Lowassa: Nafuatiliwa na CCM kila kona

Lowassa: Nafuatiliwa na CCM kila kona

Katika wote walioonyesha nia ya kutaka kuivamia ikulu hakuna mwenye uwezo hata robo ya lowassa...hivyo basi lowassa atosha!
 
Nami nakubali lowasa ni mtu mtiifu sio mkaidi kama akinafulani ni muelewa sana asie na visasi atatufaa sana
 
Lowassa ndie Rais...

Ana busara sana, ana heshimu chama ingawa chama kinaongozwa na akina hovyo Nape na Mangula wote wanamgombea wao....ila Lowassa kwa busara ya hali ya juu anajua anafanya nn..

Kwa sasa Tanzania hana mpinzani kwa Urais..ni EL tu.

Tushamaliza..
 
Mfalme wa nyuki vipi yeye baada ya kusikia kauli ya bosi wake? Hajaangua kilio kweli? Maana uPM tuu umemtoa chozi mpaka akasema wapigwe tuu jee Urahisi? Sio yakizidi atasema wachinjwe tuu?
 
Kwanguvu Aliyonayo Lowasa, Ni Dhahili Ccm Watampitisha Yeye Kupepelusha Bendera Mwezi Wa Kumi, Na Hapo Ndio Utakuwa Mwisho Wa Ccm, Kwasababu Hakuna Mtanzania Asiyejua Ubaya Wa Lowasa, Na Mihangaiko Ya Kutaka Urais Kwa Nguvu, Akizunguka Huku Na Kule,mala Aende Misikitin Mala Makanisani Mala Kwa Waganga Wa Kienyeji Mala Kwa Tibii Joshua, Wamekuwa Wakijiuliza Huyu Mtu Analengo Gani Na Taifa?

Mpaka Wanaccm Wenzie Wameingiwa Na Wasiwasi, Na Hapatani Kalibia Na Kila Anaegombea Urais, Kwa Sababu Mbalimbali, Wengine Wanahis Atalipa Kisasi Kutokana Na Kumuweka Peupe, Hivyo Nao Hawako Tayari Kuna Lowasa Anakalia Ikulu.

Nguvu Ya Lowasa Wanayoigopa Ccm Kwamba Itagawa Chama, Ni Ndogo, Kuna Nguvu Ndani Ya Chama Imekaa Kimya Wakisubili Nini Kitatokea, Na Hiyo Ni Nguvu Kubwa Si Kawaida, Tunakwenda Kushudia Anguko Kubwa La Ccm.
 
Unazo takwimu kuonyesha kuwa watu wangapi hawampendi Lowassa? au wewe na Nape?
 
HAKUNA WA KUMZUIA LOWASA CCM; NA WAKIMZINGUA ANAHAMIA KWA WAZALENDO (LAKINI USHOJI MAPATO), NA HUKO NDIO ATAPROOVE HII EQUATION, ACT=NYRERERE=LOWASSA, (Nb: Kuhoji Mapato ya chama is Negligible in that equation) HAKUNA WA KUMGUSA LOWASSA CCM, WOTE NI WEZI TU. LOWASA HOYEEEEE......... TUKUTANE OKTOBA.
 
kinachotakiwa kufanywa na ccm ni kukaa na huyu bwana, waongee naye kwamba endapo chama hakitamchagua kupeperusha bendera ya CCM kwenye urais, basi atulie na asifanye jitihada zozote kukijeruhi chama.
.
Hii ndiyo njia pekee waliyonayo - vinginevyo ni kweli CCM wana hali ngumu - jamaa kawaweka njia panda.
 
SISIEM bado wana muda wa kukaa pamoja na kujadili haya mambo kwa kina na kwa maridhiano
 
Back
Top Bottom