Lowassa ndani ya Geita, afanya vitu vyake

Lowassa ndani ya Geita, afanya vitu vyake

john kenge

Member
Joined
Sep 19, 2011
Posts
17
Reaction score
7
Mpaka wakati huu dakika chache baada ya kuwasili mkoani Geita katika viwanja vya CCM tayari amekwishapata wadhamini 45.
Muda si mrefu ataongea na wana Geita na wana CCM kwa ujumla.
Hakika huyu anaweza kuwa suluhisho la matatizo ya Watanzania akichaguliwa kuwa Rais wa JMT.
 
Wewe utakuwa mgonjwa au akili yako inamatatizo! Unawezaje kuletewa suruhusu ya matatizo na mwizi.
 
Muache tu afanye vitu vyake, vya kwetu atuachie wenyewe....asante kwa taarifa mwambie mdahalo ni leo jioni asikimbie mdahalo

Kindly note that there has been a change in the schedule; the CEO Roundtable Presidential Aspirants Debates will be held tonight, 8 June, 2015, at 18:00 hrs at the Hyatt Hotel in Dar es Salaam.

0
 
Kindly remind me of the tv outlets that will broadcast the debate live.
 
Huyo hana lolote la kubadilisha, tatizo ni ccm sio kiongozi wa ccm. Yeye kama viongozi wengine waliotangulia bado ataendelea kuendeshwa kwa remote na wanaojiita wazee wa chama. hawezi kuwa na maamuzi yake bila wazee kukubali.
Unategemea mabadiliko gani ktk mfumo wa serikali ile hali wanamtandao wake ni wale waliofukuzwa au kunyanganywa vyeo vyao kutokana na ubadhilifu wa mali za umma. Je atakapopata nafasi ya kuwa rais unataka kuniambia atawatosa wanamtandao wake watakao kuwa wakimdai fadhila?
Hakuna wa kuaminiwa ndani ya CCM.
 
=mchambuzixx

Kama una uhakika na ushahidi wa watu" kula pesa"na umekaa kimya pasipo kwenda sehemu husika you are dirty than dirty itself.
 
haa haa ccm kama wanataka kumwondoa lowasa wasiruhusu jina lake lipite kamati kuu.likipita tuu ameshakuwa mgombea tayari. maana huko NEC na mkutano mkuu kashaweka wajumbe wengi mfukoni. by the way kupata mabadiliko kupitia ccm ni ndoto
 
Kenge ukijitambua utaoga siyo kushinda tu kwenye maji huku mchafu....Jua kitu kimoja mr KENGE tatizo la ccm ni mfumo siyo mtu/kiongozi...hata ungejuamsafu vipi lakini ukiingia kwa tiketi ya ccm lazima utakua mchafu tu.l
 
Nani asiyetaka hela? Hata mi akija mkoani kwangu ntajitokeza ila kura simpi
 
Wewe utakuwa mgonjwa au akili yako inamatatizo! Unawezaje kuletewa suruhusu ya matatizo na mwizi.

Hivi ni kwanini watanzania wana Tania ya kuhukumu kwa mtindo bendera fuata upepo?
Hii ni aibu sana / na nikukosa akili ya udadisi madhari umesikia mtu katamka vile kijinga jinga na watu wanalishikilia
TUWE NA KATABIA KA KUDADISI MAMBO NA SI KUFUATA UPEPO
unless kwa mtindo wa fuata upepo huu basi wengi wataingia motoni
 
Katibu Wa mkoa Wa ccm Msukuma jana kawagawia boda boda milioni 3 kwa ajili ya kumpokea lowassa leo jumla boda boda walikuwa 250,kila mmoja kaambulia sh 15000/-
 
Back
Top Bottom