meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,464
- 4,828
Akijitambulisha kujiunga na UKAWA ndugu Edward Lowassa amesema kuwa anachukia umasikini.
Tutafakari pamoja kauli hii
Tutafakari pamoja kauli hii
Akijitambulisha kujiunga na UKAWA ndugu Edward Lowassa amesema kuwa anawachukia masikini.
Tutafakari pamoja kauli hii
Usijitoe ufahamu umasikini na masikini ni vitu viwili tofauti.Akijitambulisha kujiunga na UKAWA ndugu Edward Lowassa amesema kuwa anawachukia masikini.
Tutafakari pamoja kauli hii
Akijitambulisha kujiunga na UKAWA ndugu Edward Lowassa amesema kuwa anawachukia masikini.
Tutafakari pamoja kauli hii
Kasema anachukia UMASKINI.Akijitambulisha kujiunga na UKAWA ndugu Edward Lowassa amesema kuwa anawachukia masikini.
Tutafakari pamoja kauli hii
Amesema anachukia UMASKINI! By the way, unadhani hizi propaganda zenu za kupindisha ukweli zinaweza kuinusuru CCM kwa sasa?
Kasema anachukia UMASKINI.
Mkuu. We ni Nyani Ngabu kweli au una bifu na Nyani Ngabu? Naona tangu juzi umekazana kweli na comment hii hii. Samahani kama nimekukwaza lakini nauliza kwani naona umejifunga kibwebwe kuhakikisha watu wanafahamu kuwa Nyani Ngabu ndiye Richard Mugizi. Kuna ulazima wa kufanya hivyo?Hata mimi Richard Mugizi aka Nyani Ngabu nawachukia maskini...oooops.....nauchukia umaskini.