?je,ingalikuwa wewe ungewakimbia rafiki zako?huo ni ujinga tena upumbavu kama rafikiyako akiwa nacho.na ulaaniwe ukose marafiki milele hata wa kukusindikiza sku ya mwisho.samahani
 
Mpaka wakati huu dakika chache baada ya kuwasili mkoani Geita katika viwanja vya CCM tayari amekwishapata wadhamini 45.
Muda si mrefu ataongea na wana Geita na wana CCM kwa ujumla.
Hakika huyu anaweza kuwa suluhisho la matatizo ya Watanzania akichaguliwa kuwa Rais wa JMT.
Samahan mdau,hivi kupata wadhamini 45 kwa haraka ni ishara ya kutatua matatizo ya Watanzania?Uhakika huo unaupatia wapi?Bro john kenge
 
Last edited by a moderator:
HABARI AFRIKA: Never ever Lowassa will not be UR President the time will tell although wengi msingalipenda kusikia haya!
 
Mpaka wakati huu dakika chache baada ya kuwasili mkoani Geita katika viwanja vya CCM tayari amekwishapata wadhamini 45.
Muda si mrefu ataongea na wana Geita na wana CCM kwa ujumla.
Hakika huyu anaweza kuwa suluhisho la matatizo ya Watanzania akichaguliwa kuwa Rais wa JMT.

Wenye viherehere wakuleta taarifa za huyu FISADI mtakaoma mwaka huu....tufanye nini mjue hatumtaki?
 
Jana jioni kulikuwa na zoezi la kugawa hela kwa vijaja wa boda boda na wenye magari ya abiria kama hiace na nk
Sorry mdau Terex hivi ni utaratibu gani ambao hutumika katika ugawaji wa hizi fedha?hadharani?kwa kificho?kwa simu?nyumba kwa nyumba?kwenye vijiwe?yaaani sielewi ujue?😛anda:
 
Last edited by a moderator:
Samahan mdau,hivi kupata wadhamini 45 kwa haraka ni ishara ya kutatua matatizo ya Watanzania?Uhakika huo unaupatia wapi?Bro john kenge

Tatizo sio hao 45 bali utayari wa haraka watu zaidi ya 1000 waliotaka kuwa wadhamini.Kiufupi Mh Lowassa ana ufuasi mkubwa
 
Last edited by a moderator:
Wenye viherehere wakuleta taarifa za huyu FISADI mtakaoma mwaka huu....tufanye nini mjue hatumtaki?

Mtueleze sababu za msingi za kutomtaka na mtende haki kwa kufungua kesi dhidi yake kuhusu "WIZI" wake.
 
Back
Top Bottom